1 RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Samia Suluhu Hassan, akitunuku Shahada ya Sayansi ya Kijeshi katika masomo ya kiraia kwa Wahitimu 61 wa JWTZ katika Mahafali ya pili ya Chuo cha Uhasibu yaliyofanyika TMA Monduli mkoani Arusha.