Klabu ya Yanga yeney makao yake mitaa ya Jangwani rasmi imethibitisha kuachana na winga wake, Jesus Ducapel Moloko baada ya misimu miwili na nusu kuisha tangu ajiunge na klbu hiyo mnamo Agosti mwaka 2021 akitokea AS Vita ya Congo DR.
Your email address will not be published. Required fields are marked *
Comment *
Name *
Email *
Website
Save my name, email, and website in this browser for the next time I comment.
© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved