
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo na Wajumbe wa Sektetarieti ya Halmashauri Kuu CCM Taifa, wakiwasili Pemba kwa ziara ya siku mbili yenye lengo la kukagua, kusimamia na kuhimiza utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2020 – 2025.
(?CCM Makao Makuu)