Saturday, July 26, 2025
English English Kiswahili Kiswahili
UMG
  • Mwanzo
  • UMG
  • Siasa
    • All
    • Business
    SHIRIKA LA OMUKA HUB NA NDI WAANDAA MAJADILIANO YA JUKWAA LA WANAWAKE KATIKA SIASA

    SHIRIKA LA OMUKA HUB NA NDI WAANDAA MAJADILIANO YA JUKWAA LA WANAWAKE KATIKA SIASA

    WAZIRI JAFO ATETA NA WAKUU WA MIKOA

    WAZIRI JAFO ATETA NA WAKUU WA MIKOA

    MAKAMU MWENYEKITI UVCCM AWAJIA JUU WANAOWACHAFUA VIONGOZI

    MAKAMU MWENYEKITI UVCCM AWAJIA JUU WANAOWACHAFUA VIONGOZI

    MAKAMU WA RAIS DK. PHILIP MPANGO AKIONDOKA NCHINI ANGOLA

    MAKAMU WA RAIS DK. PHILIP MPANGO AKIONDOKA NCHINI ANGOLA

    RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI

    RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI

    FORBES YAMTAJA TENA RAIS SAMIA.. “NI MIONGONI MWA WANAWAKE 100 WENYE UWEZO MKUBWA DUNIANI”

    FORBES YAMTAJA TENA RAIS SAMIA.. “NI MIONGONI MWA WANAWAKE 100 WENYE UWEZO MKUBWA DUNIANI”

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • Biashara
    WAJASIRIAMALI WASHAURIWA KUTHIBITISHA UBORA WA BIDHAA NJOMBE

    WAJASIRIAMALI WASHAURIWA KUTHIBITISHA UBORA WA BIDHAA NJOMBE

    SHERIA YA LOCAL CONTENT INAVYONUFAISHA WAWEKEZAJI WAZAWA GGML

    SHERIA YA LOCAL CONTENT INAVYONUFAISHA WAWEKEZAJI WAZAWA GGML

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • Burudani
    • All
    • Sports
    YANGA YAMNYATIA ABIALA KUTOKA CONGO DR

    YANGA YAMNYATIA ABIALA KUTOKA CONGO DR

    SIMBA YAICHAPA KAGERA SUGAR 3-0

    SIMBA YAICHAPA KAGERA SUGAR 3-0

  • Michezo
    SERIKALI YAAHIDI KUWAPELEKA MASHABIKI WA YANGA AFRIKA KUSINI

    SERIKALI YAAHIDI KUWAPELEKA MASHABIKI WA YANGA AFRIKA KUSINI

    YANGA SC YAACHANA NA MOLOKO

    YANGA SC YAACHANA NA MOLOKO

    TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA

    TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA

    TFF YAUFUNGIA UWANJA WA UHURU

    TFF YAUFUNGIA UWANJA WA UHURU

    BENCHIKHA; MCHEZO WA KESHO UTACHORA RAMANI KUELEKEA LIGI YA MABINGWA AFRIKA DHIDI YA WYDAD CASABLANCA

    BENCHIKHA; MCHEZO WA KESHO UTACHORA RAMANI KUELEKEA LIGI YA MABINGWA AFRIKA DHIDI YA WYDAD CASABLANCA

    Trending Tags

    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • MAGAZETI
    • UELEKEO
  • UMG DIGITAL
  • UELEKEO DIGITAL
    • Instagram
    • Facebook
    • Twitter
    • Youtube
  • English English
  • Kiswahili Kiswahili

No Result
View All Result
UMG
No Result
View All Result
Mwanzo Habari Kitaifa

PROF. MKENDA AZINDUA KAMPENI YA NIACHE NISOME

Prosper Pellegrine by Prosper Pellegrine
August 20, 2023
in Habari Kitaifa
0 0
0
PROF. MKENDA AZINDUA KAMPENI YA NIACHE NISOME
0
SHARES
12
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema elimu ndio mtaji na kwamba itabadilisha taifa liweze kusonga mbele.

Waziri Mkenda amesema hayo Mkoani Tanga alipokuwa akizindua Kampeni ya Niache Nisome Pangani Inanitegemea iliyobuniwa na Mkuu wa Wilaya ya Pangani Mhe. Zainabu Abdallah.

Amesema nchi inahitaji wataalam wazuri katika fani mbalimbali akitolea mfano madaktari, walimu na wahandisi ili iweze kusonga mbele hivyo ni vizuri kuwaacha watoto wasome ili waweze kutimiza ndoto zao.

“Elimu ni ufunguo wa maisha ukimnyima mtoto elimu unamnyima maisha, mafanikio ya watu waliosoma ni chachu katika kuleta mabadiliko,” amesema Prof. Mkenda

Akizungumzia kampeni ya Niache Nisome Pangani Inanitegemea inayofanyika katika Halmashauri ya Pangani Mkoani Tanga Waziri Mkenda amempongeza Mkuu wa Wilaya hiyo Mhe. Zainabu Abdallah pamoja na Mbunge wa Jimbo hilo Jumaa Aweso na kusema kuwa kuna la kujifunza kutoka katika halmashauri hiyo ili kuleta mageuzi ya elimu na amehimiza watu kujifunza kwenye mambo mazuri kama hayo.

Kufuatia ombi la Mhe. Aweso kuhusu VETA ya wilaya hiyo kuanza kutoa mafunzo Prof. Mkenda amemuahidi kuhakikisha VETA zote za Wilaya za mkoa wa Tanga zinaanza kutoa mafunzo mwezi Septemba mwaka huu.

Pia amesema kuwa kwa maelekezo ya Mhe. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhusu kuweka Kampasi za Vyuo Vikuu katika mikoa 14 ambayo haina na Vyuo hivyo, Tanga inakwenda kupata Kampasi ya Chuo Kikuu Mzumbe.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo Mhe. Husna Sekiboko amemuomba Waziri Mkenda kuupa Mkoa wa Tanga kipaumbele kwa fursa za elimu hasa wilaya ya Pangani kwa kuwa ni moja ya wilaya ambayo wanafunzi wanatembelea umbali mrefu kufuata shule.

“Mhe. Waziri wanafunzi wanatembea umbali mrefu kuifuta shule katika wilaya hii, niliamua kutoa fedha zangu kuwaweka hostel kutokana na changamoto hiyo ili kuwaepusha na vishawishi njiani naomba fursa yoyote ikitokea ilete Pangani,”amesema Mhe. Sekiboko

Nae Mbunge wa Jimbo hilo Mhe. Jumaa Aweso amemshukuru Waziri Mkenda kwa kuwajengea VETA ya wilaya na kumuomba amfikisie salamu hizo kwa Mhe. Rais huku akimuomba kuifanya shule ya Funguni iliyopo wilayani humo kuwa na kidato cha tano na sita.

Aidha, Mkuu wa Wilaya hiyo Zainabu Abdallah amesema katika Halmashauri hiyo wameamua kuifanya elimu kipaumbele kutokana na wilaya hiyo kuwa nyuma kielimu na kwamba kupitia Kampeni waliyoianzisha ya Niache Nisome Pangani Inanitegemea halmashauri hiyo itakuwa na mageuzi makubwa kwenye elimu.

Chanzo: Michuzi

Prosper Pellegrine

Prosper Pellegrine

Stay Connected test

  • 139 Follower
  • 205k Subscriber
  • 23.9k Follower
  • 99 Subscriber
  • Trending
  • Comments
  • Latest
MADAKTARI WAELEZEA JINSI YA KUZUIA MIMBA ISIHARIBIKE

MADAKTARI WAELEZEA JINSI YA KUZUIA MIMBA ISIHARIBIKE

July 9, 2021
BREAKING NEWS: RATIBA LIGI KUU NBC MSIMU WA 2023/2024 HII HAPA

BREAKING NEWS: RATIBA LIGI KUU NBC MSIMU WA 2023/2024 HII HAPA

August 7, 2023
TABWA YAMSIFU SAMIA KUWAPA FURSA WANAWAKE

TABWA YAMSIFU SAMIA KUWAPA FURSA WANAWAKE

July 9, 2021
BEI MPYA YA MBAAZI, KUNDE YAWAPANDISHA MZUKA WAKULIMA

BEI MPYA YA MBAAZI, KUNDE YAWAPANDISHA MZUKA WAKULIMA

August 9, 2021
NDUGU MATATANI KUMSHAMBULIA, KUMJERUHI MWENZAO KISA NG’OMBE

NDUGU MATATANI KUMSHAMBULIA, KUMJERUHI MWENZAO KISA NG’OMBE

0
WAHANDISI WA HALMASHAURI WAMEKUA WAKIIKOSEA SERIKALI KWAKUTOA TAARIFA ZA UONGO

WAHANDISI WA HALMASHAURI WAMEKUA WAKIIKOSEA SERIKALI KWAKUTOA TAARIFA ZA UONGO

0

OFISA ELIMU, MHANDISI, MKUU WA SHULE WAKALIA ‘KUTI KAVU’

0
STENDI YA ZAMANI UBUNGO  KUJENGWA DEPO MABASI MWENDOKASI

STENDI YA ZAMANI UBUNGO KUJENGWA DEPO MABASI MWENDOKASI

0

Exploring Herbal Viagra Alternatives: Natural Solutions for Men’s Health

May 23, 2025
TALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 20, 2024

TALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 20, 2024

November 20, 2024

YALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 12, 2024

November 12, 2024
YALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 11, 2024

YALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 11, 2024

November 11, 2024

Recent News

Instagram Youtube Twitter Facebook

We are a diverse team of experts, innovative thinkers, creative designers, writers, innovators, strategists, pyschologists, comunictaors and web developers. UMG is extremely passionate about growing clients’ businesses, helping them achieve their goals and making a difference by raising the creative and communications industry standards in Tanzania.

Follow Us

Browse by Category

  • 231
  • Afya Makala
  • BIASHARA
  • BURUDANI
  • Business
  • HABARI KIMATAIFA
  • Habari Kitaifa
  • Habari Picha
  • KIMATAIFA
  • MAGAZETI
  • MAHAKAMANI
  • MAKALA
  • MAKALA AFYA
  • MAKALA-BURUDANI
  • MICHEZO
  • MICHEZO KIMATAIFA
  • MICHEZO KITAIFA
  • MICHEZO-MAKALA
  • MICHEZO-MASUMBWI
  • MITINDO
  • RIWAYA
  • SIASA
  • Sports
  • Uncategorized

Recent News

Exploring Herbal Viagra Alternatives: Natural Solutions for Men’s Health

May 23, 2025
TALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 20, 2024

TALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 20, 2024

November 20, 2024

© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved

No Result
View All Result

© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved

Login to your account below

Forgotten Password?

Fill the forms bellow to register

All fields are required. Log In

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In