Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Lela Muhamed Mussa akikagua Mradi wa Ujenzi wa shule mpya ya Muembeladu baada ya kukamilika kwa ujenzi wake, kabla ya kukabidhiwa kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, ikiwa ni Mbadala ya Shule ya Sekondari ya Tumekuja Unguja, kiongozana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Ndg. Khamis Abdullah Said, wakikagua Ujenzi wa Shule hiyo.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Lela Muhamed Mussa akipata maelezo ya Mradi wa Shule ya Muembeladu Wilaya ya Mjini Unguja kutoka kwa wasimamizi wa ujenzi huo, wakati akitembelea Shule hiyo ikiwa katika hatua za mwisho za ujenzi wake (kulia kwake) Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Ndg.Khamis Abdullah Said, wakikagua Ujenzi kabla ya kukabidhiwa Wizara. Shule hiyo imejengwa kama Mbadala wa Sjule ya Tumekuja.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Lela Muhamed Mussa akiwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo bwana. Khamis Abdullah Said, wakikagua Ujenzi wa Shule mpya ya Muembeladu kabla ya kukabidhiwa Wizara. Shule hiyo imejengwa kama Mbadala wa Shule ya Tumekuja iliovunjwa iliyoko Mjini Magharib Unguja.