Tuesday, May 20, 2025
27 °c
Dar es Salaam
25 ° Thu
25 ° Fri
25 ° Sat
25 ° Sun
25 ° Mon
English English Kiswahili Kiswahili
UMG
  • Mwanzo
  • UMG
  • Siasa
    • All
    • Business
    SHIRIKA LA OMUKA HUB NA NDI WAANDAA MAJADILIANO YA JUKWAA LA WANAWAKE KATIKA SIASA

    SHIRIKA LA OMUKA HUB NA NDI WAANDAA MAJADILIANO YA JUKWAA LA WANAWAKE KATIKA SIASA

    WAZIRI JAFO ATETA NA WAKUU WA MIKOA

    WAZIRI JAFO ATETA NA WAKUU WA MIKOA

    MAKAMU MWENYEKITI UVCCM AWAJIA JUU WANAOWACHAFUA VIONGOZI

    MAKAMU MWENYEKITI UVCCM AWAJIA JUU WANAOWACHAFUA VIONGOZI

    MAKAMU WA RAIS DK. PHILIP MPANGO AKIONDOKA NCHINI ANGOLA

    MAKAMU WA RAIS DK. PHILIP MPANGO AKIONDOKA NCHINI ANGOLA

    RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI

    RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI

    FORBES YAMTAJA TENA RAIS SAMIA.. “NI MIONGONI MWA WANAWAKE 100 WENYE UWEZO MKUBWA DUNIANI”

    FORBES YAMTAJA TENA RAIS SAMIA.. “NI MIONGONI MWA WANAWAKE 100 WENYE UWEZO MKUBWA DUNIANI”

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • Biashara
    WAJASIRIAMALI WASHAURIWA KUTHIBITISHA UBORA WA BIDHAA NJOMBE

    WAJASIRIAMALI WASHAURIWA KUTHIBITISHA UBORA WA BIDHAA NJOMBE

    SHERIA YA LOCAL CONTENT INAVYONUFAISHA WAWEKEZAJI WAZAWA GGML

    SHERIA YA LOCAL CONTENT INAVYONUFAISHA WAWEKEZAJI WAZAWA GGML

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • Burudani
    • All
    • Sports
    YANGA YAMNYATIA ABIALA KUTOKA CONGO DR

    YANGA YAMNYATIA ABIALA KUTOKA CONGO DR

    SIMBA YAICHAPA KAGERA SUGAR 3-0

    SIMBA YAICHAPA KAGERA SUGAR 3-0

  • Michezo
    SERIKALI YAAHIDI KUWAPELEKA MASHABIKI WA YANGA AFRIKA KUSINI

    SERIKALI YAAHIDI KUWAPELEKA MASHABIKI WA YANGA AFRIKA KUSINI

    YANGA SC YAACHANA NA MOLOKO

    YANGA SC YAACHANA NA MOLOKO

    TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA

    TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA

    TFF YAUFUNGIA UWANJA WA UHURU

    TFF YAUFUNGIA UWANJA WA UHURU

    BENCHIKHA; MCHEZO WA KESHO UTACHORA RAMANI KUELEKEA LIGI YA MABINGWA AFRIKA DHIDI YA WYDAD CASABLANCA

    BENCHIKHA; MCHEZO WA KESHO UTACHORA RAMANI KUELEKEA LIGI YA MABINGWA AFRIKA DHIDI YA WYDAD CASABLANCA

    Trending Tags

    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • MAGAZETI
    • UELEKEO
  • UMG DIGITAL
  • UELEKEO DIGITAL
    • Instagram
    • Facebook
    • Twitter
    • Youtube
  • English English
  • Kiswahili Kiswahili

No Result
View All Result
UMG
No Result
View All Result
Mwanzo Habari Kitaifa

KAMPENI YA HOLELA-HOLELA YAZINDULIWA DAR ES SALAAM

Flora Bathromew by Flora Bathromew
May 27, 2024
in Habari Kitaifa
0 0
0
KAMPENI YA HOLELA-HOLELA YAZINDULIWA DAR ES SALAAM
0
SHARES
60
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Ofisi ya Waziri Mkuu kwa kushirikiana na Wizara ya Afya, Wizara ya Mifugo na Uvuvi na Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID), wanajivunia kuzindua kampeni ya “Holela-Holela Itakukosti” ambayo imezinduliwa Jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Kampeni hii unasisitiza mbinu kamilifu ya ” Afya Moja” kushughulikia tatizo la UVIDA na magonjwa ya zuonotiki.

Kampeni ya “Holela-Holela Itakukosti,” ambayo inamaana ya “uzembe unagharimu,” inaonyesha uhusiano muhimu kati ya afya ya binadamu, afya ya wanyama, na mazingira. Kwa kutumia mkakati wa sekta mtambuka, kampeni inalenga kushughulikia sababu mbalimbali za kijamii zinazopelekea tatizo la UVIDA na magonjwa ya zuonotiki.

Kampeini ya Holela Holela inaonyesha athari za UVIDA na magonjwa ya zuonotiki, ikisisitiza umuhimu wa matumizi sahihi ya dawa na kufuata miongozo ya matibabu ili kuzuia kuenea kwa maambukizi sugu. Vile vile, Wizara ya Afya, Wizara ya Mifugo na Uvuvi zina jukumu muhimu katika kampeni, zikitambua kwamba matumizi yasiyo sahihi ya dawa kwa binadamu na wanyama, yanachangia kwa kiasi kikubwa katika kuongezeka kwa tatizo la UVIDA.

Akizungumz Jijini Dar es Salaam wakati wa kuzindua kampeini hiyo, Mkurugenzi wa Usimamizi wa Maafa kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu Brigedia Generali Hosea Ndagala alisema “Kushughulikia tatizo la UVIDA na magonjwa ya zuonotiki kunahitaji mbinu ya jumla inayojumuisha afya ya binadamu, afya ya wanyama, na afya ya mazingira” huku akiongeza “Mkakati wetu wa – ‘Afya Moja’ unahakikisha tunashughulikia masuala haya kwa ujumla wake, tukikuza tabia endelevu katika sekta zote.”

“Tabia duni za ufugaji, kama vile msongamano wa wanyama na udhibiti duni wa magonjwa, husababisha milipuko ya mara kwa mara ya magonjwa ya kuambukiza kwa wanyama. Hii, kwa upande mwingine, inapelekea wafugaji kutumia dawa mara kwa mara na hivyo kuchangia kuongezeka kwa tatizo la UVIDA” alisema Brigedia Ndagala huku akisisitiza kuwa uharibifu wa mazingira na usimamizi mbaya wa taka huchochea zaidi kuenea kwa vijidudu vinayosababisha magonjwa sugu na vimelea vya vinayosababisha magonjwa ya wanyama, na hivyo kuleta maambukizi yanayoathiri wanyama na binadamu.

Alex Klaits, Kaimu Mkurugenzi wa USAID alisisitiza umuhimu wa juhudi za pamoja, akisema, “Kampeni inaonyesha jukumu muhimu la ushirikiano katika kuleta athari chanya na kuhakikisha uendelevu wa muda mrefu, ikiwaleta pamoja wadau wa Afya moja kutoka sekta mbalimbali kupambana na UVIDA na magonjwa ya zuonotiki.

Mkurugenzi Msaidizi wa Afya Moja, Ofisi ya Waziri Mkuu, Dk. Salim Manyatta kutoka Wizara ya Mifugo na Uvuvi alisisitiza jukumu muhimu la usimamizi mzuri wa mifugo, “Kuboresha mbinu za ufugaji wanyama na kuhakikisha wafugaji wanafuata ushauri wa wataalamu wa mifugo ni mbinu muhimu zaidi dhidi ya UVIDA na magonjwa ya zuonotiki. Juhudi zetu katika kampeni hii zitasaidia kulinda afya ya wanyama na binadamu.”

Kampeni itasambaza seti kamili ya nyenzo zitakazotumika na wanahabari, waelimishaji katika ngazi ya jamii, watoa huduma za afya na viongozi wa dini. Nyenzo hizo zina taarifa ya kutosha kuhusu uhusiano kati ya afya ya binadamu, wanyama, na mazingira na kuhamasisha tabia za kujikinga na UVIDA na magonjwa ya zuonotiki.

Kampeni ya “Holela-Holela Itakukosti” inaashiria hatua mbele katika juhudi za Tanzania kupambana na UVIDA na magonjwa ya zuonotiki kupitia mpango wa ‘Afya Moja’. Kwa kuziunganisha sekta za afya ya binadamu, wanyama, na mazingira, kampeni inalenga kuweka mustakabali endelevu kwa watanzania wote.

Flora Bathromew

Flora Bathromew

Stay Connected test

  • 139 Follower
  • 204k Subscriber
  • 23.9k Follower
  • 99 Subscriber
  • Trending
  • Comments
  • Latest
MADAKTARI WAELEZEA JINSI YA KUZUIA MIMBA ISIHARIBIKE

MADAKTARI WAELEZEA JINSI YA KUZUIA MIMBA ISIHARIBIKE

July 9, 2021
BREAKING NEWS: RATIBA LIGI KUU NBC MSIMU WA 2023/2024 HII HAPA

BREAKING NEWS: RATIBA LIGI KUU NBC MSIMU WA 2023/2024 HII HAPA

August 7, 2023
TABWA YAMSIFU SAMIA KUWAPA FURSA WANAWAKE

TABWA YAMSIFU SAMIA KUWAPA FURSA WANAWAKE

July 9, 2021
BEI MPYA YA MBAAZI, KUNDE YAWAPANDISHA MZUKA WAKULIMA

BEI MPYA YA MBAAZI, KUNDE YAWAPANDISHA MZUKA WAKULIMA

August 9, 2021
NDUGU MATATANI KUMSHAMBULIA, KUMJERUHI MWENZAO KISA NG’OMBE

NDUGU MATATANI KUMSHAMBULIA, KUMJERUHI MWENZAO KISA NG’OMBE

0
WAHANDISI WA HALMASHAURI WAMEKUA WAKIIKOSEA SERIKALI KWAKUTOA TAARIFA ZA UONGO

WAHANDISI WA HALMASHAURI WAMEKUA WAKIIKOSEA SERIKALI KWAKUTOA TAARIFA ZA UONGO

0

OFISA ELIMU, MHANDISI, MKUU WA SHULE WAKALIA ‘KUTI KAVU’

0
STENDI YA ZAMANI UBUNGO  KUJENGWA DEPO MABASI MWENDOKASI

STENDI YA ZAMANI UBUNGO KUJENGWA DEPO MABASI MWENDOKASI

0
TALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 20, 2024

TALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 20, 2024

November 20, 2024

YALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 12, 2024

November 12, 2024
YALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 11, 2024

YALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 11, 2024

November 11, 2024
YALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 1, 2024

YALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 1, 2024

October 31, 2024

Recent News

Instagram Youtube Twitter Facebook

We are a diverse team of experts, innovative thinkers, creative designers, writers, innovators, strategists, pyschologists, comunictaors and web developers. UMG is extremely passionate about growing clients’ businesses, helping them achieve their goals and making a difference by raising the creative and communications industry standards in Tanzania.

Follow Us

Browse by Category

  • Afya Makala
  • BIASHARA
  • BURUDANI
  • Business
  • HABARI KIMATAIFA
  • Habari Kitaifa
  • Habari Picha
  • KIMATAIFA
  • MAGAZETI
  • MAHAKAMANI
  • MAKALA
  • MAKALA AFYA
  • MAKALA-BURUDANI
  • MICHEZO
  • MICHEZO KIMATAIFA
  • MICHEZO KITAIFA
  • MICHEZO-MAKALA
  • MICHEZO-MASUMBWI
  • MITINDO
  • RIWAYA
  • SIASA
  • Sports
  • Uncategorized

Recent News

TALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 20, 2024

TALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 20, 2024

November 20, 2024

YALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 12, 2024

November 12, 2024

© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved

No Result
View All Result

© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved

Login to your account below

Forgotten Password?

Fill the forms bellow to register

All fields are required. Log In

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In