Monday, August 4, 2025
English English Kiswahili Kiswahili
UMG
  • Mwanzo
  • UMG
  • Siasa
    • All
    • Business
    SHIRIKA LA OMUKA HUB NA NDI WAANDAA MAJADILIANO YA JUKWAA LA WANAWAKE KATIKA SIASA

    SHIRIKA LA OMUKA HUB NA NDI WAANDAA MAJADILIANO YA JUKWAA LA WANAWAKE KATIKA SIASA

    WAZIRI JAFO ATETA NA WAKUU WA MIKOA

    WAZIRI JAFO ATETA NA WAKUU WA MIKOA

    MAKAMU MWENYEKITI UVCCM AWAJIA JUU WANAOWACHAFUA VIONGOZI

    MAKAMU MWENYEKITI UVCCM AWAJIA JUU WANAOWACHAFUA VIONGOZI

    MAKAMU WA RAIS DK. PHILIP MPANGO AKIONDOKA NCHINI ANGOLA

    MAKAMU WA RAIS DK. PHILIP MPANGO AKIONDOKA NCHINI ANGOLA

    RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI

    RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI

    FORBES YAMTAJA TENA RAIS SAMIA.. “NI MIONGONI MWA WANAWAKE 100 WENYE UWEZO MKUBWA DUNIANI”

    FORBES YAMTAJA TENA RAIS SAMIA.. “NI MIONGONI MWA WANAWAKE 100 WENYE UWEZO MKUBWA DUNIANI”

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • Biashara
    WAJASIRIAMALI WASHAURIWA KUTHIBITISHA UBORA WA BIDHAA NJOMBE

    WAJASIRIAMALI WASHAURIWA KUTHIBITISHA UBORA WA BIDHAA NJOMBE

    SHERIA YA LOCAL CONTENT INAVYONUFAISHA WAWEKEZAJI WAZAWA GGML

    SHERIA YA LOCAL CONTENT INAVYONUFAISHA WAWEKEZAJI WAZAWA GGML

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • Burudani
    • All
    • Sports
    YANGA YAMNYATIA ABIALA KUTOKA CONGO DR

    YANGA YAMNYATIA ABIALA KUTOKA CONGO DR

    SIMBA YAICHAPA KAGERA SUGAR 3-0

    SIMBA YAICHAPA KAGERA SUGAR 3-0

  • Michezo
    SERIKALI YAAHIDI KUWAPELEKA MASHABIKI WA YANGA AFRIKA KUSINI

    SERIKALI YAAHIDI KUWAPELEKA MASHABIKI WA YANGA AFRIKA KUSINI

    YANGA SC YAACHANA NA MOLOKO

    YANGA SC YAACHANA NA MOLOKO

    TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA

    TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA

    TFF YAUFUNGIA UWANJA WA UHURU

    TFF YAUFUNGIA UWANJA WA UHURU

    BENCHIKHA; MCHEZO WA KESHO UTACHORA RAMANI KUELEKEA LIGI YA MABINGWA AFRIKA DHIDI YA WYDAD CASABLANCA

    BENCHIKHA; MCHEZO WA KESHO UTACHORA RAMANI KUELEKEA LIGI YA MABINGWA AFRIKA DHIDI YA WYDAD CASABLANCA

    Trending Tags

    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • MAGAZETI
    • UELEKEO
  • UMG DIGITAL
  • UELEKEO DIGITAL
    • Instagram
    • Facebook
    • Twitter
    • Youtube
  • English English
  • Kiswahili Kiswahili

No Result
View All Result
UMG
No Result
View All Result
Mwanzo Habari Kitaifa

KASEKENYA AIAGIZA TBA KUKAMILISHA UJENZI WA JENGO LA MAKAZI NA BIASHARA

admin by admin
September 25, 2021
in Habari Kitaifa
0 0
0
KASEKENYA AIAGIZA TBA KUKAMILISHA UJENZI WA JENGO LA MAKAZI NA BIASHARA

NAIBU Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Eng. Godfrey Kasekenya, akitoa maelekezo kwa Kaimu Meneja wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), mkoa wa Arusha Eng. Juma Dandi, wakati akikagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa jengo la makazi na biashara, jijini Arusha.

0
SHARES
158
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

NAIBU Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Eng. Godfrey Kasekenya, ameuagiza Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), kukamilisha mradi wa ujenzi wa jengo la makazi na biashara linalojengwa na wakala huo mkoani Arusha haraka iwezekanavyo ili liweze kutoa huduma kwa watumishi na kuongeza mapato ya wakala huo na kwa Taifa.

Eng. Kasekenya amesema hayo jijini Arusha, wakati akikagua maendeleo ya mradi ujenzi wa jengo hilo ambalo litakuwa na uwezo wa kuhudumia kaya 22 pindi litakapokamilika na kuupongeza Wakala huo kwa kuwa wabunifu kwa kuongeza majengo ya kibiashara hasa katika majiji makuu.

“Niwapongeze kwa kuwa wabunifu kwani matunda haya ni matokeo ya mapato yenu ya ndani, hivyo hakikisheni mnalikamilisha jengo hili mapema zaidi na kuanza ujenzi wa majengo mengine mengi zaidi katika majiji kwani mahitaji ni makubwa sana”, amesema Naibu Waziri Kasekenya.

Aidha, ameutaka Wakala huo kuweka kipaumbele katika mji mkuu wa Serikali wa Dodoma kwa kuanza kujenga majengo ya viongozi, watumishi pamoja na ya kibiashara kwa ajili ya kukodisha kwa watu binafsi ili kuongeza mapato yao ya ndani.

Naibu Waziri huyo amewaasa wafanyakazi kazi wa TBA kuongeza kasi ya utendaji kazi kwa umakini, kujituma, uaminifu na kuwa wabunifu kila siku ili kuongeza vyanzo vya ndani vya mapato.

MUONEKANO wa mradi wa ujenzi wa jengo la makazi na biashara linalojengwa na Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), jijini Arusha, ambalo ujenzi wake umefikia asilimia 80. Jengo hilo litakapokamilika litakuwa na uwezo wa kuhudumia kaya 22 na ujenzi wake unagharimu kiasi cha shilingi Bilioni 5.2.

Kwa upande wake, Kaimu Meneja wa Wakala wa Majengo nchini (TBA), mkoa wa Arusha Eng. Juma Dandi, amesema kuwa jengo hilo linakusudiwa kutoa makazi kwa watumishi wa umma ili kupunguza pengo lililopo la mahitaji halisi ya makazi kwa watumishi wa umma mkoani humo.

Amefafanua kuwa jengo hilo linagharimu kiasi cha shilingi Bilioni 5.2 ambapo ujenzi wake mpaka sasa umefikia asilimia 80 na unatarajiwa kukamilika mwezi Juni, 2022.

Mradi wa ujenzi wa jengo la makazi na biashara uliopo mkoani Arusha ni moja ya mikakati ya Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), katika kutoa huduma ya nyumba za kupanga kwa watumishi wa umma pamoja na kuongeza pato kwa wakala huo

Mhandisi Kasekenya yuko mkoani Arusha kwa ziara ya kikazi ya siku mbili, kukagua utekelezaji wa miradi mbalimbali ya Serikali inayosimamiwa na Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi.

admin

admin

Stay Connected test

  • 139 Follower
  • 205k Subscriber
  • 23.9k Follower
  • 99 Subscriber
  • Trending
  • Comments
  • Latest
MADAKTARI WAELEZEA JINSI YA KUZUIA MIMBA ISIHARIBIKE

MADAKTARI WAELEZEA JINSI YA KUZUIA MIMBA ISIHARIBIKE

July 9, 2021
BREAKING NEWS: RATIBA LIGI KUU NBC MSIMU WA 2023/2024 HII HAPA

BREAKING NEWS: RATIBA LIGI KUU NBC MSIMU WA 2023/2024 HII HAPA

August 7, 2023
TABWA YAMSIFU SAMIA KUWAPA FURSA WANAWAKE

TABWA YAMSIFU SAMIA KUWAPA FURSA WANAWAKE

July 9, 2021
BEI MPYA YA MBAAZI, KUNDE YAWAPANDISHA MZUKA WAKULIMA

BEI MPYA YA MBAAZI, KUNDE YAWAPANDISHA MZUKA WAKULIMA

August 9, 2021
NDUGU MATATANI KUMSHAMBULIA, KUMJERUHI MWENZAO KISA NG’OMBE

NDUGU MATATANI KUMSHAMBULIA, KUMJERUHI MWENZAO KISA NG’OMBE

0
WAHANDISI WA HALMASHAURI WAMEKUA WAKIIKOSEA SERIKALI KWAKUTOA TAARIFA ZA UONGO

WAHANDISI WA HALMASHAURI WAMEKUA WAKIIKOSEA SERIKALI KWAKUTOA TAARIFA ZA UONGO

0

OFISA ELIMU, MHANDISI, MKUU WA SHULE WAKALIA ‘KUTI KAVU’

0
STENDI YA ZAMANI UBUNGO  KUJENGWA DEPO MABASI MWENDOKASI

STENDI YA ZAMANI UBUNGO KUJENGWA DEPO MABASI MWENDOKASI

0

Exploring Herbal Viagra Alternatives: Natural Solutions for Men’s Health

May 23, 2025
TALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 20, 2024

TALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 20, 2024

November 20, 2024

YALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 12, 2024

November 12, 2024
YALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 11, 2024

YALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 11, 2024

November 11, 2024

Recent News

Instagram Youtube Twitter Facebook

We are a diverse team of experts, innovative thinkers, creative designers, writers, innovators, strategists, pyschologists, comunictaors and web developers. UMG is extremely passionate about growing clients’ businesses, helping them achieve their goals and making a difference by raising the creative and communications industry standards in Tanzania.

Follow Us

Browse by Category

  • 231
  • Afya Makala
  • BIASHARA
  • BURUDANI
  • Business
  • HABARI KIMATAIFA
  • Habari Kitaifa
  • Habari Picha
  • KIMATAIFA
  • MAGAZETI
  • MAHAKAMANI
  • MAKALA
  • MAKALA AFYA
  • MAKALA-BURUDANI
  • MICHEZO
  • MICHEZO KIMATAIFA
  • MICHEZO KITAIFA
  • MICHEZO-MAKALA
  • MICHEZO-MASUMBWI
  • MITINDO
  • RIWAYA
  • SIASA
  • Sports
  • Uncategorized

Recent News

Exploring Herbal Viagra Alternatives: Natural Solutions for Men’s Health

May 23, 2025
TALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 20, 2024

TALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 20, 2024

November 20, 2024

© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved

No Result
View All Result

© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved

Login to your account below

Forgotten Password?

Fill the forms bellow to register

All fields are required. Log In

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In