Sunday, August 3, 2025
English English Kiswahili Kiswahili
UMG
  • Mwanzo
  • UMG
  • Siasa
    • All
    • Business
    SHIRIKA LA OMUKA HUB NA NDI WAANDAA MAJADILIANO YA JUKWAA LA WANAWAKE KATIKA SIASA

    SHIRIKA LA OMUKA HUB NA NDI WAANDAA MAJADILIANO YA JUKWAA LA WANAWAKE KATIKA SIASA

    WAZIRI JAFO ATETA NA WAKUU WA MIKOA

    WAZIRI JAFO ATETA NA WAKUU WA MIKOA

    MAKAMU MWENYEKITI UVCCM AWAJIA JUU WANAOWACHAFUA VIONGOZI

    MAKAMU MWENYEKITI UVCCM AWAJIA JUU WANAOWACHAFUA VIONGOZI

    MAKAMU WA RAIS DK. PHILIP MPANGO AKIONDOKA NCHINI ANGOLA

    MAKAMU WA RAIS DK. PHILIP MPANGO AKIONDOKA NCHINI ANGOLA

    RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI

    RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI

    FORBES YAMTAJA TENA RAIS SAMIA.. “NI MIONGONI MWA WANAWAKE 100 WENYE UWEZO MKUBWA DUNIANI”

    FORBES YAMTAJA TENA RAIS SAMIA.. “NI MIONGONI MWA WANAWAKE 100 WENYE UWEZO MKUBWA DUNIANI”

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • Biashara
    WAJASIRIAMALI WASHAURIWA KUTHIBITISHA UBORA WA BIDHAA NJOMBE

    WAJASIRIAMALI WASHAURIWA KUTHIBITISHA UBORA WA BIDHAA NJOMBE

    SHERIA YA LOCAL CONTENT INAVYONUFAISHA WAWEKEZAJI WAZAWA GGML

    SHERIA YA LOCAL CONTENT INAVYONUFAISHA WAWEKEZAJI WAZAWA GGML

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • Burudani
    • All
    • Sports
    YANGA YAMNYATIA ABIALA KUTOKA CONGO DR

    YANGA YAMNYATIA ABIALA KUTOKA CONGO DR

    SIMBA YAICHAPA KAGERA SUGAR 3-0

    SIMBA YAICHAPA KAGERA SUGAR 3-0

  • Michezo
    SERIKALI YAAHIDI KUWAPELEKA MASHABIKI WA YANGA AFRIKA KUSINI

    SERIKALI YAAHIDI KUWAPELEKA MASHABIKI WA YANGA AFRIKA KUSINI

    YANGA SC YAACHANA NA MOLOKO

    YANGA SC YAACHANA NA MOLOKO

    TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA

    TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA

    TFF YAUFUNGIA UWANJA WA UHURU

    TFF YAUFUNGIA UWANJA WA UHURU

    BENCHIKHA; MCHEZO WA KESHO UTACHORA RAMANI KUELEKEA LIGI YA MABINGWA AFRIKA DHIDI YA WYDAD CASABLANCA

    BENCHIKHA; MCHEZO WA KESHO UTACHORA RAMANI KUELEKEA LIGI YA MABINGWA AFRIKA DHIDI YA WYDAD CASABLANCA

    Trending Tags

    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • MAGAZETI
    • UELEKEO
  • UMG DIGITAL
  • UELEKEO DIGITAL
    • Instagram
    • Facebook
    • Twitter
    • Youtube
  • English English
  • Kiswahili Kiswahili

No Result
View All Result
UMG
No Result
View All Result
Mwanzo Habari Kitaifa

COTUL YAIOMBA SERIKALI KUSAIDIA KUNUNUA MACHAPISHO YA KIELEKITRONIKI

Flora Bathromew by Flora Bathromew
May 24, 2025
in Habari Kitaifa
0 0
0
COTUL YAIOMBA SERIKALI KUSAIDIA KUNUNUA MACHAPISHO YA KIELEKITRONIKI
0
SHARES
20
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Shirikisho la Maktaba za Vyuo Vikuu na Taasisi zinazofanya Utafiti Tanzania (COTUL) limeiomba Serikali kupitia ofisi ya Waziri Mkuu kusaidia kununua machapisho ya kielekitroniki  yanayotumika kufundishia vyuoni kwa kuwa yanauzwa bei ghali ambayo shirikisho hilo haliwezi kumudu kuyanunua.

Mwenyekiti wa Shirikisho hilo , Dk. Sydney Msonde alitoa ombi hilo Novemba 9, 2023 wakati wa ufunguzi wa kongamano la kisayansi ambalo limewakutanisha wanataaluma mbalimbali katika ngazi ya wakutubi, walimu wafundishaji kutoka  vyuo vikuu Tanzania Bara na Visiwani, watafiti pamoja na watu wanaoshughulika na masuala ya teknolojia (IT)

Alisema pamoja na kwamba lengo la COTUL ni kuhakikisha kwamba machapisho ya kielekitroniki yanapatikana kwa walimu na wanafunzi ili waweze kufanya shughuli zao za msingi za kujifunza, kufundisha na kufanya utafiti hapa nchini lakini kununua machapisho hayo imekuwa changamoto kutokana na kuuzwa bei ghali.

Dkt. Msonde alitoa mfano uchapishaji wa kanzi data inayoitwa ‘Sience Direct’ ambayo inauzwa dola za Marekani 250,000 hivyo sio rahisi kwa taasisi moja za hapa nchini kuweza kumudu kununua chapisho kama hilo.

“COTUL kazi yetu kubwa ni kuhamasisha na kuzileta pamoja taasisi zote za umma na za watu binafsi ili ziweze kuchangia kwa sehemu rasilimali fedha zitakazo wezesha kununua machapisho hayo ya msingi katika kukidhi haja ya kufanya ufundishaji na utafiti nchini,” alisema Dk. Msonde.

Dk. Msonde alisema uhaulishaji na upatikanaji wa machapisho hayo unaweza usiwe na tija kama walimu na wanafunzi watakao kuwa wanayatumia hawatajengewa uwezo bora wa kuyatumia jambo ambalo ndilo la msingi.

Alisema lengo la kongamano hilo ni kujadili mustakabari wa fani ya ukutubi na namna gani walimu katika taasisi za umma na watu binafsi wanaweza kutumia machapisho ya kielekitroniki katika kuboresha ufundishaji na ujifunzaji kwa wanafunzi Tanzania.

Naye Mkurugenzi wa Idara ya Ufuatiliaji na Tathmini Ofisi ya Waziri Mkuu, Sakina Mwinyimkuu, alipongeza COTUL kwa kupiga hatua kubwa katika kipindi cha miaka 15 tangu shirikisho hilo lilipoanzishwa mwaka 2008.

Alisema shirikisho hilo limekuwa msaada mkubwa kwa serikali kwa kuisaidia kupata taarifa na maarifa mbalimbali ambayo kwa njia ya kawaida ingekuwa ni gharama kubwa kuyapata.

“Uwepo wa COTUL ni fursa hata kwa sisi tunaohusika na kufanya tathmini mbalimbali zikiwemo za utafiti hakika ni jukwaa muhimu sana,” alisema Mwinyimkuu.

Mwinyimkuu alisema Serikali itaendelea kuunga mkono kazi zinayofanywa na COTUL na kuliomba shirikisho hilo kukutana na wadau wa elimu ndani ya Serikali ili waone namna ya kushirikiana nao na kuwa kazi zao zinazihitaji na hazikwepeki hasa katika kipindi hiki ambacho dunia inahitaji teknolojia kwa ajili kukuza uchumi.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa  Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania (TLSB), Dk. Mboni Ruzegea alisema Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dk.Samia Suluhu Hassan inafanya maboresho makubwa ya maktaba kutoka katika mfumo wa kuhifadhi vitabu na machapisho mengine kwa njia ya kizamani ya karatasi na kwenda kwenye mfumo wa kidijitali.

Mmoja wa wafadhili wa kongamano hilo Mkurugenzi wa Kampuni ya Totoo Ltd yenye makao yake makuu mkoani Kilimanjaro, Dk. Elvis Silayo alisema changamoto kubwa inayowafanya watu wengi washindwe kuitumia maktaba kwanza wanakuwa hawajui taarifa ambazo wanaweza kuzipata  na imekuwa ikichukuliwa kama sehemu ya taaluma na inatakiwa kuwa mashuleni.

Alisema watu wengi hawapendi kusoma mambo ya taaluma lakini maktaba kuna taarifa nyingi ambazo wanaweza kuzipata na kuwasaidia kupata maarifa yanayoweza kuwasaidia katika maisha yao ya kila siku.

Alisema maktaba za sasa zinavitabu vilivyochapishwa kwenye miaka ya 70 na 80 hivyo taarifa zake haziwezi kuwa na msaada kwa mtu anayehitaji kufanya chochote kwa kipindi hiki na kueleza kuwa maktaba za sasa zinapaswa kwenda mbele zaidi kwa kuwa na taarifa ambazo zinakwenda na wakati.

Silayo alisema ile dhana iliyozoeleka kuwa maktaba zipo kwa ajili ya kumuandaa mwanafunzi afaulu mtihani sasa iachwe badala yake zitumike kuwaandaa kimaisha.

 Naye Mhadhiri wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM), Dk. Valeria Kyumana, alisema mafunzo hayo yamewajenga kwasababu hivi sasa teknolojia inakuwa na maktaba na huduma wanazotoa haziwezi kuendelea kwa kutumia mfumo wa zamani waliokuwa wakiutoa.

“Ni lazima tuangalie teknolojia inavyokwenda tukue nayo na kama sisi wakutubi tuweze kuichukua na kuitoa kwa wateja wetu tunaowahudumia ambao ni wanafunzi na watu wengine,” alisema Kyumana.

Baadhi ya wadhamini wa kongamano hilo ni Totoo Company Ltd, Ebsco, Elsevier,  Jove, Buku,Eclat, Bookstore, emerad insight, TCC na  LexisNexis.

Related post: Exploring Herbal Viagra Alternatives: Natural Solutions for Men’s Health

Flora Bathromew

Flora Bathromew

Stay Connected test

  • 139 Follower
  • 205k Subscriber
  • 23.9k Follower
  • 99 Subscriber
  • Trending
  • Comments
  • Latest
MADAKTARI WAELEZEA JINSI YA KUZUIA MIMBA ISIHARIBIKE

MADAKTARI WAELEZEA JINSI YA KUZUIA MIMBA ISIHARIBIKE

July 9, 2021
BREAKING NEWS: RATIBA LIGI KUU NBC MSIMU WA 2023/2024 HII HAPA

BREAKING NEWS: RATIBA LIGI KUU NBC MSIMU WA 2023/2024 HII HAPA

August 7, 2023
TABWA YAMSIFU SAMIA KUWAPA FURSA WANAWAKE

TABWA YAMSIFU SAMIA KUWAPA FURSA WANAWAKE

July 9, 2021
BEI MPYA YA MBAAZI, KUNDE YAWAPANDISHA MZUKA WAKULIMA

BEI MPYA YA MBAAZI, KUNDE YAWAPANDISHA MZUKA WAKULIMA

August 9, 2021
NDUGU MATATANI KUMSHAMBULIA, KUMJERUHI MWENZAO KISA NG’OMBE

NDUGU MATATANI KUMSHAMBULIA, KUMJERUHI MWENZAO KISA NG’OMBE

0
WAHANDISI WA HALMASHAURI WAMEKUA WAKIIKOSEA SERIKALI KWAKUTOA TAARIFA ZA UONGO

WAHANDISI WA HALMASHAURI WAMEKUA WAKIIKOSEA SERIKALI KWAKUTOA TAARIFA ZA UONGO

0

OFISA ELIMU, MHANDISI, MKUU WA SHULE WAKALIA ‘KUTI KAVU’

0
STENDI YA ZAMANI UBUNGO  KUJENGWA DEPO MABASI MWENDOKASI

STENDI YA ZAMANI UBUNGO KUJENGWA DEPO MABASI MWENDOKASI

0

Exploring Herbal Viagra Alternatives: Natural Solutions for Men’s Health

May 23, 2025
TALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 20, 2024

TALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 20, 2024

November 20, 2024

YALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 12, 2024

November 12, 2024
YALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 11, 2024

YALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 11, 2024

November 11, 2024

Recent News

Instagram Youtube Twitter Facebook

We are a diverse team of experts, innovative thinkers, creative designers, writers, innovators, strategists, pyschologists, comunictaors and web developers. UMG is extremely passionate about growing clients’ businesses, helping them achieve their goals and making a difference by raising the creative and communications industry standards in Tanzania.

Follow Us

Browse by Category

  • 231
  • Afya Makala
  • BIASHARA
  • BURUDANI
  • Business
  • HABARI KIMATAIFA
  • Habari Kitaifa
  • Habari Picha
  • KIMATAIFA
  • MAGAZETI
  • MAHAKAMANI
  • MAKALA
  • MAKALA AFYA
  • MAKALA-BURUDANI
  • MICHEZO
  • MICHEZO KIMATAIFA
  • MICHEZO KITAIFA
  • MICHEZO-MAKALA
  • MICHEZO-MASUMBWI
  • MITINDO
  • RIWAYA
  • SIASA
  • Sports
  • Uncategorized

Recent News

Exploring Herbal Viagra Alternatives: Natural Solutions for Men’s Health

May 23, 2025
TALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 20, 2024

TALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 20, 2024

November 20, 2024

© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved

No Result
View All Result

© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved

Login to your account below

Forgotten Password?

Fill the forms bellow to register

All fields are required. Log In

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In