MVUA iliyoambatana na upepo imeezua nyumba zaidi ya 50 zilizopo kata ya Ngulyati iliyopo wilayani Bariadi mkoani Simiyu. Hayo yamesemwa...
Read moreKATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema Chama hakipo tayari kumfumbia...
Read moreTAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Nchini (TAKUKURU) Wilaya ya Tarime, imewaonya watakaothubutu ‘kudokoa’ zaidi ya sh. bilioni nne...
Read moreSERIKALI mkoani Mwanza, imepokea sh. bilioni 20.2 za ujenzi wa miundombinu ya elimu, imesisitiza kabla ya kuanza ujenzi, nyaraka za...
Read moreHALI ya kuelewana kwa baadhi ya watendaji wakuu serikalini hususan mawaziri, naibu mawaziri, makatibu wakuu na manaibu wao, imeonekana kuwa...
Read moreRAIS wa Burundi, Evariste Ndayishimiye, ameipongeza Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania(TPA) kwa kufanya kazi nzuri na kuwarahisishia wafanyabiashara wa...
Read moreBODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), imetangaza orodha ya awamu ya pili ya wanafunzi 7,364 wa...
Read moreKESI ya Uhujumu Uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita, imeahirishwa....
Read moreKATIKA hali isiyokuwa ya kawaida Mwanamke mmoja mkazi wa Lalago wilaya ya Maswa mkoani Simiyu ameuwa watoto wake wawili kwa...
Read moreWAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan, imetenga Shilingi bilioni 170...
Read more© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved
© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved