Tuesday, May 20, 2025
27 °c
Dar es Salaam
25 ° Thu
25 ° Fri
25 ° Sat
25 ° Sun
25 ° Mon
English English Kiswahili Kiswahili
UMG
  • Mwanzo
  • UMG
  • Siasa
    • All
    • Business
    SHIRIKA LA OMUKA HUB NA NDI WAANDAA MAJADILIANO YA JUKWAA LA WANAWAKE KATIKA SIASA

    SHIRIKA LA OMUKA HUB NA NDI WAANDAA MAJADILIANO YA JUKWAA LA WANAWAKE KATIKA SIASA

    WAZIRI JAFO ATETA NA WAKUU WA MIKOA

    WAZIRI JAFO ATETA NA WAKUU WA MIKOA

    MAKAMU MWENYEKITI UVCCM AWAJIA JUU WANAOWACHAFUA VIONGOZI

    MAKAMU MWENYEKITI UVCCM AWAJIA JUU WANAOWACHAFUA VIONGOZI

    MAKAMU WA RAIS DK. PHILIP MPANGO AKIONDOKA NCHINI ANGOLA

    MAKAMU WA RAIS DK. PHILIP MPANGO AKIONDOKA NCHINI ANGOLA

    RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI

    RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI

    FORBES YAMTAJA TENA RAIS SAMIA.. “NI MIONGONI MWA WANAWAKE 100 WENYE UWEZO MKUBWA DUNIANI”

    FORBES YAMTAJA TENA RAIS SAMIA.. “NI MIONGONI MWA WANAWAKE 100 WENYE UWEZO MKUBWA DUNIANI”

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • Biashara
    WAJASIRIAMALI WASHAURIWA KUTHIBITISHA UBORA WA BIDHAA NJOMBE

    WAJASIRIAMALI WASHAURIWA KUTHIBITISHA UBORA WA BIDHAA NJOMBE

    SHERIA YA LOCAL CONTENT INAVYONUFAISHA WAWEKEZAJI WAZAWA GGML

    SHERIA YA LOCAL CONTENT INAVYONUFAISHA WAWEKEZAJI WAZAWA GGML

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • Burudani
    • All
    • Sports
    YANGA YAMNYATIA ABIALA KUTOKA CONGO DR

    YANGA YAMNYATIA ABIALA KUTOKA CONGO DR

    SIMBA YAICHAPA KAGERA SUGAR 3-0

    SIMBA YAICHAPA KAGERA SUGAR 3-0

  • Michezo
    SERIKALI YAAHIDI KUWAPELEKA MASHABIKI WA YANGA AFRIKA KUSINI

    SERIKALI YAAHIDI KUWAPELEKA MASHABIKI WA YANGA AFRIKA KUSINI

    YANGA SC YAACHANA NA MOLOKO

    YANGA SC YAACHANA NA MOLOKO

    TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA

    TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA

    TFF YAUFUNGIA UWANJA WA UHURU

    TFF YAUFUNGIA UWANJA WA UHURU

    BENCHIKHA; MCHEZO WA KESHO UTACHORA RAMANI KUELEKEA LIGI YA MABINGWA AFRIKA DHIDI YA WYDAD CASABLANCA

    BENCHIKHA; MCHEZO WA KESHO UTACHORA RAMANI KUELEKEA LIGI YA MABINGWA AFRIKA DHIDI YA WYDAD CASABLANCA

    Trending Tags

    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • MAGAZETI
    • UELEKEO
  • UMG DIGITAL
  • UELEKEO DIGITAL
    • Instagram
    • Facebook
    • Twitter
    • Youtube
  • English English
  • Kiswahili Kiswahili

No Result
View All Result
UMG
No Result
View All Result
Mwanzo Habari Kitaifa

TARURA YAFUNGUA BARABARA ZENYE UREFU WA KM 147 MLELE

Prosper Pellegrine by Prosper Pellegrine
June 3, 2024
in Habari Kitaifa
0 0
0
TARURA YAFUNGUA BARABARA ZENYE UREFU WA KM 147 MLELE
0
SHARES
47
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Na Allan Kitwe, Katavi (Uelekeo Gazeti)

WAKALA wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Wilayani Mlele Mkoani Katavi wamefanikiwa kufungua mtandao wa barabara mpya zenye urefu wa zaidi ya km 147 katika kipindi cha miaka 3 ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.

Hayo yamebainishwa jana na Meneja wa TARURA Wilayani humo Mhandisi Paul Mabaya alipokuwa akiongea na mwandishi wa gazeti hili Ofisini kwake ambapo alieleza kuwa miaka 3 ya Rais Samia imekuwa na mafanikio makubwa sana.

Alibainisha kuwa mtandao huo ni wa barabara zinazounganisha vijiji na kata katika maeneo mbalimbali ambako hakukuwa na barabara rasmi zinazotambulika, hali iliyokuwa ikikwamisha shughuli za kiuchumi.

Alifafanua kuwa katika mtandao huo km 108.5 zimejengwa katika halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe na km 39.4 katika halmashauri ya Wilaya Mlele huku akibainisha kuwa mafanikio hayo yamechochewa na serikali kuwaongezea bajeti.

Mhandisi Mabaya alimpongeza Rais wa awamu ya 6 Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuwaongezea bajeti kutoka sh bil 1.3 walizokuwa wakipata huko nyuma hadi sh bil 5.2 kwa mwaka wa fedha 2023/2024 ambazo zimewawezesha kufanya mambo makubwa.

Alitaja baadhi ya miradi ya kimkakati iliyotekelezwa kutokana na ongezeko la bajeti kwa taasisi hiyo kuwa ni ujenzi wa daraja kubwa la Msadya lenye urefu wa mita 60 ambalo linaunganisha kata za Chamalendi na Mwamapuli.

Mingine ni ujenzi wa barabara za lami zenye urefu wa km 11.6 katika Mji wa Inyonga, Kata ya Nsekwa na Kata ya Utende ambazo zimewezesha kuboreshwa mandhari ya maeneo hayo na kurahisisha shughuli za usafiri na usafirishaji mazao.

‘Tunamshukuru sana Rais Samia kwa kuongeza bajeti ya TARURA, kwani imetuwezesha kupanua mtandao wa barabara za Wilaya nzima kuanzia Vijijini hadi Mijini na kuziwesha kupitika wakati wote’, alisema.

Alifafanua mtandao uliopo sasa kuwa ni barabara za lami km 13.77 (km 1.86 zipo Mpimbwe na km 11.55 Inyonga), changarawe km 175.49, udongo km 320.1, madaraja 2, makaravati ya kawaida 197 na ya boksi 10 na taa za barabarani 30.

Alitaja mikakati mingine ya Wakala huo kuwa ni kujenga km 5 za barabara za lami katika Mji wa Inyonga na km 10 nje ya Mji huo ikiwemo km 15 za lami katika eneo la Usevya, Kibaoni na Maji moto ndani ya Mji wa Mpimbwe.

Mikakati mingine ni kuendelea kuboresha barabara zinazounganisha vijiji na vijiji, kufungua barabara mpya, kuweka taa za barabarani na kujenga miundombinu ya maji (mitaro na kalavati) ili kuzuia uharibifu unaosababishwa na mvua.

Prosper Pellegrine

Prosper Pellegrine

Stay Connected test

  • 139 Follower
  • 204k Subscriber
  • 23.9k Follower
  • 99 Subscriber
  • Trending
  • Comments
  • Latest
MADAKTARI WAELEZEA JINSI YA KUZUIA MIMBA ISIHARIBIKE

MADAKTARI WAELEZEA JINSI YA KUZUIA MIMBA ISIHARIBIKE

July 9, 2021
BREAKING NEWS: RATIBA LIGI KUU NBC MSIMU WA 2023/2024 HII HAPA

BREAKING NEWS: RATIBA LIGI KUU NBC MSIMU WA 2023/2024 HII HAPA

August 7, 2023
TABWA YAMSIFU SAMIA KUWAPA FURSA WANAWAKE

TABWA YAMSIFU SAMIA KUWAPA FURSA WANAWAKE

July 9, 2021
BEI MPYA YA MBAAZI, KUNDE YAWAPANDISHA MZUKA WAKULIMA

BEI MPYA YA MBAAZI, KUNDE YAWAPANDISHA MZUKA WAKULIMA

August 9, 2021
NDUGU MATATANI KUMSHAMBULIA, KUMJERUHI MWENZAO KISA NG’OMBE

NDUGU MATATANI KUMSHAMBULIA, KUMJERUHI MWENZAO KISA NG’OMBE

0
WAHANDISI WA HALMASHAURI WAMEKUA WAKIIKOSEA SERIKALI KWAKUTOA TAARIFA ZA UONGO

WAHANDISI WA HALMASHAURI WAMEKUA WAKIIKOSEA SERIKALI KWAKUTOA TAARIFA ZA UONGO

0

OFISA ELIMU, MHANDISI, MKUU WA SHULE WAKALIA ‘KUTI KAVU’

0
STENDI YA ZAMANI UBUNGO  KUJENGWA DEPO MABASI MWENDOKASI

STENDI YA ZAMANI UBUNGO KUJENGWA DEPO MABASI MWENDOKASI

0
TALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 20, 2024

TALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 20, 2024

November 20, 2024

YALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 12, 2024

November 12, 2024
YALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 11, 2024

YALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 11, 2024

November 11, 2024
YALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 1, 2024

YALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 1, 2024

October 31, 2024

Recent News

Instagram Youtube Twitter Facebook

We are a diverse team of experts, innovative thinkers, creative designers, writers, innovators, strategists, pyschologists, comunictaors and web developers. UMG is extremely passionate about growing clients’ businesses, helping them achieve their goals and making a difference by raising the creative and communications industry standards in Tanzania.

Follow Us

Browse by Category

  • Afya Makala
  • BIASHARA
  • BURUDANI
  • Business
  • HABARI KIMATAIFA
  • Habari Kitaifa
  • Habari Picha
  • KIMATAIFA
  • MAGAZETI
  • MAHAKAMANI
  • MAKALA
  • MAKALA AFYA
  • MAKALA-BURUDANI
  • MICHEZO
  • MICHEZO KIMATAIFA
  • MICHEZO KITAIFA
  • MICHEZO-MAKALA
  • MICHEZO-MASUMBWI
  • MITINDO
  • RIWAYA
  • SIASA
  • Sports
  • Uncategorized

Recent News

TALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 20, 2024

TALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 20, 2024

November 20, 2024

YALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 12, 2024

November 12, 2024

© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved

No Result
View All Result

© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved

Login to your account below

Forgotten Password?

Fill the forms bellow to register

All fields are required. Log In

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In