Saturday, July 26, 2025
English English Kiswahili Kiswahili
UMG
  • Mwanzo
  • UMG
  • Siasa
    • All
    • Business
    SHIRIKA LA OMUKA HUB NA NDI WAANDAA MAJADILIANO YA JUKWAA LA WANAWAKE KATIKA SIASA

    SHIRIKA LA OMUKA HUB NA NDI WAANDAA MAJADILIANO YA JUKWAA LA WANAWAKE KATIKA SIASA

    WAZIRI JAFO ATETA NA WAKUU WA MIKOA

    WAZIRI JAFO ATETA NA WAKUU WA MIKOA

    MAKAMU MWENYEKITI UVCCM AWAJIA JUU WANAOWACHAFUA VIONGOZI

    MAKAMU MWENYEKITI UVCCM AWAJIA JUU WANAOWACHAFUA VIONGOZI

    MAKAMU WA RAIS DK. PHILIP MPANGO AKIONDOKA NCHINI ANGOLA

    MAKAMU WA RAIS DK. PHILIP MPANGO AKIONDOKA NCHINI ANGOLA

    RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI

    RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI

    FORBES YAMTAJA TENA RAIS SAMIA.. “NI MIONGONI MWA WANAWAKE 100 WENYE UWEZO MKUBWA DUNIANI”

    FORBES YAMTAJA TENA RAIS SAMIA.. “NI MIONGONI MWA WANAWAKE 100 WENYE UWEZO MKUBWA DUNIANI”

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • Biashara
    WAJASIRIAMALI WASHAURIWA KUTHIBITISHA UBORA WA BIDHAA NJOMBE

    WAJASIRIAMALI WASHAURIWA KUTHIBITISHA UBORA WA BIDHAA NJOMBE

    SHERIA YA LOCAL CONTENT INAVYONUFAISHA WAWEKEZAJI WAZAWA GGML

    SHERIA YA LOCAL CONTENT INAVYONUFAISHA WAWEKEZAJI WAZAWA GGML

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • Burudani
    • All
    • Sports
    YANGA YAMNYATIA ABIALA KUTOKA CONGO DR

    YANGA YAMNYATIA ABIALA KUTOKA CONGO DR

    SIMBA YAICHAPA KAGERA SUGAR 3-0

    SIMBA YAICHAPA KAGERA SUGAR 3-0

  • Michezo
    SERIKALI YAAHIDI KUWAPELEKA MASHABIKI WA YANGA AFRIKA KUSINI

    SERIKALI YAAHIDI KUWAPELEKA MASHABIKI WA YANGA AFRIKA KUSINI

    YANGA SC YAACHANA NA MOLOKO

    YANGA SC YAACHANA NA MOLOKO

    TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA

    TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA

    TFF YAUFUNGIA UWANJA WA UHURU

    TFF YAUFUNGIA UWANJA WA UHURU

    BENCHIKHA; MCHEZO WA KESHO UTACHORA RAMANI KUELEKEA LIGI YA MABINGWA AFRIKA DHIDI YA WYDAD CASABLANCA

    BENCHIKHA; MCHEZO WA KESHO UTACHORA RAMANI KUELEKEA LIGI YA MABINGWA AFRIKA DHIDI YA WYDAD CASABLANCA

    Trending Tags

    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • MAGAZETI
    • UELEKEO
  • UMG DIGITAL
  • UELEKEO DIGITAL
    • Instagram
    • Facebook
    • Twitter
    • Youtube
  • English English
  • Kiswahili Kiswahili

No Result
View All Result
UMG
No Result
View All Result
Mwanzo Habari Kitaifa

MTAALAMU MRADI HPSS TUIMARISHE AFYA AELEZEA FAIDA UTOAJI HUDUMA KIDIGITALI

Flora Bathromew by Flora Bathromew
May 31, 2025
in Habari Kitaifa
0 0
0
MTAALAMU MRADI HPSS TUIMARISHE AFYA AELEZEA FAIDA UTOAJI HUDUMA KIDIGITALI
0
SHARES
63
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

MTAALAM wa Ugharamiaji wa Huduma za Afya wa Mradi wa HPSS Tuimarishe Afya unaotekelezwa hapa nchini na Taasisi ya Swiss Tropical and Public Health kwa ufadhili wa Serikali ya Uswisi, James Kidumba amesema
utoaji huduma za afya kidigitali umekuwa njia sahihi ya kuleta mapinduzi ya mifumo ya afya kusomana na utaratibu mzuri wa utoaji wa huduma ya afya kwa wananchi.

Ameyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimaifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam ambako Mkutano wa 10 wa Kongamano la AfyaTanzania Health Summit) ulifanyika.

Akizungumza na waandishi wa habari Kidunda ameeleza kwa kina kuhusu taasisi yao ambavyo imekuwa ikitekeleza mradi wa Health Promotion and Syestem Strengthening (HPSS) chini ya ufadhili wa Serikali ya Uswiz.

Aidha amefafanua miaka ya nyuma kutokana na ukosekanaji wa huduma za afya kidigitali kila mfumo ulikuwa unakuja peke yake lakini baada ya mapinduzi hayo kwa kipindi hiki wadau wengi wameangazia kuleta pamoja mifumo hiyo ili kusomana.

“Mara zote maamuzi ya upatikanaji wa huduma bora za afya yanategemea zaidi upatikanaji wa taarifa maalum kwa wakati maalum hivyo uwepo kwa mifumo ya kidigitali inayosomana itasaidia kwa kiasi kikubwa upatikanaji wa taarifa kwa urahisi zaidi.”

Ameongeza kwamba ndani ya Kongamano hilo la nne la mkutano wa 10 umewakutanisha na wadau mbalimbali pamoja na watalaam wa masuala ya afya sambamba kuwasilisha jumbe zao ambazo zinabebwa na dhana ya tafiti.

Amesema wao kama wadau mwaka huu tafiti zao zimejikita katika uboreshaji wa mfumo wa upatikanaji wa dawa na vifaa tiba ,katika vituo vya kutolea huduma kupitia mfumo wa ushitindi ambao unahusika uchangiaji au upunguzaji wa nafasi iliyokuwa imeachwa katika upatikanaji wa dawa na Bohari ya Dawa (MSD).

Ameongeza kupitia mkutano huo wametoa mapendekezo yao yakiwemo kuongeza uboreshaji zaidi ya mfumo hasa katika upande wa utoaji wa huduma kidigitali katika upatikanaji wa dawa.

Amefafanua kumekuwa na mapinduzi makubwa katika upande wa utoaji wa huduma ya afya kiteknojia kwa miaka mitano kutoka sasa kurudi nyuma.

“Mifumo ya kidigitali ikiendelea kuimarisha katika utoaji wa huduma za afya itasaidia kurahisisha uwasilishaji wa taarifa na kuwafikia viongozi katika ngazi tofauti tofauti za maamuzi kwa urahisi na kuweza kuzifanyia kazi.”

Wakati huo huo Mwakilishi na Mratibu wa Bima ya Afya ya Jamii( CHF) Mkoa wa Dar es Salaam Walter Amandusi amesema kupitia Ibara ya 83 (i) katika Ilani ya Uchaguzi Mkuu ya CCM imeelekeza wananchi wengi wapate huduma za afya kupitia bima.

Ambapo amesema Serikali iliamua kutengeneza bima za afya kwa wananchi ambao hawapo katika mfumo rasmi ambao unaitwa CHF ambapo 2022 uliboreshwa na kuitwa ICHF.

Ameeleza mfumo huo unatumia mfumo wa kidigitali inahusika na utaratibu mzima wa kusajili mgonjwa na upatikanaji wa huduma za afya.”Mfumo huo tangu umeanza tumesajili wananchi wengi na unaendelea vizuri.”

Aidha amesema wameendelea kuhamasisha wananchi kujiunga na mfumo huo ,kwani ni miongoni mwa mfumo unaosaidia watu kupata huduma za matibabu kuanzia ngazi ya Zahanati hadi Taifa.

Flora Bathromew

Flora Bathromew

Stay Connected test

  • 139 Follower
  • 205k Subscriber
  • 23.9k Follower
  • 99 Subscriber
  • Trending
  • Comments
  • Latest
MADAKTARI WAELEZEA JINSI YA KUZUIA MIMBA ISIHARIBIKE

MADAKTARI WAELEZEA JINSI YA KUZUIA MIMBA ISIHARIBIKE

July 9, 2021
BREAKING NEWS: RATIBA LIGI KUU NBC MSIMU WA 2023/2024 HII HAPA

BREAKING NEWS: RATIBA LIGI KUU NBC MSIMU WA 2023/2024 HII HAPA

August 7, 2023
TABWA YAMSIFU SAMIA KUWAPA FURSA WANAWAKE

TABWA YAMSIFU SAMIA KUWAPA FURSA WANAWAKE

July 9, 2021
BEI MPYA YA MBAAZI, KUNDE YAWAPANDISHA MZUKA WAKULIMA

BEI MPYA YA MBAAZI, KUNDE YAWAPANDISHA MZUKA WAKULIMA

August 9, 2021
NDUGU MATATANI KUMSHAMBULIA, KUMJERUHI MWENZAO KISA NG’OMBE

NDUGU MATATANI KUMSHAMBULIA, KUMJERUHI MWENZAO KISA NG’OMBE

0
WAHANDISI WA HALMASHAURI WAMEKUA WAKIIKOSEA SERIKALI KWAKUTOA TAARIFA ZA UONGO

WAHANDISI WA HALMASHAURI WAMEKUA WAKIIKOSEA SERIKALI KWAKUTOA TAARIFA ZA UONGO

0

OFISA ELIMU, MHANDISI, MKUU WA SHULE WAKALIA ‘KUTI KAVU’

0
STENDI YA ZAMANI UBUNGO  KUJENGWA DEPO MABASI MWENDOKASI

STENDI YA ZAMANI UBUNGO KUJENGWA DEPO MABASI MWENDOKASI

0

Exploring Herbal Viagra Alternatives: Natural Solutions for Men’s Health

May 23, 2025
TALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 20, 2024

TALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 20, 2024

November 20, 2024

YALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 12, 2024

November 12, 2024
YALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 11, 2024

YALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 11, 2024

November 11, 2024

Recent News

Instagram Youtube Twitter Facebook

We are a diverse team of experts, innovative thinkers, creative designers, writers, innovators, strategists, pyschologists, comunictaors and web developers. UMG is extremely passionate about growing clients’ businesses, helping them achieve their goals and making a difference by raising the creative and communications industry standards in Tanzania.

Follow Us

Browse by Category

  • 231
  • Afya Makala
  • BIASHARA
  • BURUDANI
  • Business
  • HABARI KIMATAIFA
  • Habari Kitaifa
  • Habari Picha
  • KIMATAIFA
  • MAGAZETI
  • MAHAKAMANI
  • MAKALA
  • MAKALA AFYA
  • MAKALA-BURUDANI
  • MICHEZO
  • MICHEZO KIMATAIFA
  • MICHEZO KITAIFA
  • MICHEZO-MAKALA
  • MICHEZO-MASUMBWI
  • MITINDO
  • RIWAYA
  • SIASA
  • Sports
  • Uncategorized

Recent News

Exploring Herbal Viagra Alternatives: Natural Solutions for Men’s Health

May 23, 2025
TALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 20, 2024

TALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 20, 2024

November 20, 2024

© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved

No Result
View All Result

© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved

Login to your account below

Forgotten Password?

Fill the forms bellow to register

All fields are required. Log In

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In