

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Prof. Adelardus Lubango Kilangi, baada ya kumuapisha kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Barazil leo Desemba 06, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam. (PICHA NA IKULU)