Na mwandishi wetu, India.
Takribani watu 100 wamefariki na wengine 150 kujeruhiwa baada ya moto kuzuka kwenye sherehe ya harusi katika wilaya ya Hamdaniya, jimbo la Nineveh nchini Iraq.
Naibu Mkuu wa Kurugenzi ya Afya, Ahmed Dubardan amesema wanandoa wote wawili wamepoteza maisha kwenye janga hilo.
