Wednesday, July 23, 2025
27 °c
Dar es Salaam
25 ° Thu
25 ° Fri
25 ° Sat
25 ° Sun
25 ° Mon
English English Kiswahili Kiswahili
UMG
  • Mwanzo
  • UMG
  • Siasa
    • All
    • Business
    SHIRIKA LA OMUKA HUB NA NDI WAANDAA MAJADILIANO YA JUKWAA LA WANAWAKE KATIKA SIASA

    SHIRIKA LA OMUKA HUB NA NDI WAANDAA MAJADILIANO YA JUKWAA LA WANAWAKE KATIKA SIASA

    WAZIRI JAFO ATETA NA WAKUU WA MIKOA

    WAZIRI JAFO ATETA NA WAKUU WA MIKOA

    MAKAMU MWENYEKITI UVCCM AWAJIA JUU WANAOWACHAFUA VIONGOZI

    MAKAMU MWENYEKITI UVCCM AWAJIA JUU WANAOWACHAFUA VIONGOZI

    MAKAMU WA RAIS DK. PHILIP MPANGO AKIONDOKA NCHINI ANGOLA

    MAKAMU WA RAIS DK. PHILIP MPANGO AKIONDOKA NCHINI ANGOLA

    RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI

    RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI

    FORBES YAMTAJA TENA RAIS SAMIA.. “NI MIONGONI MWA WANAWAKE 100 WENYE UWEZO MKUBWA DUNIANI”

    FORBES YAMTAJA TENA RAIS SAMIA.. “NI MIONGONI MWA WANAWAKE 100 WENYE UWEZO MKUBWA DUNIANI”

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • Biashara
    WAJASIRIAMALI WASHAURIWA KUTHIBITISHA UBORA WA BIDHAA NJOMBE

    WAJASIRIAMALI WASHAURIWA KUTHIBITISHA UBORA WA BIDHAA NJOMBE

    SHERIA YA LOCAL CONTENT INAVYONUFAISHA WAWEKEZAJI WAZAWA GGML

    SHERIA YA LOCAL CONTENT INAVYONUFAISHA WAWEKEZAJI WAZAWA GGML

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • Burudani
    • All
    • Sports
    YANGA YAMNYATIA ABIALA KUTOKA CONGO DR

    YANGA YAMNYATIA ABIALA KUTOKA CONGO DR

    SIMBA YAICHAPA KAGERA SUGAR 3-0

    SIMBA YAICHAPA KAGERA SUGAR 3-0

  • Michezo
    SERIKALI YAAHIDI KUWAPELEKA MASHABIKI WA YANGA AFRIKA KUSINI

    SERIKALI YAAHIDI KUWAPELEKA MASHABIKI WA YANGA AFRIKA KUSINI

    YANGA SC YAACHANA NA MOLOKO

    YANGA SC YAACHANA NA MOLOKO

    TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA

    TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA

    TFF YAUFUNGIA UWANJA WA UHURU

    TFF YAUFUNGIA UWANJA WA UHURU

    BENCHIKHA; MCHEZO WA KESHO UTACHORA RAMANI KUELEKEA LIGI YA MABINGWA AFRIKA DHIDI YA WYDAD CASABLANCA

    BENCHIKHA; MCHEZO WA KESHO UTACHORA RAMANI KUELEKEA LIGI YA MABINGWA AFRIKA DHIDI YA WYDAD CASABLANCA

    Trending Tags

    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • MAGAZETI
    • UELEKEO
  • UMG DIGITAL
  • UELEKEO DIGITAL
    • Instagram
    • Facebook
    • Twitter
    • Youtube
  • English English
  • Kiswahili Kiswahili

No Result
View All Result
UMG
No Result
View All Result
Mwanzo SIASA

CHONGOLO ATEMA CHECHE, UONGOZI SIYO FASHENI

admin by admin
July 14, 2021
in SIASA
0 0
0
CHONGOLO ATEMA CHECHE, UONGOZI SIYO FASHENI
0
SHARES
77
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo, amesema uongozi siyo fasheni bali ni dhamana ya kushugulika kutafuta ufumbuzi wa matatizo ya wananchi.

Amesema hayo Julai 13, 2021, alipokuwa akihitimisha ziara ya kikazi katika wilaya zote za mkoa wa Mbeya; kuhamasisha uhai wa chama katika ngazi ya shina na kukagua utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya CCM ya 2020-2021.

Akizungumza na viongozi na watendaji wa chama na serikali pamoja na wazee wa jijini Mbeya, katika ukumbi wa Benjamin Mkapa, mkoani hapa, Komredi Chongolo amesema uongozi ni dhamana inayoambatana na kutafuta ufumbuzi wa matatizo yanayowakabili wananchi.

Chongolo amesema kazi ya kiongozi siyo vikao  na sifa ya kuitwa komredi, bali kuhangaika kutatua shida zinazowakumba watu katika maeneo yao ya uongozi.

“Viongozi wengi wanaona uongozi ni kama fasheni, ukipewa dhamana ya uongozi ni lazima utenge muda wa kushughulikia dhamana yako,” alisema.

Amesema wananchi wanachotaka ni kupata huduma bora na siyo maneno.

Katika ziara hiyo, Chongolo, amesema licha ya sera na ilani kueleza kwamba watoto chini ya miaka mitano na wajawazito watapata matibabu bure, lakini wanatozwa fedha.

“Wanaofanya hivi wanakigombanisha chama na wananchi, na sisi hatuko tayari kuona chama chetu kikigombanishwa na wananchi, ” ameonya Chongolo.

Katibu mkuu amesema kwamba, kama kuna sababu za msingi za watoto hao na wajawazito kutozwa pesa wanapoenda kupata matibabu katika zahanati, vituo vya afya na hospitali, hapana budi itamkwe bayana.

“Hili tutalisimamia bila haya”, alisema na kuongeza kwamba, tatizo lingine ni ukosefu wa dawa katika taasisi hizo za tiba, licha ya serikali kutoa mamilioni ya fedha ya kununua dawa.

“Tumeahidi (katika ilani) tunapeleka dawa katika kila zahanati, vituo vya afya, hospitali, lakini dawa hakuna, kuna mchwa wanaotafuna fedha za umma,” alisema Chongolo.

Alisema viongozi katika ngazi zote za CCM, ni lazima na siyo hiyari, kusimamia utekelezaji wa ilani kwa sababu wao ndiyo wamiliki na watumishi wa umma watekelezaji.

Chongolo amesema, ilani isipotekelezwa watakaoulizwa ni CCM siyo wataalamu walio katika utumishi wa umma.

Chongolo amesema tatizo la ukosefu wa dawa likiachwa pasipo ‘mchwa’ kushughulikiwa, linaweza kusababisha uvunaji wa mabua katika uchaguzi mkuu ujao, na CCM hakiko tayari kwa hilo kutokea.

“Kuna mchwa wanaotafuna fedha, tukicheka na nyani tutavuna mabua, hatuwezi kuliacha hili kama lilivyo,” Chongolo amesisitiza.

Nchini kote, ameagiza kamati za siasa za ngazi zote za chama kutembelea miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika maeneo yao.

Amefafanua kwamba kufanya hivyo kutawezesha kutambua mapema kasoro badala ya kuzijua wakati mradi umekamilika chini ya kiwango na fedha zimeliwa.

“Tusijitenganishe na miradi yetu wenyeviti na kamati za siasa, lazima mkague miradi, siyo hiyari ni lazima. Msipokuwa macho tutawakosesha haki wananchi,” alielekeza Chongolo.

Chongolo amesema kwamba viongozi bora ni wale wenye kupata uchungu wanapoona wale wanaowaongoza.

“Tunataka viongozi wenye uchungu na matatizo ya wananchi, siyo wenye uchungu na mifuko yao,” amesema.

Kuanzia Julai 6 hadi 13, 2021, Katibu Mkuu Daniel Chongolo, akiwa amefuatana na wajumbe wa sekretarieti ya CCM taifa, Kanali mstaafu Ngemela Lubinga, Shaka Hamdu Shaka na Kenani Kihongosi, wamefanya ziara katika mikoa ya nyanda za juu kusini; Rukwa, Songwe na Mbeya.

Na Jacqueline Liana, Mbeya

#PICHA: KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (kulia), Daniel Chongolo, akisikiliza maelezo  ya kifaa cha  .CT Scan toka kwa Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa, Dkt. Martha Chacha, alipo tembelea hospitali ya Wilaya hiyo, Kushoto ni mbunge wa Jimbo la Nkasi, Vicente Mbogo, Julai 08,2021

admin

admin

Stay Connected test

  • 139 Follower
  • 205k Subscriber
  • 23.9k Follower
  • 99 Subscriber
  • Trending
  • Comments
  • Latest
MADAKTARI WAELEZEA JINSI YA KUZUIA MIMBA ISIHARIBIKE

MADAKTARI WAELEZEA JINSI YA KUZUIA MIMBA ISIHARIBIKE

July 9, 2021
BREAKING NEWS: RATIBA LIGI KUU NBC MSIMU WA 2023/2024 HII HAPA

BREAKING NEWS: RATIBA LIGI KUU NBC MSIMU WA 2023/2024 HII HAPA

August 7, 2023
TABWA YAMSIFU SAMIA KUWAPA FURSA WANAWAKE

TABWA YAMSIFU SAMIA KUWAPA FURSA WANAWAKE

July 9, 2021
BEI MPYA YA MBAAZI, KUNDE YAWAPANDISHA MZUKA WAKULIMA

BEI MPYA YA MBAAZI, KUNDE YAWAPANDISHA MZUKA WAKULIMA

August 9, 2021
NDUGU MATATANI KUMSHAMBULIA, KUMJERUHI MWENZAO KISA NG’OMBE

NDUGU MATATANI KUMSHAMBULIA, KUMJERUHI MWENZAO KISA NG’OMBE

0
WAHANDISI WA HALMASHAURI WAMEKUA WAKIIKOSEA SERIKALI KWAKUTOA TAARIFA ZA UONGO

WAHANDISI WA HALMASHAURI WAMEKUA WAKIIKOSEA SERIKALI KWAKUTOA TAARIFA ZA UONGO

0

OFISA ELIMU, MHANDISI, MKUU WA SHULE WAKALIA ‘KUTI KAVU’

0
STENDI YA ZAMANI UBUNGO  KUJENGWA DEPO MABASI MWENDOKASI

STENDI YA ZAMANI UBUNGO KUJENGWA DEPO MABASI MWENDOKASI

0

Exploring Herbal Viagra Alternatives: Natural Solutions for Men’s Health

May 23, 2025
TALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 20, 2024

TALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 20, 2024

November 20, 2024

YALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 12, 2024

November 12, 2024
YALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 11, 2024

YALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 11, 2024

November 11, 2024

Recent News

Instagram Youtube Twitter Facebook

We are a diverse team of experts, innovative thinkers, creative designers, writers, innovators, strategists, pyschologists, comunictaors and web developers. UMG is extremely passionate about growing clients’ businesses, helping them achieve their goals and making a difference by raising the creative and communications industry standards in Tanzania.

Follow Us

Browse by Category

  • 231
  • Afya Makala
  • BIASHARA
  • BURUDANI
  • Business
  • HABARI KIMATAIFA
  • Habari Kitaifa
  • Habari Picha
  • KIMATAIFA
  • MAGAZETI
  • MAHAKAMANI
  • MAKALA
  • MAKALA AFYA
  • MAKALA-BURUDANI
  • MICHEZO
  • MICHEZO KIMATAIFA
  • MICHEZO KITAIFA
  • MICHEZO-MAKALA
  • MICHEZO-MASUMBWI
  • MITINDO
  • RIWAYA
  • SIASA
  • Sports
  • Uncategorized

Recent News

Exploring Herbal Viagra Alternatives: Natural Solutions for Men’s Health

May 23, 2025
TALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 20, 2024

TALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 20, 2024

November 20, 2024

© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved

No Result
View All Result

© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved

Login to your account below

Forgotten Password?

Fill the forms bellow to register

All fields are required. Log In

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In