Wagombea na Watia nia wakiwa katika usahili wa kuomba ridhaa na nafasi mbalimbali kugombea uongozi wa Chipukizi CCM Taifa.
Mchakato huo umefanyika katika ofisi ndogo za Makao Makuu ya UVCCM Upanga Jijini Dar es Salaaam Chini ya Kamati ya Uendeshaji ya Chipukizi inayoongozwa na Mwenyekiti wa Chipukizi Taifa Komredi Yusuph Kashmir.


































