BARAZA Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), Mkoa wa Dar es Salaam, limesema swala ya Eid El Hajj itafanyika Julai 21,...
Read moreWANAFUNZI wawili wanaosoma katika Shule ya Msingi Uhemeli, iliyopo Kijiji cha Uhemeli, Kata ya Ndala, Tarafa ya Puge, Wilayani Nzega,...
Read moreRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amewaapisha viongozi mbalimbali aliowateuwa Julai 10, mwaka...
Read moreTUME ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), imefungua dirisha la maombi ya udahili kwa wanafunzi wa shahada ya kwanza katika mwaka...
Read moreWAZIRI wa Kilimo Profesa Adolf Mkenda, amewataka wakulima kuzingatia zaidi zao la kahawa kwa kuwa linaleta tija na kuongeza uchumi...
Read moreWANAFUNZI wa darasa la tano katika Shule ya Msingi Mchuchuma, Wilayani Ludewa mkoani Njombe, wameiomba serikali kuiangalia shule yao kwa...
Read moreMKAZI wa Mbagala Kuu, Dar es Salaam, George Mwakang'ata (38) na wenzake wawili, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu,...
Read morePOLISI Mkoa wa Kusini Pemba, imethibitisha kumshikilia mwalimu mstaafu Mohamed Kassim (60), kwa tuhuma za kumpatia ujauzito mtoto mwenye ulemavu...
Read moreKATIBU Mkuu wa Chama Cha Walimu Tanzania (CWT), Deus Seif, amesema kukosekana kwa uaminifu miongoni mwa walimu na uwepo wa...
Read moreWAJUMBE wa Sekretarieti ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, wameonya kwamba wao siyo viongozi wa kupiga porojo na hawako tayari...
Read more© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved
© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved