Friday, July 25, 2025
27 °c
Dar es Salaam
25 ° Thu
25 ° Fri
25 ° Sat
25 ° Sun
25 ° Mon
English English Kiswahili Kiswahili
UMG
  • Mwanzo
  • UMG
  • Siasa
    • All
    • Business
    SHIRIKA LA OMUKA HUB NA NDI WAANDAA MAJADILIANO YA JUKWAA LA WANAWAKE KATIKA SIASA

    SHIRIKA LA OMUKA HUB NA NDI WAANDAA MAJADILIANO YA JUKWAA LA WANAWAKE KATIKA SIASA

    WAZIRI JAFO ATETA NA WAKUU WA MIKOA

    WAZIRI JAFO ATETA NA WAKUU WA MIKOA

    MAKAMU MWENYEKITI UVCCM AWAJIA JUU WANAOWACHAFUA VIONGOZI

    MAKAMU MWENYEKITI UVCCM AWAJIA JUU WANAOWACHAFUA VIONGOZI

    MAKAMU WA RAIS DK. PHILIP MPANGO AKIONDOKA NCHINI ANGOLA

    MAKAMU WA RAIS DK. PHILIP MPANGO AKIONDOKA NCHINI ANGOLA

    RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI

    RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI

    FORBES YAMTAJA TENA RAIS SAMIA.. “NI MIONGONI MWA WANAWAKE 100 WENYE UWEZO MKUBWA DUNIANI”

    FORBES YAMTAJA TENA RAIS SAMIA.. “NI MIONGONI MWA WANAWAKE 100 WENYE UWEZO MKUBWA DUNIANI”

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • Biashara
    WAJASIRIAMALI WASHAURIWA KUTHIBITISHA UBORA WA BIDHAA NJOMBE

    WAJASIRIAMALI WASHAURIWA KUTHIBITISHA UBORA WA BIDHAA NJOMBE

    SHERIA YA LOCAL CONTENT INAVYONUFAISHA WAWEKEZAJI WAZAWA GGML

    SHERIA YA LOCAL CONTENT INAVYONUFAISHA WAWEKEZAJI WAZAWA GGML

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • Burudani
    • All
    • Sports
    YANGA YAMNYATIA ABIALA KUTOKA CONGO DR

    YANGA YAMNYATIA ABIALA KUTOKA CONGO DR

    SIMBA YAICHAPA KAGERA SUGAR 3-0

    SIMBA YAICHAPA KAGERA SUGAR 3-0

  • Michezo
    SERIKALI YAAHIDI KUWAPELEKA MASHABIKI WA YANGA AFRIKA KUSINI

    SERIKALI YAAHIDI KUWAPELEKA MASHABIKI WA YANGA AFRIKA KUSINI

    YANGA SC YAACHANA NA MOLOKO

    YANGA SC YAACHANA NA MOLOKO

    TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA

    TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA

    TFF YAUFUNGIA UWANJA WA UHURU

    TFF YAUFUNGIA UWANJA WA UHURU

    BENCHIKHA; MCHEZO WA KESHO UTACHORA RAMANI KUELEKEA LIGI YA MABINGWA AFRIKA DHIDI YA WYDAD CASABLANCA

    BENCHIKHA; MCHEZO WA KESHO UTACHORA RAMANI KUELEKEA LIGI YA MABINGWA AFRIKA DHIDI YA WYDAD CASABLANCA

    Trending Tags

    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • MAGAZETI
    • UELEKEO
  • UMG DIGITAL
  • UELEKEO DIGITAL
    • Instagram
    • Facebook
    • Twitter
    • Youtube
  • English English
  • Kiswahili Kiswahili

No Result
View All Result
UMG
No Result
View All Result
Mwanzo Habari Kitaifa

TWENDE BUTIAMA YAANZA SAFARI YA KM 1500 KUTOKA DAR ES SALAAM KUELEKEA BUTIAMA

Flora Bathromew by Flora Bathromew
October 2, 2023
in Habari Kitaifa
0 0
0
TWENDE BUTIAMA YAANZA SAFARI YA KM 1500 KUTOKA DAR ES SALAAM KUELEKEA BUTIAMA
0
SHARES
19
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Kuelekea kumbukumbu ya kumuenzi baba wa taifa la Tanzania, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ambaye alifariki Oktoba 14, 1999, msafara wa waendesha baiskeli unaojulikana kama Twende Butiama umeanza rasmi safari leo katika makazi yake Msasani jijini Dar es Salaam ambapo unatarajiwa kufikia tamati Oktoba 14, Wilayani Butiama.

Akizungumza kwa niaba ya Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dk. Damas Ndumbaro, Meneja  Michezo wa Baraza la Michezo la Taifa, Bw. Benson Chacha aliwapongeza waandaaji wa Twende Butiama pamoja na wadhamini wa msafara huo, taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation kwa jitihada za kufanikisha tukio hili ambalo linahamasisha Watanzania kupenda michezo, kutunza mazingira na kujali afya zao.

“Nichukue fursa hii kuwapongeza kwa dhati waandaji na washiriki wote wa msafara wa Twende Butiama ambao wana dhamira ya dhati ya kumuenzi baba wa taifa. Tukio hili sio tu linachagiza shughuli mbalimbali ambazo Mwalimu Nyerere alikuwa anazipa kipaumbele lakini pia zitahamasisha Watanzania kupenda michezo. Michezo ni sekta muhimu ambayo ukiachana na kuimarisha afya lakini pia huleta umoja na mshikamano kwa watu. Pia, niwapongeze Vodacom kwa kudhamini ziara hii ambayo itapita mikoa tofauti ukihamasisha shughuli mbalimbali za kiuchumi na kijamii. Mchango wenu kwenye kudhamini sekta ya michezo tunaufahamu na tungependa kuona mkifanya hivyo kwenye michezo mingine kama vile riadha, masumbwi, na kadhalika,” alimalizia Bw. Chacha.

Madhumuni ya msafara huu utakaokuwa na waendesha baiskeli takribani 200 watakaoendesha baiskeli kwa kilometa 1,500 na kupita kwenye wilaya 20 ndani ya mikoa 10, ni  kuenzi maisha na urithi aliotuachia Mwalimu Nyerere ambapo alikuwa akipambania kuhusu elimu bora, upatikanaji wa huduma za afya ili kuondokana na maradhi pamoja na ukuaji wa uchumi miongoni mwa Watanzania wote.

Kwa upande wake msemaji wa familia ya Mwalimu Nyerere, Waziri Mkuu mstaafu, Joseph Sinde Warioba alizungumza kwa uchache wakati wa kuanza rasmi kwa msafara wa waendesha baiskeli nyumbani kwa Mwalimu, Msasani jijini Dar es Salaam kwa kusema, “nimefurahi kuona tukio hili limeweza kukusanya nchi tofauti zikiwemo zote za Afrika ya Mashariki kitu ambacho kinaonyesha mshikamano wetu. Njiani mtakapopita mtaweza kujionea nchi yetu ya Tanzania kwa upana wake na kupitia shughuli mtakazozifanya njiani zitawanufaisha Watanzania. Ni matumaini yangu kuwa kupitia msafara wenu mtaweza kuhamasisha mabadiliko kwenye sekta ambazo mtaziangazia kama yalivyokuwa malengo ya Mwalimu. Bado sekta za elimu, mazingira na afya zina mchango mkubwa kwa manufaa ya umma na nimefurahi kuona mmejikita kwenye maeneo haya. Niwatakie kila la kheri muwapo njiani na bila shaka tutajumuika pamoja kuwapokea mtakapofika Butiama.”

Kwa upande wake Mwenyekiti wa bodi ya Vodacom Tanzania Foundation, Bi. Harriet Lwakatare, ambao ndio wadhamini wakuu wa msafara huo kwa 2023, ameongezea kuwa, “kama tulivyoeleza wakati wa uzinduzi wa ushirikiano wetu, tuna imani kubwa na Twende Butiama hususani kwa kile wanachokifanya katika kuenzi maisha na urithi wa Mwalimu. Elimu, afya, na mazingira ni vipaumbele vikubwa vya taasisi yetu na siku zote tupo mstari wa mbele kushirikiana na wadau wengine kuhakikisha maeneo haya yanaboreshwa ili kuwanufaisha Watanzania sehemu tofauti nchini kote. Ningependa kutoa wito kwa Watanzania wote kuendelea kuunga mkono kampeni ya kuchangia dawati inayoendelea kupitia LIPA NAMBA 5483454, na kujumuika nasi katika shughuli za upandaji miti, na kushiriki kwenye kambi ya bure ya matibabu tutakayoiendesha.”

Kwa kumalizia Mwenyekiti wa Twende Butiama, Bw. Gabriel Landa amesema kuwa, “baada ya kuwatangazia Watanzania uwepo wa msafara wa Twende Butiama takribani wiki mbili zilizopita, hatimaye ile siku tuliyokuwa tunaisubiria kwa hamu imefika. Leo Oktoba mosi tukiwa hapa na washiriki takribani 200, tumeanza safari yetu kutokea nyumbani kwa Mwalimu, Msasani jijini Dar es Salaam na tunatarajia kufika Wilayani Butiama Oktoba 14. Tunawashukuru wadhamini wakuu wa mwaka huu, taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation, wadau, na Watanzania kwa ujumla wanaozidi kutuonyesha ushirikiano wao. Tukiwa njiani tutajihusisha na shughuli za kupanda miti, kuchangia madawati kwa shule za msingi za umma kwenye mikoa tofauti. Pia, tunawaomba watu wajitokeze kwa wingi kutuunga mkono njiani katika njia tutakazopita na kututia moyo.”

Flora Bathromew

Flora Bathromew

Stay Connected test

  • 139 Follower
  • 205k Subscriber
  • 23.9k Follower
  • 99 Subscriber
  • Trending
  • Comments
  • Latest
MADAKTARI WAELEZEA JINSI YA KUZUIA MIMBA ISIHARIBIKE

MADAKTARI WAELEZEA JINSI YA KUZUIA MIMBA ISIHARIBIKE

July 9, 2021
BREAKING NEWS: RATIBA LIGI KUU NBC MSIMU WA 2023/2024 HII HAPA

BREAKING NEWS: RATIBA LIGI KUU NBC MSIMU WA 2023/2024 HII HAPA

August 7, 2023
TABWA YAMSIFU SAMIA KUWAPA FURSA WANAWAKE

TABWA YAMSIFU SAMIA KUWAPA FURSA WANAWAKE

July 9, 2021
BEI MPYA YA MBAAZI, KUNDE YAWAPANDISHA MZUKA WAKULIMA

BEI MPYA YA MBAAZI, KUNDE YAWAPANDISHA MZUKA WAKULIMA

August 9, 2021
NDUGU MATATANI KUMSHAMBULIA, KUMJERUHI MWENZAO KISA NG’OMBE

NDUGU MATATANI KUMSHAMBULIA, KUMJERUHI MWENZAO KISA NG’OMBE

0
WAHANDISI WA HALMASHAURI WAMEKUA WAKIIKOSEA SERIKALI KWAKUTOA TAARIFA ZA UONGO

WAHANDISI WA HALMASHAURI WAMEKUA WAKIIKOSEA SERIKALI KWAKUTOA TAARIFA ZA UONGO

0

OFISA ELIMU, MHANDISI, MKUU WA SHULE WAKALIA ‘KUTI KAVU’

0
STENDI YA ZAMANI UBUNGO  KUJENGWA DEPO MABASI MWENDOKASI

STENDI YA ZAMANI UBUNGO KUJENGWA DEPO MABASI MWENDOKASI

0

Exploring Herbal Viagra Alternatives: Natural Solutions for Men’s Health

May 23, 2025
TALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 20, 2024

TALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 20, 2024

November 20, 2024

YALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 12, 2024

November 12, 2024
YALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 11, 2024

YALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 11, 2024

November 11, 2024

Recent News

Instagram Youtube Twitter Facebook

We are a diverse team of experts, innovative thinkers, creative designers, writers, innovators, strategists, pyschologists, comunictaors and web developers. UMG is extremely passionate about growing clients’ businesses, helping them achieve their goals and making a difference by raising the creative and communications industry standards in Tanzania.

Follow Us

Browse by Category

  • 231
  • Afya Makala
  • BIASHARA
  • BURUDANI
  • Business
  • HABARI KIMATAIFA
  • Habari Kitaifa
  • Habari Picha
  • KIMATAIFA
  • MAGAZETI
  • MAHAKAMANI
  • MAKALA
  • MAKALA AFYA
  • MAKALA-BURUDANI
  • MICHEZO
  • MICHEZO KIMATAIFA
  • MICHEZO KITAIFA
  • MICHEZO-MAKALA
  • MICHEZO-MASUMBWI
  • MITINDO
  • RIWAYA
  • SIASA
  • Sports
  • Uncategorized

Recent News

Exploring Herbal Viagra Alternatives: Natural Solutions for Men’s Health

May 23, 2025
TALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 20, 2024

TALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 20, 2024

November 20, 2024

© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved

No Result
View All Result

© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved

Login to your account below

Forgotten Password?

Fill the forms bellow to register

All fields are required. Log In

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In