RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Hussein Ali Mwinyi, akitowa salamu za heshima baada ya kuweka shada la maua katika kaburi la aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dk. John Pombe Magufuli alipofika nyumbani kwao Chato kusalimia familia (kushoto) Mjane Mama Janeth Magufuli na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi.
(Picha na Ikulu)