AFISA Elimu Mkoa wa Dar es Salaam, Abdul Maulid, akisaini kitabu cha wageni katika mahafali ya 18 ya Shule ya Awali Feza kama mgeni rasmi pembeni ni Mkurugezi wa Shule za Feza Tanzania, Ibrahim Yunus, sherehe hiyo ilifanyika katika Viwanja wa Shule ya Msingi Feza, Kawe, Dar es Salaam.
MWANAFUNZI wa Shule ya awali Feza, Arthur Rayton Kwembe, akipongezwa na mzazi wake baada ya kuhitimu elimu hiyo wakati wakisherekea mahafali ya 18 ya shule hiyo yaliyofanyika Novemba 30, 2021 katika Viwanja vya Shule ya Msingi Feza. (Na Mpiga Picha wetu)