UMG MEDIA inayo furaha kulitambulisha kwako jarida jipya la “MWELEKEO” Litakalokujia kila wiki siku ya Jumatano.
Jarida hili ni la Watanzania wote na utalipata kurasa zote bure kila Jumatano!. Pamoja na kulipata, utaruhusiwa kulisambaza kwa ku-share kwenye makundi yote na marafiki wote kwa kadiri utakavyopenda sababu Jarida hili lina Habari na limejaa elimu mbalimbali!
Karibu.
MWELEKEO –
“LEO YETU NDIYO KESHO YETU”