YERUSALEM, Israel
JESHI la Israel limesema miili 1,500 ya wanamgambo wa Hamas, imepatikana nchini Israel
na karibu na Ukanda wa Gaza.
Msemaji wa kimataifa wa Jeshi la Israel, Kanali Richard Hecht, aliongeza kuwa uhamishaji wajumuiya zote za Israel karibu na Ukanda wa Gaza ulikuwa karibu kukamilika.
BBC.