Ni tarehe 20 April, 2024 Viwanja vya TTCL Kijitonyama ambapo UHURU MEDIA GROUP LIMITED kwa kushirikiana na “BI MKUBWA TANZANIA” wanakuletea TAMASHA KUBWA la Miaka Mitatu ya kishindo katika uongozi wa Dk. Samia Suluhu Hassan kupitia udhamini wa wadau mbalimbali wenye mapenzi mema na uongozi wa Dk. Samia.
Njoo tumpe maua yake, Rais wetu kipenzi, Dk Samia Suluhu Hassan.
@samia_suluhu_hassan
@dr_philip_isdor_mpango
@kassim_m_majaliwa
@owm_tz
@ikulu_mawasiliano
@wcf_tz
@tanesco_official_page
@psssftz
@ttcl_corporation
#MITATUYAKISHINDO
#KAZIINAONGEA
#KAZIIENDELEE
#umgdigital