Klabu ya Simba imeibuka na ushindi wa goli 3-0 dhidi ya walima miwa wa kagera (Kagera Sugar) katika mchezo wa ligii kuu Tanzania bara ndani ya dimba la Uhuru Jijini Dar Es salaam.
Magoli ya Simba yamefungwa na Saido Ntibazonkiza, Sadio Kanoute pamoja na Bocco.
Ushindi huo unaifanya Simba kupanda mpaka nafasi ya 3 wakiwa na jumla ya pointi 22 katika michezo 9 waliyoicheza.