Katibu wa NEC Siasa na uhusiano wa kimataifa SUKI CCM Taifa Ndg RABIA ABDALLAH HAMID amewapongeza vijana wa UVCCM vyuo na vyuo vikuu kwa AZIMIO la kumchukulia FOMU DKT SAMIA SULUHU HASSAN ifikapo mwaka 2025 ili aendelee kuiongoza Tanzania.
*Ndg RABIA ABDALLAH HAMID* amesema kwa mageuzi ya kiuchumi, kisiasa, kijamii na kiutamaduni ambayo Dkt SAMIA SULUHU HASSAN ameyafanya na anayoebdelea kuyafanya mmechagua jambo sahihi la kumchukulia FOMU DKT SAMIA SULUHU HASSAN ” Mimi Katibu wa NEC Siasa na uhusiano wa kimataifa SUKI CCM Taifa naliunga mkono AZIMIO lenu na sisi kama Chama cha Mapinduzi tunawasubiri ninyi wanavyuo katika kumuunga mkono mwenyekiti wa CCM Ndugu SAMIA SULUHU HASSAN, endeleeni kumuunga mkono, endeleeni kumsemea kwani halali kwa ajili yetu Sisi watanzania wote” alisema Katibu wa NEC Siasa na uhusiano wa kimataifa SUKI CCM Taifa Ndg RABIA ABDALLAH HAMID.
Hayo amesemaje leo tarehe 6.04.2024 katika mkutano mkuu wa tawi la CHSS, IDS na CI UDOM na matawi ya UVCCM vyuo na vyuo vikuu Mkoa wa Dodoma.
FURAHA YETU, SAMIA WETU 2025