SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai, ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo leo Januari 06, 2022.
Kupitia Barua aliyoiwasilisha kwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugai amesema “Uamuzi huu ni Hiari na nimefanya kwa kuzingatia na kujali maslahi mapana zaidi ya Taifa langu, Serikali na Chama Changu cha CCM.” Amesema kupitia Barua




























