Saturday, September 6, 2025
27 °c
Dar es Salaam
25 ° Thu
25 ° Fri
25 ° Sat
25 ° Sun
25 ° Mon
English English Kiswahili Kiswahili
UMG
  • Mwanzo
  • UMG
  • Siasa
    • All
    • Business
    SHIRIKA LA OMUKA HUB NA NDI WAANDAA MAJADILIANO YA JUKWAA LA WANAWAKE KATIKA SIASA

    SHIRIKA LA OMUKA HUB NA NDI WAANDAA MAJADILIANO YA JUKWAA LA WANAWAKE KATIKA SIASA

    WAZIRI JAFO ATETA NA WAKUU WA MIKOA

    WAZIRI JAFO ATETA NA WAKUU WA MIKOA

    MAKAMU MWENYEKITI UVCCM AWAJIA JUU WANAOWACHAFUA VIONGOZI

    MAKAMU MWENYEKITI UVCCM AWAJIA JUU WANAOWACHAFUA VIONGOZI

    MAKAMU WA RAIS DK. PHILIP MPANGO AKIONDOKA NCHINI ANGOLA

    MAKAMU WA RAIS DK. PHILIP MPANGO AKIONDOKA NCHINI ANGOLA

    RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI

    RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI

    FORBES YAMTAJA TENA RAIS SAMIA.. “NI MIONGONI MWA WANAWAKE 100 WENYE UWEZO MKUBWA DUNIANI”

    FORBES YAMTAJA TENA RAIS SAMIA.. “NI MIONGONI MWA WANAWAKE 100 WENYE UWEZO MKUBWA DUNIANI”

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • Biashara
    WAJASIRIAMALI WASHAURIWA KUTHIBITISHA UBORA WA BIDHAA NJOMBE

    WAJASIRIAMALI WASHAURIWA KUTHIBITISHA UBORA WA BIDHAA NJOMBE

    SHERIA YA LOCAL CONTENT INAVYONUFAISHA WAWEKEZAJI WAZAWA GGML

    SHERIA YA LOCAL CONTENT INAVYONUFAISHA WAWEKEZAJI WAZAWA GGML

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • Burudani
    • All
    • Sports
    YANGA YAMNYATIA ABIALA KUTOKA CONGO DR

    YANGA YAMNYATIA ABIALA KUTOKA CONGO DR

    SIMBA YAICHAPA KAGERA SUGAR 3-0

    SIMBA YAICHAPA KAGERA SUGAR 3-0

  • Michezo
    SERIKALI YAAHIDI KUWAPELEKA MASHABIKI WA YANGA AFRIKA KUSINI

    SERIKALI YAAHIDI KUWAPELEKA MASHABIKI WA YANGA AFRIKA KUSINI

    YANGA SC YAACHANA NA MOLOKO

    YANGA SC YAACHANA NA MOLOKO

    TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA

    TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA

    TFF YAUFUNGIA UWANJA WA UHURU

    TFF YAUFUNGIA UWANJA WA UHURU

    BENCHIKHA; MCHEZO WA KESHO UTACHORA RAMANI KUELEKEA LIGI YA MABINGWA AFRIKA DHIDI YA WYDAD CASABLANCA

    BENCHIKHA; MCHEZO WA KESHO UTACHORA RAMANI KUELEKEA LIGI YA MABINGWA AFRIKA DHIDI YA WYDAD CASABLANCA

    Trending Tags

    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • MAGAZETI
    • UELEKEO
  • UMG DIGITAL
  • UELEKEO DIGITAL
    • Instagram
    • Facebook
    • Twitter
    • Youtube
  • English English
  • Kiswahili Kiswahili

No Result
View All Result
UMG
No Result
View All Result
Mwanzo Habari Kitaifa

MARUFUKU UBADILISHAJI MATUMIZI USIO NA TIJA-DKT MABULA

admin by admin
February 15, 2023
in Habari Kitaifa
0 0
0
0
SHARES
28
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akioneshwa ramani ya lililokuwa shamba NARCO Gezaulole kata ya Somangila Manispaa ya Kigamboni jijini Dar es Salaam alipofanya ziara katika eneo hilo tarehe 14 Februari 2023. Kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Kigamboni Halima Bulembo.

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akiingia kwenye moja ya eneo lenye mgogoro lililokuwa shamba NARCO Gezaulole kata ya Somangila Manispaa ya Kigamboni jijini Dar es Salaam alipofanya ziara kwenyea eneo hilo tarehe 14 Februari 2023. Kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Kigamboni Halima Bulembo.
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akisisitiza jambo kwa viongozi wa wilaya ya Kigamboni mara baada ya kumaliza kutembelea eneo lililokuwa shamba NARCO Gezaulole tarehe 14 Februari 2023. Wa pili Kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Kigamboni Halima Bulembo na kulia ni Mbunge wa Kigamboni Dkt Faustine Ndugulile.
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akizungumza na uongozi wa wilaya ya Kigamboni Dar es Salaam. (PICHA ZOTE NA WIZARA YA ARDHI)
 
Na Munir Shemweta, WANMM
 
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amepiga marufuku ubadilishaji matumizi katika halmashauri nchini usio na tija.
 
Dkt Mabula alipiga marufuku hiyo alipotembelea eneo lenye mgogoro lililokuwa shamba la NARCO Gezaulole kata ya Somangila Manispaa ya Kigamboni jijini Dar es Salaam tarehe 14 Februari 2023.
 
Amesema, kumekuwa na tabia ya kubadilisha matumizi usio na tija alioueleza kuwa unaharibu mija na mipango inayowekwa na halmashauri kupitia mipango kabambe pamoja na yeye kulipiga marufuku mara kwa mara.
 
Kwa mujibu wa Dkt Mabula, ubadilishaji matumizi kwenye maeneo unafanywa na halmashauri husika na utaratibu wowote wa kubadilisha matumizi usiozingatia taratibu unaenda kinyume na mipango miji sambamba na kuharibu miji.
 
Akitolea mfano wa Manispaa Kigamboni. Dkt Mabula alisema manispaa hiyo inao mpango kabambe ambapo mipango yote katika halmashauri hiyo inatakiwa kuzingatiwa ama kutekelezwa na kushangazwa kabla ya kutekelezwa mpango huo matumizi yanaanza kubadilishwa.
 
‘’Hapa mnayo master plan inayotakiwa kutekelezwa na haijaanza katika utekelezaji lakini mnaaza kubadilisha matumizi maana yake katika uandaaji hamkuwa na uhakika manapanga nini, hii haiwezekani’’ alisema Dkt Mabula
 
Ametaka matumizi ya ardhi katika manispaa ya kigamboni kubaki kama yalivyopangwa na kama kuna uhitaji wowote wa lazima basi ni lazima ufahamike kama ni wa mamlaka au ni wa mtu binafsi.
 
Awali Mbunge wa Jimbo la Kigamboni Dkt Faustine Ndugulile alimueleza Waziri wa Ardhi Dkt Angeline Mabula kuwa, katika jimbo lake kumekuwa na tabia ya ubadilishaji matumizi usio na tija alioueleza kuwa, kwa kiasi kikubwa unachangiwa na baadhi ya watendaji wa sekta ya ardhi.
 
‘’Hapa kigamboni kumekuwa na ubadilishaji matumizi na watu wanavamia mpaka maeneo ya public na hili linachangiwa na baadhi ya watendaji wa sekta ya ardhi hili nakuomba mhe Waziri ulipige marufuku’’ alisema Dkt Ndugulile.
 
Dkt Mabula alitembelea eneo ya lililokuwa shamba la NAFCO Gezaulole kata ya Somangila manispaa ya Kigamboni baada ya kupokea malalamiko kutoka kwa baadhi ya wananchi wa eneo hilo. eneo hilo limeingia mgogoro na baadhi ya wananchi kwa madai kumiliki kihalali eneo hilo.
admin

admin

Stay Connected test

  • 139 Follower
  • 205k Subscriber
  • 23.9k Follower
  • 99 Subscriber
  • Trending
  • Comments
  • Latest
MADAKTARI WAELEZEA JINSI YA KUZUIA MIMBA ISIHARIBIKE

MADAKTARI WAELEZEA JINSI YA KUZUIA MIMBA ISIHARIBIKE

July 9, 2021
BREAKING NEWS: RATIBA LIGI KUU NBC MSIMU WA 2023/2024 HII HAPA

BREAKING NEWS: RATIBA LIGI KUU NBC MSIMU WA 2023/2024 HII HAPA

August 7, 2023
TABWA YAMSIFU SAMIA KUWAPA FURSA WANAWAKE

TABWA YAMSIFU SAMIA KUWAPA FURSA WANAWAKE

July 9, 2021
BEI MPYA YA MBAAZI, KUNDE YAWAPANDISHA MZUKA WAKULIMA

BEI MPYA YA MBAAZI, KUNDE YAWAPANDISHA MZUKA WAKULIMA

August 9, 2021
NDUGU MATATANI KUMSHAMBULIA, KUMJERUHI MWENZAO KISA NG’OMBE

NDUGU MATATANI KUMSHAMBULIA, KUMJERUHI MWENZAO KISA NG’OMBE

0
WAHANDISI WA HALMASHAURI WAMEKUA WAKIIKOSEA SERIKALI KWAKUTOA TAARIFA ZA UONGO

WAHANDISI WA HALMASHAURI WAMEKUA WAKIIKOSEA SERIKALI KWAKUTOA TAARIFA ZA UONGO

0

OFISA ELIMU, MHANDISI, MKUU WA SHULE WAKALIA ‘KUTI KAVU’

0
STENDI YA ZAMANI UBUNGO  KUJENGWA DEPO MABASI MWENDOKASI

STENDI YA ZAMANI UBUNGO KUJENGWA DEPO MABASI MWENDOKASI

0

Exploring Herbal Viagra Alternatives: Natural Solutions for Men’s Health

May 23, 2025
TALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 20, 2024

TALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 20, 2024

November 20, 2024

YALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 12, 2024

November 12, 2024
YALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 11, 2024

YALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 11, 2024

November 11, 2024

Recent News

Instagram Youtube Twitter Facebook

We are a diverse team of experts, innovative thinkers, creative designers, writers, innovators, strategists, pyschologists, comunictaors and web developers. UMG is extremely passionate about growing clients’ businesses, helping them achieve their goals and making a difference by raising the creative and communications industry standards in Tanzania.

Follow Us

Browse by Category

  • 231
  • Afya Makala
  • BIASHARA
  • BURUDANI
  • Business
  • HABARI KIMATAIFA
  • Habari Kitaifa
  • Habari Picha
  • KIMATAIFA
  • MAGAZETI
  • MAHAKAMANI
  • MAKALA
  • MAKALA AFYA
  • MAKALA-BURUDANI
  • MICHEZO
  • MICHEZO KIMATAIFA
  • MICHEZO KITAIFA
  • MICHEZO-MAKALA
  • MICHEZO-MASUMBWI
  • MITINDO
  • RIWAYA
  • SIASA
  • Sports
  • Uncategorized

Recent News

Exploring Herbal Viagra Alternatives: Natural Solutions for Men’s Health

May 23, 2025
TALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 20, 2024

TALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 20, 2024

November 20, 2024

© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved

No Result
View All Result

© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved

Login to your account below

Forgotten Password?

Fill the forms bellow to register

All fields are required. Log In

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In