MKE wa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Mama Maria Nyerere na Hayati Dk. John Pombe Magufuli Mama Janeth Magufuli, wakiwa wamewasili katika uwanja wa Magufuli Chato kwa ajili ya Kilele cha Mbio za Mwenge Maalumu wa Uhuru Kitaifa ikiwa pia ni maadhimisho ya Miaka 22 ya kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere.
Picha na Johari Shani