RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Hussein Ali Mwinyi, akizungumza na Ujumbe wa Wawekezaji kutoka Nchini Misri ukiongozwa na Kiongozi Mkuu wa Kampuni ya Elsewedy. Mhandisi Ahmed El Sewedy na (kulia kwa Rais) na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar. Omar Said Shaban, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Hoteli ya “The Oyster Box” Jijini Darban Afrika Kusini, baada ya kumalizika kwa hafla ya ufunguzi wa mkutano wa Maonesho ya Wafanyabiashara wa Nchi za Afrika