UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO NI HAZINA YA WANANCHI
Kiongozi wa mbio za mwenge wa Uhuru Kitaifa 2024 Godfrey Eliakimu Mzava, amesema utekelezaji wa miradi ya maendeleo ni hazina...
Kiongozi wa mbio za mwenge wa Uhuru Kitaifa 2024 Godfrey Eliakimu Mzava, amesema utekelezaji wa miradi ya maendeleo ni hazina...
RAIS wa Iran Ebrahim Raisi (63,) amefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya helikopta waliyokuwa wakisafiria kutoka Kaskazini Magharibi...
China imesema itaendelea kufadhili miradi mipya ya kimkakati ya Tanzania inayoendelea, baada ya kuridhishwa na utekelezwaji wa miradi ya awali....
Mtanzania Mha. Joyce Kisamo kutoka Wizara ya Nishati amekua muafrika wa pili kutwaa tuzo ya LUCE ya mwanamke aliyefanya vizuri...
Wito umetolewa kwa wananchi kuongeza uelewa na utayari kabla na baada ya majanga huku wakijua namna ya kujikinga nayo ikiwemo...
Mradi wa ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami kutoka Ifakara hadi Mbingu yenye urefu wa kilomita 62.5 utatumia Bilioni...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA), wamekamata na kuwahoji watu...
Serikali imesema kuwa inaandaa mfumo wa kielektroniki wa kutoa ankara ya pamoja kwa huduma zinazolandana ili kuondoa usumbufu kwa wananchi...
Serikali kupitia Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) imesema kuwa ina lengo la kuboresha maisha ya wananchi wa tarafa hiyo...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Takukuru Mkoani Tanga imefanikisha marejesho ya kiasi cha Sh. Milioni 439,279,300.00 kutoka kwa...
© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved
© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved