MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mjini Dodoma (DUWASA), Profesa Faustine Bee, amezitaka...
Read moreSERIKALI mkoani Dar es Salaam, imewaongeza siku 12 wafanyabiashara ndogo ‘wamachinga’ ambazo zitamalizika Oktoba 30, mwaka huu, kuondoka rasmi katika...
Read moreRAIS Samia Suluhu Hassan, amuagiza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Ummy...
Read moreWAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dk. Damas Ndumbaro, amesema wizara hiyo, imepokea sh. bilioni 90.2 zitakazotumika kutekeleza miradi mitano na...
Read moreBODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), imetangaza orodha ya awamu ya kwanza yenye wanafunzi 37,731 wa mwaka wa...
Read moreROBO tatu ya wananchi wa kijiji cha Lukale kilichopo kata ya Bukundi wilayani Meatu mkoani Simiyu, hawajui kusoma wala kuandika...
Read moreKAMPUNI ya Ranchi za Taifa (NARCO) imefanikiwa kukodisha maeneo kwa ajili ya wafugaji kufuga mifugo yao hali iliyochangia kupunguza migogoro...
Read moreWAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dk. Damas Ndumbaro, amesema sh. bilioni 90.2 walizopatiwa kutoka katika fungu la fedha za mapambano...
Read moreDEREVA Paul Vedastus (33) maarufu Majani, amehukumiwa kutumikia kifungo cha miaka 30 jela, baada ya kutiwa hatiani kwa makosa ya kumbaka na...
Read moreMKUU wa Wilaya ya Muheza, Halima Bulembo, ameiomba Serikali kuipa kipaumbele barabara ya Amani Muheza kwa kile alichodai barabara hiyo...
Read more© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved
© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved