Saturday, July 26, 2025
27 °c
Dar es Salaam
25 ° Thu
25 ° Fri
25 ° Sat
25 ° Sun
25 ° Mon
English English Kiswahili Kiswahili
UMG
  • Mwanzo
  • UMG
  • Siasa
    • All
    • Business
    SHIRIKA LA OMUKA HUB NA NDI WAANDAA MAJADILIANO YA JUKWAA LA WANAWAKE KATIKA SIASA

    SHIRIKA LA OMUKA HUB NA NDI WAANDAA MAJADILIANO YA JUKWAA LA WANAWAKE KATIKA SIASA

    WAZIRI JAFO ATETA NA WAKUU WA MIKOA

    WAZIRI JAFO ATETA NA WAKUU WA MIKOA

    MAKAMU MWENYEKITI UVCCM AWAJIA JUU WANAOWACHAFUA VIONGOZI

    MAKAMU MWENYEKITI UVCCM AWAJIA JUU WANAOWACHAFUA VIONGOZI

    MAKAMU WA RAIS DK. PHILIP MPANGO AKIONDOKA NCHINI ANGOLA

    MAKAMU WA RAIS DK. PHILIP MPANGO AKIONDOKA NCHINI ANGOLA

    RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI

    RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI

    FORBES YAMTAJA TENA RAIS SAMIA.. “NI MIONGONI MWA WANAWAKE 100 WENYE UWEZO MKUBWA DUNIANI”

    FORBES YAMTAJA TENA RAIS SAMIA.. “NI MIONGONI MWA WANAWAKE 100 WENYE UWEZO MKUBWA DUNIANI”

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • Biashara
    WAJASIRIAMALI WASHAURIWA KUTHIBITISHA UBORA WA BIDHAA NJOMBE

    WAJASIRIAMALI WASHAURIWA KUTHIBITISHA UBORA WA BIDHAA NJOMBE

    SHERIA YA LOCAL CONTENT INAVYONUFAISHA WAWEKEZAJI WAZAWA GGML

    SHERIA YA LOCAL CONTENT INAVYONUFAISHA WAWEKEZAJI WAZAWA GGML

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • Burudani
    • All
    • Sports
    YANGA YAMNYATIA ABIALA KUTOKA CONGO DR

    YANGA YAMNYATIA ABIALA KUTOKA CONGO DR

    SIMBA YAICHAPA KAGERA SUGAR 3-0

    SIMBA YAICHAPA KAGERA SUGAR 3-0

  • Michezo
    SERIKALI YAAHIDI KUWAPELEKA MASHABIKI WA YANGA AFRIKA KUSINI

    SERIKALI YAAHIDI KUWAPELEKA MASHABIKI WA YANGA AFRIKA KUSINI

    YANGA SC YAACHANA NA MOLOKO

    YANGA SC YAACHANA NA MOLOKO

    TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA

    TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA

    TFF YAUFUNGIA UWANJA WA UHURU

    TFF YAUFUNGIA UWANJA WA UHURU

    BENCHIKHA; MCHEZO WA KESHO UTACHORA RAMANI KUELEKEA LIGI YA MABINGWA AFRIKA DHIDI YA WYDAD CASABLANCA

    BENCHIKHA; MCHEZO WA KESHO UTACHORA RAMANI KUELEKEA LIGI YA MABINGWA AFRIKA DHIDI YA WYDAD CASABLANCA

    Trending Tags

    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • MAGAZETI
    • UELEKEO
  • UMG DIGITAL
  • UELEKEO DIGITAL
    • Instagram
    • Facebook
    • Twitter
    • Youtube
  • English English
  • Kiswahili Kiswahili

No Result
View All Result
UMG
No Result
View All Result
Mwanzo Habari Kitaifa

UKUNGU KUZALISHA MAJI SAFI NA SALAMA MBULU

Prosper Pellegrine by Prosper Pellegrine
August 23, 2023
in Habari Kitaifa
0 0
0
UKUNGU KUZALISHA MAJI SAFI NA SALAMA MBULU
0
SHARES
30
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Mkuu wa wilaya ya Mbulu Kheri James ameongoza msafara wa kukagua mradi wa kuvuna ukungu na maji uliopo mkoani Manyara wilaya ya Mbulu.

Ziara hiyo ilifanyika Leo Agost 23,2023 ikiongozwa na mkuu wa wilaya akiambatana na wakurugenzi, wataalamu wa mradi pamoja na watumishi wa Halmashauri ya wilaya ya Mbulu na Mbulu mji.

Mkuu wa Wilaya Kheri alisema kuwa wilaya ya Mbulu ni miongoni mwa wilaya ambayo inanufaika na mradi wa uvunaji wa maji kupitia ukungu.

“Kama ilivyotaratibu zetu viongozi inabidi kujengewa uwezo ni namna gani mradi huu utafanyika na mazingira ya mradi yatakuwaje, kwa busara ya kawaida Leo viongozi wote na watumishi kwa uwakilishi tumeona tufike hapa Babati ambapo mradi huu unafanya kazi vizuri, kwa tija kubwa sana na unasaidia upatikanaji wa maji safi kwa ajili ya wanafinzi wa shule ya sekondari Qameyu,matumizi ya laboratory na matumizi mengine ambayo shule itahitaji.” Alisema Mkuu wa Wilaya.

Mheshiwa Mkuu wa Wilaya aliendelea kusema kuwa jitihada kubwa zinafanywa na serikali katika kuhakikisha maji safi na Salama yanapatikana, jitihada hizi zinafanywa na serikali pamoja na wadau, na wadau wanaongeza nguvu kwa sababu kubwa moja, hakuna namna tutaleta maendeleo ya watu wetu bila maji safi na Salama.

“Mradi sasa unapokwenda kuanza tumeshajifunza baadhi ya mambo ya kuanza nayo wakati wa kuanza, lakini mambo ya kufanya wakati wa mradi unaendelea, na mambo ya kufanya ili kuulinda mradi ili kuleta tija inayokusudiwa.” Alisema Kheri James

Kwa upande wa Professor Karoli Njau wa Chuo Kikuu Cha Nelson Mandela ambae ni Mshauri mwelekezi wa mradi alisema kuwa wanatumia neti kudaka maji yaliyo kwenye ukungu.Ambapo alizungumza kuwa ukungu una majimaji na unaposhuka chini sana unaweza kutumia teknolojia hiyo iliyowekwa ambayo tunaiona.

“Hii ni teknolojia mpya sana kwa ajili ya kupata maji.Na hii teknolojia ya hizi neti inadaka ule ukungu na ule ukungu unaelekezwa mpaka unafika sehemu za chini ambazo zinakusanya na yale maji yanakusanywa pamoja yanaingizwa kwenye matenki.” Alisema Prof. Njau.

Manager wa mradi wa Catching Clouds Dennis Wolter kutoka Ujerumani alisema anashukuru kwa mapokezi makubwa ambayo hakuyategemea, alisema wanakazi kubwa ambayo ipo mbele yao lakini wamejidhatiti na wana shauku kubwa kuifanya.

” Tuna uelewa kwamba tutakutana na changamoto lakini tunavyoona viongozi mnajitoa ni alama kubwa kwamba tunaweza kufanya kazi hii pamoja na tutahakikisha kwa ubora wetu kwamba mradi huu utakuwa wenye tija kubwa kwa jamii.

Kwa upande wa Mkurugenzi mtendaji wa Wilaya ya Mbulu Ndugu, Abubakar Kuuli alihitimisha kwa kutoa shukrani kwa Mkuu wa Wilaya kwa niaba ya watumishi pamoja na wananchi wote wa Halmashauri ya wilaya ya Mbulu, na kueleza kuwa miradi hiyo ni mizuri sana, ule wa kuvuna ukungu na wa kuvuna maji ya mvua. Amewakaribisha wawekezaji na ameahidi kutoa ushirikiano mzuri pale utakapohitajika.

Prosper Pellegrine

Prosper Pellegrine

Stay Connected test

  • 139 Follower
  • 205k Subscriber
  • 23.9k Follower
  • 99 Subscriber
  • Trending
  • Comments
  • Latest
MADAKTARI WAELEZEA JINSI YA KUZUIA MIMBA ISIHARIBIKE

MADAKTARI WAELEZEA JINSI YA KUZUIA MIMBA ISIHARIBIKE

July 9, 2021
BREAKING NEWS: RATIBA LIGI KUU NBC MSIMU WA 2023/2024 HII HAPA

BREAKING NEWS: RATIBA LIGI KUU NBC MSIMU WA 2023/2024 HII HAPA

August 7, 2023
TABWA YAMSIFU SAMIA KUWAPA FURSA WANAWAKE

TABWA YAMSIFU SAMIA KUWAPA FURSA WANAWAKE

July 9, 2021
BEI MPYA YA MBAAZI, KUNDE YAWAPANDISHA MZUKA WAKULIMA

BEI MPYA YA MBAAZI, KUNDE YAWAPANDISHA MZUKA WAKULIMA

August 9, 2021
NDUGU MATATANI KUMSHAMBULIA, KUMJERUHI MWENZAO KISA NG’OMBE

NDUGU MATATANI KUMSHAMBULIA, KUMJERUHI MWENZAO KISA NG’OMBE

0
WAHANDISI WA HALMASHAURI WAMEKUA WAKIIKOSEA SERIKALI KWAKUTOA TAARIFA ZA UONGO

WAHANDISI WA HALMASHAURI WAMEKUA WAKIIKOSEA SERIKALI KWAKUTOA TAARIFA ZA UONGO

0

OFISA ELIMU, MHANDISI, MKUU WA SHULE WAKALIA ‘KUTI KAVU’

0
STENDI YA ZAMANI UBUNGO  KUJENGWA DEPO MABASI MWENDOKASI

STENDI YA ZAMANI UBUNGO KUJENGWA DEPO MABASI MWENDOKASI

0

Exploring Herbal Viagra Alternatives: Natural Solutions for Men’s Health

May 23, 2025
TALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 20, 2024

TALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 20, 2024

November 20, 2024

YALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 12, 2024

November 12, 2024
YALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 11, 2024

YALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 11, 2024

November 11, 2024

Recent News

Instagram Youtube Twitter Facebook

We are a diverse team of experts, innovative thinkers, creative designers, writers, innovators, strategists, pyschologists, comunictaors and web developers. UMG is extremely passionate about growing clients’ businesses, helping them achieve their goals and making a difference by raising the creative and communications industry standards in Tanzania.

Follow Us

Browse by Category

  • 231
  • Afya Makala
  • BIASHARA
  • BURUDANI
  • Business
  • HABARI KIMATAIFA
  • Habari Kitaifa
  • Habari Picha
  • KIMATAIFA
  • MAGAZETI
  • MAHAKAMANI
  • MAKALA
  • MAKALA AFYA
  • MAKALA-BURUDANI
  • MICHEZO
  • MICHEZO KIMATAIFA
  • MICHEZO KITAIFA
  • MICHEZO-MAKALA
  • MICHEZO-MASUMBWI
  • MITINDO
  • RIWAYA
  • SIASA
  • Sports
  • Uncategorized

Recent News

Exploring Herbal Viagra Alternatives: Natural Solutions for Men’s Health

May 23, 2025
TALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 20, 2024

TALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 20, 2024

November 20, 2024

© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved

No Result
View All Result

© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved

Login to your account below

Forgotten Password?

Fill the forms bellow to register

All fields are required. Log In

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In