Saturday, July 26, 2025
English English Kiswahili Kiswahili
UMG
  • Mwanzo
  • UMG
  • Siasa
    • All
    • Business
    SHIRIKA LA OMUKA HUB NA NDI WAANDAA MAJADILIANO YA JUKWAA LA WANAWAKE KATIKA SIASA

    SHIRIKA LA OMUKA HUB NA NDI WAANDAA MAJADILIANO YA JUKWAA LA WANAWAKE KATIKA SIASA

    WAZIRI JAFO ATETA NA WAKUU WA MIKOA

    WAZIRI JAFO ATETA NA WAKUU WA MIKOA

    MAKAMU MWENYEKITI UVCCM AWAJIA JUU WANAOWACHAFUA VIONGOZI

    MAKAMU MWENYEKITI UVCCM AWAJIA JUU WANAOWACHAFUA VIONGOZI

    MAKAMU WA RAIS DK. PHILIP MPANGO AKIONDOKA NCHINI ANGOLA

    MAKAMU WA RAIS DK. PHILIP MPANGO AKIONDOKA NCHINI ANGOLA

    RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI

    RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI

    FORBES YAMTAJA TENA RAIS SAMIA.. “NI MIONGONI MWA WANAWAKE 100 WENYE UWEZO MKUBWA DUNIANI”

    FORBES YAMTAJA TENA RAIS SAMIA.. “NI MIONGONI MWA WANAWAKE 100 WENYE UWEZO MKUBWA DUNIANI”

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • Biashara
    WAJASIRIAMALI WASHAURIWA KUTHIBITISHA UBORA WA BIDHAA NJOMBE

    WAJASIRIAMALI WASHAURIWA KUTHIBITISHA UBORA WA BIDHAA NJOMBE

    SHERIA YA LOCAL CONTENT INAVYONUFAISHA WAWEKEZAJI WAZAWA GGML

    SHERIA YA LOCAL CONTENT INAVYONUFAISHA WAWEKEZAJI WAZAWA GGML

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • Burudani
    • All
    • Sports
    YANGA YAMNYATIA ABIALA KUTOKA CONGO DR

    YANGA YAMNYATIA ABIALA KUTOKA CONGO DR

    SIMBA YAICHAPA KAGERA SUGAR 3-0

    SIMBA YAICHAPA KAGERA SUGAR 3-0

  • Michezo
    SERIKALI YAAHIDI KUWAPELEKA MASHABIKI WA YANGA AFRIKA KUSINI

    SERIKALI YAAHIDI KUWAPELEKA MASHABIKI WA YANGA AFRIKA KUSINI

    YANGA SC YAACHANA NA MOLOKO

    YANGA SC YAACHANA NA MOLOKO

    TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA

    TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA

    TFF YAUFUNGIA UWANJA WA UHURU

    TFF YAUFUNGIA UWANJA WA UHURU

    BENCHIKHA; MCHEZO WA KESHO UTACHORA RAMANI KUELEKEA LIGI YA MABINGWA AFRIKA DHIDI YA WYDAD CASABLANCA

    BENCHIKHA; MCHEZO WA KESHO UTACHORA RAMANI KUELEKEA LIGI YA MABINGWA AFRIKA DHIDI YA WYDAD CASABLANCA

    Trending Tags

    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • MAGAZETI
    • UELEKEO
  • UMG DIGITAL
  • UELEKEO DIGITAL
    • Instagram
    • Facebook
    • Twitter
    • Youtube
  • English English
  • Kiswahili Kiswahili

No Result
View All Result
UMG
No Result
View All Result
Mwanzo MICHEZO-MAKALA

NASREDDINE NABI MTAALAMU ALIYEONGOZA CHEREKO YANGA

admin by admin
June 27, 2022
in MICHEZO-MAKALA
0 0
0
NASREDDINE NABI MTAALAMU ALIYEONGOZA CHEREKO YANGA

NASREDDINE NABI KOCHA WA YANGASC

0
SHARES
167
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

PAMOJA na ubora wa kikosi cha Yanga msimu huu ni ngumu kuacha kumtaja Kocha  Nasreddine Nabi, raia wa Tunisia.

Nabi aliyetua Yanga mwaka jana uliopita, amefanya kazi kubwa na kuibadilisha  timu ambayo leo hii inasherehekea na kuvuna matunda iliyopanda kupitia kocha huyo.

Kocha huyo alitua Jangwani na falsafa bora ya kuhakikisha kikosi chake kinacheza soka la pasi nyingi na kushambulia.

Moja ya silaha kubwa ya Yanga msimu huu ilikuwa umiliki wa soka katika kiungo, kasi na uwezo wa kufunga mabao mengi katika michezo iliyocheza.

Wakati anatua Yanga, inawezekana mashabiki na viongozi wa klabu hiyo hawakuwa na imani kubwa ya kubaki na kocha huyo kwa muda mrefu, lakini ubora aliouonyesha  ulitosha kumbakiza.

Kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara kumemfanya Nabi kuweka rekodi ya kuwa kocha wa kwanza wa timu hiyo kubeba kombe  baada ya misimu minne kuambulia patupu.

Mara ya mwisho Yanga kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara ni msimu wa 2016/2017 ikiwa chini ya kocha Mzambia, George Lwandamina.

Baada ya Nabi   kuipa taji Yanga, anafuata nyayo za makocha wengine  akiwemo Lwandamina na Hans Pluijm ambao waliipa ubingwa wa ligi kuu timu hiyo.

Pia, kocha huyo ameifikisha Yanga katika fainali ya Kombe la FA msimu uliopita ambapo alikubali kichapo cha bao 1-0 dhidi ya Simba katika Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma.

Msimu huu, Nabi ameiongoza Yanga kutinga fainali ya Kombe la FA dhidi ya Coastal Union itakayochezwa katika dimba la Sheikh Amri Abeid jijini Arusha.

MSIMU WA MAKOMBE

Wakati akiwa na uhakika wa ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu, kocha huyo anaweza kuendeleza rekodi kama atafanikiwa kutwaa Kombe la FA.

Nabi anaweza kufuata nyayo za Pluijm ambaye aliipa timu hiyo ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara na Kombe la FA mwaka 2015/2016 akiifunga mabao 3-1   Azam FC katika dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.

 UBORA LIGI KUU

 Yanga imekuwa na ubora mkubwa  msimu huu, imetesa katika idadi ya michezo ya kushinda na kufungwa.

Timu hiyo baada ya mchezo wa juzi, imefanikiwa kuvuna pointi 73 katika michezo 29, ikishinda michezo 22 na kutoka sare michezo saba.

Miamba hiyo imekuwa timu iliyofunga mabao mengi kuliko timu yoyote msimu huu ikipachika mabao  47 na kuruhusu mabao machache zaidi (mabao saba).

WASIFU

Nabi  alizaliwa mwaka 1965 nchini Tunisia na alikuja nchini Aprili 2021 na kupewa mikoba ya  kuinoa Yanga.

Kwa mujibu wa mtandao, Mtunisia huyo alianza kuinoa Al Ahly SC ya Libya mwaka 2013 kabla ya mwaka huo huo kutimkia Al Hilal ya Sudan aliyodumu hadi mwaka 2014.

Msimu wa   2015-2016, Nabi aliinoa  timu ya Ismaily ya nchini Misri kwa msimu mmoja.

Mwaka 2021, kocha huyo alipata kibarua katika klabu ya Al Merrikh ya nchini Sudan na mwaka huo huo Yanga ikamchukua na kuanza kukuinoa kikosi chake.

Wiki kadhaa baada ya kuachana na kocha wake, Cedric Kaze, Yanga ilimpa ajira  Nabi aliyetoka   Al Merrikh ya Sudan.

Kaze ambaye kwa sasa ni kocha msaidizi wa Yanga chini ya Nabi, alikuwa kocha mkuu kabla ya kuachana na timu hiyo msimu uliopita kisha  kurejea tena msimu huu na kuwa msaidizi wa Nabi.

Wakati anatua Yanga, Nabi alipewa dili la kuinoa Yanga kwa miezi 18 pekee.

Na ABDUL DUNIA

admin

admin

Stay Connected test

  • 139 Follower
  • 205k Subscriber
  • 23.9k Follower
  • 99 Subscriber
  • Trending
  • Comments
  • Latest
MADAKTARI WAELEZEA JINSI YA KUZUIA MIMBA ISIHARIBIKE

MADAKTARI WAELEZEA JINSI YA KUZUIA MIMBA ISIHARIBIKE

July 9, 2021
BREAKING NEWS: RATIBA LIGI KUU NBC MSIMU WA 2023/2024 HII HAPA

BREAKING NEWS: RATIBA LIGI KUU NBC MSIMU WA 2023/2024 HII HAPA

August 7, 2023
TABWA YAMSIFU SAMIA KUWAPA FURSA WANAWAKE

TABWA YAMSIFU SAMIA KUWAPA FURSA WANAWAKE

July 9, 2021
BEI MPYA YA MBAAZI, KUNDE YAWAPANDISHA MZUKA WAKULIMA

BEI MPYA YA MBAAZI, KUNDE YAWAPANDISHA MZUKA WAKULIMA

August 9, 2021
NDUGU MATATANI KUMSHAMBULIA, KUMJERUHI MWENZAO KISA NG’OMBE

NDUGU MATATANI KUMSHAMBULIA, KUMJERUHI MWENZAO KISA NG’OMBE

0
WAHANDISI WA HALMASHAURI WAMEKUA WAKIIKOSEA SERIKALI KWAKUTOA TAARIFA ZA UONGO

WAHANDISI WA HALMASHAURI WAMEKUA WAKIIKOSEA SERIKALI KWAKUTOA TAARIFA ZA UONGO

0

OFISA ELIMU, MHANDISI, MKUU WA SHULE WAKALIA ‘KUTI KAVU’

0
STENDI YA ZAMANI UBUNGO  KUJENGWA DEPO MABASI MWENDOKASI

STENDI YA ZAMANI UBUNGO KUJENGWA DEPO MABASI MWENDOKASI

0

Exploring Herbal Viagra Alternatives: Natural Solutions for Men’s Health

May 23, 2025
TALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 20, 2024

TALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 20, 2024

November 20, 2024

YALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 12, 2024

November 12, 2024
YALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 11, 2024

YALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 11, 2024

November 11, 2024

Recent News

Instagram Youtube Twitter Facebook

We are a diverse team of experts, innovative thinkers, creative designers, writers, innovators, strategists, pyschologists, comunictaors and web developers. UMG is extremely passionate about growing clients’ businesses, helping them achieve their goals and making a difference by raising the creative and communications industry standards in Tanzania.

Follow Us

Browse by Category

  • 231
  • Afya Makala
  • BIASHARA
  • BURUDANI
  • Business
  • HABARI KIMATAIFA
  • Habari Kitaifa
  • Habari Picha
  • KIMATAIFA
  • MAGAZETI
  • MAHAKAMANI
  • MAKALA
  • MAKALA AFYA
  • MAKALA-BURUDANI
  • MICHEZO
  • MICHEZO KIMATAIFA
  • MICHEZO KITAIFA
  • MICHEZO-MAKALA
  • MICHEZO-MASUMBWI
  • MITINDO
  • RIWAYA
  • SIASA
  • Sports
  • Uncategorized

Recent News

Exploring Herbal Viagra Alternatives: Natural Solutions for Men’s Health

May 23, 2025
TALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 20, 2024

TALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 20, 2024

November 20, 2024

© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved

No Result
View All Result

© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved

Login to your account below

Forgotten Password?

Fill the forms bellow to register

All fields are required. Log In

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In