Tuesday, May 20, 2025
27 °c
Dar es Salaam
25 ° Thu
25 ° Fri
25 ° Sat
25 ° Sun
25 ° Mon
English English Kiswahili Kiswahili
UMG
  • Mwanzo
  • UMG
  • Siasa
    • All
    • Business
    SHIRIKA LA OMUKA HUB NA NDI WAANDAA MAJADILIANO YA JUKWAA LA WANAWAKE KATIKA SIASA

    SHIRIKA LA OMUKA HUB NA NDI WAANDAA MAJADILIANO YA JUKWAA LA WANAWAKE KATIKA SIASA

    WAZIRI JAFO ATETA NA WAKUU WA MIKOA

    WAZIRI JAFO ATETA NA WAKUU WA MIKOA

    MAKAMU MWENYEKITI UVCCM AWAJIA JUU WANAOWACHAFUA VIONGOZI

    MAKAMU MWENYEKITI UVCCM AWAJIA JUU WANAOWACHAFUA VIONGOZI

    MAKAMU WA RAIS DK. PHILIP MPANGO AKIONDOKA NCHINI ANGOLA

    MAKAMU WA RAIS DK. PHILIP MPANGO AKIONDOKA NCHINI ANGOLA

    RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI

    RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI

    FORBES YAMTAJA TENA RAIS SAMIA.. “NI MIONGONI MWA WANAWAKE 100 WENYE UWEZO MKUBWA DUNIANI”

    FORBES YAMTAJA TENA RAIS SAMIA.. “NI MIONGONI MWA WANAWAKE 100 WENYE UWEZO MKUBWA DUNIANI”

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • Biashara
    WAJASIRIAMALI WASHAURIWA KUTHIBITISHA UBORA WA BIDHAA NJOMBE

    WAJASIRIAMALI WASHAURIWA KUTHIBITISHA UBORA WA BIDHAA NJOMBE

    SHERIA YA LOCAL CONTENT INAVYONUFAISHA WAWEKEZAJI WAZAWA GGML

    SHERIA YA LOCAL CONTENT INAVYONUFAISHA WAWEKEZAJI WAZAWA GGML

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • Burudani
    • All
    • Sports
    YANGA YAMNYATIA ABIALA KUTOKA CONGO DR

    YANGA YAMNYATIA ABIALA KUTOKA CONGO DR

    SIMBA YAICHAPA KAGERA SUGAR 3-0

    SIMBA YAICHAPA KAGERA SUGAR 3-0

  • Michezo
    SERIKALI YAAHIDI KUWAPELEKA MASHABIKI WA YANGA AFRIKA KUSINI

    SERIKALI YAAHIDI KUWAPELEKA MASHABIKI WA YANGA AFRIKA KUSINI

    YANGA SC YAACHANA NA MOLOKO

    YANGA SC YAACHANA NA MOLOKO

    TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA

    TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA

    TFF YAUFUNGIA UWANJA WA UHURU

    TFF YAUFUNGIA UWANJA WA UHURU

    BENCHIKHA; MCHEZO WA KESHO UTACHORA RAMANI KUELEKEA LIGI YA MABINGWA AFRIKA DHIDI YA WYDAD CASABLANCA

    BENCHIKHA; MCHEZO WA KESHO UTACHORA RAMANI KUELEKEA LIGI YA MABINGWA AFRIKA DHIDI YA WYDAD CASABLANCA

    Trending Tags

    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • MAGAZETI
    • UELEKEO
  • UMG DIGITAL
  • UELEKEO DIGITAL
    • Instagram
    • Facebook
    • Twitter
    • Youtube
  • English English
  • Kiswahili Kiswahili

No Result
View All Result
UMG
No Result
View All Result
Mwanzo SIASA

CCM ITAENDELEA KUWA CHAMA BORA, IMARA AFRIKA- SHAKA

>> Ni kauli ya Shaka, asisitiza itaendelea kuuenzi mchango wa Mwalimu Nyerere kwa siasa safi na uongozi bora

admin by admin
October 14, 2021
in SIASA
0 0
0
SHAKA ATAJA SIRI CCM KUKUBALIKA

SHAKA Hamdu Shaka, Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi

0
SHARES
267
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC), Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema CCM itaendelea kuwa chama imara cha siasa Afrika, kama ambavyo hayati Mwalimu Julius Nyerere alivyokuwa akisisitiza.

Amesema katika kuadhimisha miaka 22 tangu kufariki dunia kwa Mwalimu Nyerere, CCM itaendelea kuenzi mchango wa Baba wa taifa kusisitiza siasa safi na uongozi bora.

Akihojiwa na UhuruOnline, Shaka amesema Mwalimu Nyerere ameacha funzo kubwa kwa viongozi, hususan ujasiri katika kufikia uamuzi na ustahimilivu wa kisiasa.  

“Mwalimu Nyerere alikuwa kielelezo ambacho kumbukumbu za nchi yetu zinatuambia wakati ule, kulikuwa na watu ambao hawakuamini kuwa anaweza kung’atuka na wapo ambao hawakutaka Mwalimu Nyerere ang’atuke kutokana na kazi nzuri aliyoifanya katika taifa.

“Lakini Mwalimu alisisitiza kung’atuka na maisha ya Watanzania yakaendeelea na maendeleo yakaendelea kupatikana nchini.  Tukikumbuka tukio hilo ndani ya mwaka huu, hilo ni funzo kubwa Mwalimu Nyerere alilotuachia ambalo ni ujasiri wa kustahimili mambo makubwa katika nchi yetu,” alieleza.

UMADHUBUTI WA CCM

Shaka amesema tangu  Mwalimu Nyerere alipofariki dunia Oktoba 14, 1999, CCM imeendelea kusimamia umadhubuti wa kuwa chama imara cha siasa katika kuisimamia serikali, kama ambavyo alivyokuwa akisisitiza kwamba bila CCM madhubuti nchi itayumba.

“Umadhubuti wa kwanza ni kushinda dola, hakuna umadhubuti mwingine wa chama cha siasa pale kinapopoteza dola, ukipoteza dola ina maana umepoteza umadhubuti na uimara wako. Kwa hiyo CCM itaendelea kuwa imara kwa sababu imeendelea kushinda na kuongoza kushika dola zote za Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,” amesema.

Amesema mbali na hilo, CCM inaendelea kujivunia umoja na mshikamano ulipo miongoni mwa wananchi.

Shaka alieleza kuwa chama kinaendelea kuimarika siku hadi siku, pamoja na kupita katika dhoruba mbalimbali ya kisiasa ambayo baadhi ya watu walikuwa wakiamini kitasambaratika.

“Umoja na mshikamano wa wana CCM unazidi kuimarika siku hadi siku. CCM imekuwa ikipita katika dhoruba kubwa kiasi kwamba kwa mtu mwepesi anaweza kusema kimepoteza mwelekeo.

Alibainisha kuwa: “Mwaka 2015 hakuna aliyetegemea CCM ingeendelea kubaki kama ilivyo sasa, wengi walijua inakwenda kugawanyika, lakini CCM ikabaki kuwa imara na kushinda dola.”

Alisema hayo ni mafanikio makubwa ambayo chama kinajivunia kwa kubaki kuwa kimoja.

DEMOKRASIA

Akizungumzia namna ambavyo CCM inasimamia misingi ya demokrasia kama ambavyo  Mwalimu Nyerere alivyokuwa akisisitiza, Shaka alisema daima CCM ndiyo mama wa demokrasia katika siasa za Afrika.

Alisema katika kuthibitisha hilo, ndani ya chama kuna mfumo mzuri wa viongozi kupokezana madaraka na hata kinapopoteza kiti katika uchaguzi, kimekuwa kikikubali.

“Chama kinaendelea kumuenzi Mwalimu Nyerere kwa kushinda uchaguzi kwa haki na amani. Ndiyo maana katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Konde, CCM ijitokeza kuwapongeza hadharani wenzetu walioshinda uchaguzi huo.

“Tumefanya hivyo siyo kwa bahati mbaya, kwa sababu tumekubali kuishi katika dhana ya demokrasia ya vyama vingi, na ifike mahali tunaposhindwa tukubali na tukishinda wenzetu wakubali,” alisisitiza.

Alieleza kuwa kama CCM ikishindwa kusimamia dhana ya demokrasia kwa vitendo, nchi inaweza kuyumba.

“Ifahamike kuwa CCM ndiyo imeshika hatima ya nchi, ili tufanye mambo yetu vizuri ni lazima tuheshimu misingi na dhana ya demokrasia ya vyama vingi,” alisema.

MAFANIKIO YA RAIS SAMIA

Katibu huyo wa NEC, Itikadi na Uenezi, alisema katika awamu zote sita za uongozi nchini, serikali zote zimetekeza majukumu yake kwa ufanisi mkubwa kwa kuhakikisha maendeleo kwa Watanzania yanapatikana.

Alisema katika awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan, Watanzania wana matarajio makubwa, ambapo kwa mwenendo wa serikali inavyotekeleza majukumu yake kuna uwezekano mkubwa utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ukafanyika kwa zaidi ya asilimia 100.

“Ni jambo ambalo liko wazi kwa mwenendo ambao Rais Samia amekuja nao, ilani ya uchaguzi ya CCM inakwenda kutekelezwa kwa zaidi ya  asilimia 100,” alisisitiza.

Alieleza kuwa katika maeneo mbalimbali nchini miradi mingi ya maendeleo inayogusa huduma muhimu za kijamii, inatekelezwa kwa kasi kuhakikisha nchi inafunguka zaidi.

Alisema ujenzi wa vituo vya afya, miundombinu ya barabara, maji safi na salama miradi hiyo inafanyika kwa usimamizi madhubuti kuhakikisha wananchi wananufaika nayo.

Shaka aliongeza kuwa katika fedha za mkopo wa masharti nafuu wa sh. trilioni 1.3, ambazo serikali inaenda kujenga madarasa, hospitali, vituo vya afya, ununuzi magari ya wagonjwa, mashine za kisasa za matibabu na kuwezesha kaya masikini, zitakwenda kutatua kwa kiasi kikubwa changamoto za wananchi.

“Mgawanyo wa fedha hizo umegawanyika nchi nzima, kwa maana hiyo, nchi inakwenda kufunguka. Tukifanikiwa vizuri katika mradi huu, wananchi wanakwenda kujikwamua kiuchumi.

“Katika miaka 22 bila ya Mwalimu Nyerere, viongozi wetu wameishi katika yale ambayo mwalimu aliyaamini kwa vitendo, kwani wala rushwa wanachukuliwa hatua,” alieleza.

Shaka alitoa rai kwa wananchi kuendelea kumuunga mkono Rais Samia na kuhimiza umoja na mshikamano ili aendelee kutatua changamoto za wananchi katika sekta za kiuchumi, kijamii na kisiasa.

Na MUSSA YUSUPH, Dodoma

admin

admin

Stay Connected test

  • 139 Follower
  • 204k Subscriber
  • 23.9k Follower
  • 99 Subscriber
  • Trending
  • Comments
  • Latest
MADAKTARI WAELEZEA JINSI YA KUZUIA MIMBA ISIHARIBIKE

MADAKTARI WAELEZEA JINSI YA KUZUIA MIMBA ISIHARIBIKE

July 9, 2021
BREAKING NEWS: RATIBA LIGI KUU NBC MSIMU WA 2023/2024 HII HAPA

BREAKING NEWS: RATIBA LIGI KUU NBC MSIMU WA 2023/2024 HII HAPA

August 7, 2023
TABWA YAMSIFU SAMIA KUWAPA FURSA WANAWAKE

TABWA YAMSIFU SAMIA KUWAPA FURSA WANAWAKE

July 9, 2021
BEI MPYA YA MBAAZI, KUNDE YAWAPANDISHA MZUKA WAKULIMA

BEI MPYA YA MBAAZI, KUNDE YAWAPANDISHA MZUKA WAKULIMA

August 9, 2021
NDUGU MATATANI KUMSHAMBULIA, KUMJERUHI MWENZAO KISA NG’OMBE

NDUGU MATATANI KUMSHAMBULIA, KUMJERUHI MWENZAO KISA NG’OMBE

0
WAHANDISI WA HALMASHAURI WAMEKUA WAKIIKOSEA SERIKALI KWAKUTOA TAARIFA ZA UONGO

WAHANDISI WA HALMASHAURI WAMEKUA WAKIIKOSEA SERIKALI KWAKUTOA TAARIFA ZA UONGO

0

OFISA ELIMU, MHANDISI, MKUU WA SHULE WAKALIA ‘KUTI KAVU’

0
STENDI YA ZAMANI UBUNGO  KUJENGWA DEPO MABASI MWENDOKASI

STENDI YA ZAMANI UBUNGO KUJENGWA DEPO MABASI MWENDOKASI

0
TALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 20, 2024

TALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 20, 2024

November 20, 2024

YALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 12, 2024

November 12, 2024
YALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 11, 2024

YALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 11, 2024

November 11, 2024
YALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 1, 2024

YALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 1, 2024

October 31, 2024

Recent News

Instagram Youtube Twitter Facebook

We are a diverse team of experts, innovative thinkers, creative designers, writers, innovators, strategists, pyschologists, comunictaors and web developers. UMG is extremely passionate about growing clients’ businesses, helping them achieve their goals and making a difference by raising the creative and communications industry standards in Tanzania.

Follow Us

Browse by Category

  • Afya Makala
  • BIASHARA
  • BURUDANI
  • Business
  • HABARI KIMATAIFA
  • Habari Kitaifa
  • Habari Picha
  • KIMATAIFA
  • MAGAZETI
  • MAHAKAMANI
  • MAKALA
  • MAKALA AFYA
  • MAKALA-BURUDANI
  • MICHEZO
  • MICHEZO KIMATAIFA
  • MICHEZO KITAIFA
  • MICHEZO-MAKALA
  • MICHEZO-MASUMBWI
  • MITINDO
  • RIWAYA
  • SIASA
  • Sports
  • Uncategorized

Recent News

TALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 20, 2024

TALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 20, 2024

November 20, 2024

YALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 12, 2024

November 12, 2024

© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved

No Result
View All Result

© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved

Login to your account below

Forgotten Password?

Fill the forms bellow to register

All fields are required. Log In

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In