[caption id="attachment_17618" align="alignleft" width="2560"]<img class="size-full wp-image-17618" src="https://uhurumedia.co.tz/wp-content/uploads/2021/11/Makamu-2.jpeg" alt="" width="2560" height="2415" /> MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdor Mpango, akimkabidhi zawadi ya picha yenye mchoro wa Mlima Kilimanjaro Naibu Waziri Mkuu wa Singapore, Heng Swee Keat, baada ya kumalizika kwa mazungumzo yao yaliofanyika eneo la Shenton Way Nchini Singapore.[/caption] [caption id="attachment_17619" align="alignleft" width="1599"]<img class="size-full wp-image-17619" src="https://uhurumedia.co.tz/wp-content/uploads/2021/11/Makamu-3.jpeg" alt="" width="1599" height="2206" /> NAIBU Waziri Mkuu wa Singapore, Heng Swee Keat, akimkabidhi zawadi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdor Mpango, baada ya kumalizika kwa mazungumzo yao yaliofanyika Shenton Way nchini Singapore.[/caption] [caption id="attachment_17620" align="alignleft" width="2560"]<img class="size-full wp-image-17620" src="https://uhurumedia.co.tz/wp-content/uploads/2021/11/Makamu-4.jpeg" alt="" width="2560" height="1666" /> NAIBU Waziri Mkuu wa Singapore, Heng Swee Keat, akimuonesha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdor Mpango, Mandhari pamoja na namna nchi ya Singapore ilivyopangiliwa katika ujenzi wa Majengo na Miundombinu katika eneo la Shenton Way.[/caption] Makamu wa Rais yupo nchini Singapore kuhudhuria Mkutano wa Jukwaa la Majadiliano ya Kiuchumi (Bloomberg New Economy Forum 2021 ).