Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Dk. Emmanuel John Nchimbi akiambatana na timu maalumu amewasili mkoani Katavi leo Aprili 13, 2024 kuanza ziara itakayojumuisha mikoa sita ncini.
Katika ziara hii anaongozana na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Ndugu. Amos Makala na Katibu wa NEC, Oganaizesheni, Ndugu. Issa Ussi Haji Gavu.