Friday, May 23, 2025
27 °c
Dar es Salaam
25 ° Thu
25 ° Fri
25 ° Sat
25 ° Sun
25 ° Mon
English English Kiswahili Kiswahili
UMG
  • Mwanzo
  • UMG
  • Siasa
    • All
    • Business
    SHIRIKA LA OMUKA HUB NA NDI WAANDAA MAJADILIANO YA JUKWAA LA WANAWAKE KATIKA SIASA

    SHIRIKA LA OMUKA HUB NA NDI WAANDAA MAJADILIANO YA JUKWAA LA WANAWAKE KATIKA SIASA

    WAZIRI JAFO ATETA NA WAKUU WA MIKOA

    WAZIRI JAFO ATETA NA WAKUU WA MIKOA

    MAKAMU MWENYEKITI UVCCM AWAJIA JUU WANAOWACHAFUA VIONGOZI

    MAKAMU MWENYEKITI UVCCM AWAJIA JUU WANAOWACHAFUA VIONGOZI

    MAKAMU WA RAIS DK. PHILIP MPANGO AKIONDOKA NCHINI ANGOLA

    MAKAMU WA RAIS DK. PHILIP MPANGO AKIONDOKA NCHINI ANGOLA

    RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI

    RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI

    FORBES YAMTAJA TENA RAIS SAMIA.. “NI MIONGONI MWA WANAWAKE 100 WENYE UWEZO MKUBWA DUNIANI”

    FORBES YAMTAJA TENA RAIS SAMIA.. “NI MIONGONI MWA WANAWAKE 100 WENYE UWEZO MKUBWA DUNIANI”

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • Biashara
    WAJASIRIAMALI WASHAURIWA KUTHIBITISHA UBORA WA BIDHAA NJOMBE

    WAJASIRIAMALI WASHAURIWA KUTHIBITISHA UBORA WA BIDHAA NJOMBE

    SHERIA YA LOCAL CONTENT INAVYONUFAISHA WAWEKEZAJI WAZAWA GGML

    SHERIA YA LOCAL CONTENT INAVYONUFAISHA WAWEKEZAJI WAZAWA GGML

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • Burudani
    • All
    • Sports
    YANGA YAMNYATIA ABIALA KUTOKA CONGO DR

    YANGA YAMNYATIA ABIALA KUTOKA CONGO DR

    SIMBA YAICHAPA KAGERA SUGAR 3-0

    SIMBA YAICHAPA KAGERA SUGAR 3-0

  • Michezo
    SERIKALI YAAHIDI KUWAPELEKA MASHABIKI WA YANGA AFRIKA KUSINI

    SERIKALI YAAHIDI KUWAPELEKA MASHABIKI WA YANGA AFRIKA KUSINI

    YANGA SC YAACHANA NA MOLOKO

    YANGA SC YAACHANA NA MOLOKO

    TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA

    TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA

    TFF YAUFUNGIA UWANJA WA UHURU

    TFF YAUFUNGIA UWANJA WA UHURU

    BENCHIKHA; MCHEZO WA KESHO UTACHORA RAMANI KUELEKEA LIGI YA MABINGWA AFRIKA DHIDI YA WYDAD CASABLANCA

    BENCHIKHA; MCHEZO WA KESHO UTACHORA RAMANI KUELEKEA LIGI YA MABINGWA AFRIKA DHIDI YA WYDAD CASABLANCA

    Trending Tags

    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • MAGAZETI
    • UELEKEO
  • UMG DIGITAL
  • UELEKEO DIGITAL
    • Instagram
    • Facebook
    • Twitter
    • Youtube
  • English English
  • Kiswahili Kiswahili

No Result
View All Result
UMG
No Result
View All Result
Mwanzo Habari Kitaifa

UDOM KUIMAISHA USHIRIKIANO NA CHUO KIKUU CHA UUGUZI RUTGERS MAREKANI

Flora Bathromew by Flora Bathromew
January 6, 2024
in Habari Kitaifa
0 0
0
UDOM KUIMAISHA USHIRIKIANO NA CHUO KIKUU CHA UUGUZI RUTGERS MAREKANI
0
SHARES
34
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma, Prof. Lughano Kusiluka, leo amekutana na kufanya mazungumzo na ujumbe kutoka Chuo Kikuu cha uuguzi Rutgers cha nchini Marekani, ambao ni wadau muhimu wa maendeleo wa chuo hicho kupitia Shule Kuu ya Uuguzi na Afya ya Jamii.
Akikaribisha ujumbe huo, Prof. Kusiluka ameelezea shukrani zake kwa ushirikiano na ufadhili unaotolewa na Chuo Kikuu cha Rutgers kwa Shule Kuu ya Uuguzi na Afya ya Jamii ya Chuo Kikuu cha Dodoma, amesisisitiza matarajio makubwa ya UDOM katika kuendeleza kuanzisha miradi mingi zaidi ya kujifunza na ufundishaji, ikiwa ni pamoja na kuanzisha kozi mpya za uuguzi na Afya ya Jamii. "
Kwa kuzingatia ongezeko la matumizi ya teknolojia nchini na uwekezaji mkubwa ulioufanya katika miundombinu ya TEHAMA, sioni sababu ya kutokufundisha baadhi ya programu kwa njia ya masafa kwa kushirikiana na wataalamu wenzetu waliopo Rutgers" alisema Prof. Kusiluka.

Aidha, aliwataka viongozi wa Shule Kuu ya Uuguzi na Afya ya Jamii, kutumia fursa
zilizopo katika kuanzisha kozi ambazo zitakuwa na manufaa kwa taifa na zinazoweza kufundishwa kupitia mtandao.

Akizungumza kwa niaba ya ujumbe kutoka Chuo Kikuu cha Rutgers, Dkt. Emilia Iwk, alieleza kuwa kupitia ushirikiano uliopo kati ya vyuo hivyo viwili, wamepanga kuongeza maeneo ya ushirikiano, ikiwa ni pamoja na kutoa mafunzo ya muda mfupi kwa wataalamu wa Chuo Kikuu cha Dodoma ili kuongeza ujuzi na kupanua wigo wa mafunzo kwa wanachuo

Kwa sasa, Chuo Kikuu cha Dodoma kina ushirikiano na Chuo Kikuu cha Rutgers katika maeneo ya uandishi wa miradi ya pamoja ya utafiti, ufundishaji, ubunifu, na kubuni mitaala mipya ya masomo.

Ujumbe kutoka Chuo Kikuu cha Rutgers uliongozwa na Dkt. Emilia Iwk, akifuatana na viongozi wengine Dkt. Antony Fillipelli na Bi. Catie Filippeli Apn, pamoja na wanafunzi 12 wanaosoma katika chuo hicho ambao wamekuja kujifunza na kubadilishana uzoefu na wanafunzi wenzao katika Shule Kuu ya Uuguzi na Tiba ya Chuo Kikuu cha Dodoma.

Mkuu wa Idara ya “Clinical Nursing” ya Chuo Kikuu cha Dodoma Bi. Angelina Alphonce Joho, ameeleza ujumbe huo utakuwepo nchini kwa majuma kadhaa, ambapo mbali na kufundisha, pia wamepanga kufanya tathmini ya maeneo ya ushirikiano pamoja na kuainisha maeneo mapya ya ushirikiano ikiwemo kuangalia uwezekano wa kupata vifaa tiba vya kisasa kwa ajili ya kufundishia pamoja na fursa za mafunzo wa wakufunzi ili kuendelea kuwajengea uwezo.
Flora Bathromew

Flora Bathromew

Stay Connected test

  • 139 Follower
  • 204k Subscriber
  • 23.9k Follower
  • 99 Subscriber
  • Trending
  • Comments
  • Latest
MADAKTARI WAELEZEA JINSI YA KUZUIA MIMBA ISIHARIBIKE

MADAKTARI WAELEZEA JINSI YA KUZUIA MIMBA ISIHARIBIKE

July 9, 2021
BREAKING NEWS: RATIBA LIGI KUU NBC MSIMU WA 2023/2024 HII HAPA

BREAKING NEWS: RATIBA LIGI KUU NBC MSIMU WA 2023/2024 HII HAPA

August 7, 2023
TABWA YAMSIFU SAMIA KUWAPA FURSA WANAWAKE

TABWA YAMSIFU SAMIA KUWAPA FURSA WANAWAKE

July 9, 2021
BEI MPYA YA MBAAZI, KUNDE YAWAPANDISHA MZUKA WAKULIMA

BEI MPYA YA MBAAZI, KUNDE YAWAPANDISHA MZUKA WAKULIMA

August 9, 2021
NDUGU MATATANI KUMSHAMBULIA, KUMJERUHI MWENZAO KISA NG’OMBE

NDUGU MATATANI KUMSHAMBULIA, KUMJERUHI MWENZAO KISA NG’OMBE

0
WAHANDISI WA HALMASHAURI WAMEKUA WAKIIKOSEA SERIKALI KWAKUTOA TAARIFA ZA UONGO

WAHANDISI WA HALMASHAURI WAMEKUA WAKIIKOSEA SERIKALI KWAKUTOA TAARIFA ZA UONGO

0

OFISA ELIMU, MHANDISI, MKUU WA SHULE WAKALIA ‘KUTI KAVU’

0
STENDI YA ZAMANI UBUNGO  KUJENGWA DEPO MABASI MWENDOKASI

STENDI YA ZAMANI UBUNGO KUJENGWA DEPO MABASI MWENDOKASI

0
TALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 20, 2024

TALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 20, 2024

November 20, 2024

YALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 12, 2024

November 12, 2024
YALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 11, 2024

YALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 11, 2024

November 11, 2024
YALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 1, 2024

YALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 1, 2024

October 31, 2024

Recent News

Instagram Youtube Twitter Facebook

We are a diverse team of experts, innovative thinkers, creative designers, writers, innovators, strategists, pyschologists, comunictaors and web developers. UMG is extremely passionate about growing clients’ businesses, helping them achieve their goals and making a difference by raising the creative and communications industry standards in Tanzania.

Follow Us

Browse by Category

  • Afya Makala
  • BIASHARA
  • BURUDANI
  • Business
  • HABARI KIMATAIFA
  • Habari Kitaifa
  • Habari Picha
  • KIMATAIFA
  • MAGAZETI
  • MAHAKAMANI
  • MAKALA
  • MAKALA AFYA
  • MAKALA-BURUDANI
  • MICHEZO
  • MICHEZO KIMATAIFA
  • MICHEZO KITAIFA
  • MICHEZO-MAKALA
  • MICHEZO-MASUMBWI
  • MITINDO
  • RIWAYA
  • SIASA
  • Sports
  • Uncategorized

Recent News

TALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 20, 2024

TALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 20, 2024

November 20, 2024

YALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 12, 2024

November 12, 2024

© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved

No Result
View All Result

© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved

Login to your account below

Forgotten Password?

Fill the forms bellow to register

All fields are required. Log In

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In