Friday, July 25, 2025
27 °c
Dar es Salaam
25 ° Thu
25 ° Fri
25 ° Sat
25 ° Sun
25 ° Mon
English English Kiswahili Kiswahili
UMG
  • Mwanzo
  • UMG
  • Siasa
    • All
    • Business
    SHIRIKA LA OMUKA HUB NA NDI WAANDAA MAJADILIANO YA JUKWAA LA WANAWAKE KATIKA SIASA

    SHIRIKA LA OMUKA HUB NA NDI WAANDAA MAJADILIANO YA JUKWAA LA WANAWAKE KATIKA SIASA

    WAZIRI JAFO ATETA NA WAKUU WA MIKOA

    WAZIRI JAFO ATETA NA WAKUU WA MIKOA

    MAKAMU MWENYEKITI UVCCM AWAJIA JUU WANAOWACHAFUA VIONGOZI

    MAKAMU MWENYEKITI UVCCM AWAJIA JUU WANAOWACHAFUA VIONGOZI

    MAKAMU WA RAIS DK. PHILIP MPANGO AKIONDOKA NCHINI ANGOLA

    MAKAMU WA RAIS DK. PHILIP MPANGO AKIONDOKA NCHINI ANGOLA

    RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI

    RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI

    FORBES YAMTAJA TENA RAIS SAMIA.. “NI MIONGONI MWA WANAWAKE 100 WENYE UWEZO MKUBWA DUNIANI”

    FORBES YAMTAJA TENA RAIS SAMIA.. “NI MIONGONI MWA WANAWAKE 100 WENYE UWEZO MKUBWA DUNIANI”

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • Biashara
    WAJASIRIAMALI WASHAURIWA KUTHIBITISHA UBORA WA BIDHAA NJOMBE

    WAJASIRIAMALI WASHAURIWA KUTHIBITISHA UBORA WA BIDHAA NJOMBE

    SHERIA YA LOCAL CONTENT INAVYONUFAISHA WAWEKEZAJI WAZAWA GGML

    SHERIA YA LOCAL CONTENT INAVYONUFAISHA WAWEKEZAJI WAZAWA GGML

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • Burudani
    • All
    • Sports
    YANGA YAMNYATIA ABIALA KUTOKA CONGO DR

    YANGA YAMNYATIA ABIALA KUTOKA CONGO DR

    SIMBA YAICHAPA KAGERA SUGAR 3-0

    SIMBA YAICHAPA KAGERA SUGAR 3-0

  • Michezo
    SERIKALI YAAHIDI KUWAPELEKA MASHABIKI WA YANGA AFRIKA KUSINI

    SERIKALI YAAHIDI KUWAPELEKA MASHABIKI WA YANGA AFRIKA KUSINI

    YANGA SC YAACHANA NA MOLOKO

    YANGA SC YAACHANA NA MOLOKO

    TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA

    TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA

    TFF YAUFUNGIA UWANJA WA UHURU

    TFF YAUFUNGIA UWANJA WA UHURU

    BENCHIKHA; MCHEZO WA KESHO UTACHORA RAMANI KUELEKEA LIGI YA MABINGWA AFRIKA DHIDI YA WYDAD CASABLANCA

    BENCHIKHA; MCHEZO WA KESHO UTACHORA RAMANI KUELEKEA LIGI YA MABINGWA AFRIKA DHIDI YA WYDAD CASABLANCA

    Trending Tags

    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • MAGAZETI
    • UELEKEO
  • UMG DIGITAL
  • UELEKEO DIGITAL
    • Instagram
    • Facebook
    • Twitter
    • Youtube
  • English English
  • Kiswahili Kiswahili

No Result
View All Result
UMG
No Result
View All Result
Mwanzo Habari Kitaifa

WAAJIRI WAASWA KUTUMIA MFUMO WA KIDIGITALI KUWASILISHA MADAI YA FIDIA WCF

Flora Bathromew by Flora Bathromew
September 29, 2023
in Habari Kitaifa
0 0
0
WAAJIRI WAASWA KUTUMIA MFUMO WA KIDIGITALI KUWASILISHA MADAI YA FIDIA WCF
0
SHARES
28
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

WAAJIRI kote nchini wamehimizwa kutumia TEHAMA kuwasilisha taarifa kuhusu mfanyakazi aliyepata Ajali, Ugonjwa au Kifo kilichotokana na kazi aliyoajiriwa kwa mujibu wa mkataba wa ajira yake,  ili kurahisisha mchakato wa malipo ya fidia.

Wito huo umetolewa  hivi karibuni na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fidida kwa Wafanyakazi, (WCF), Dkt. John Mduma,  wakati akifungua semina kwa maafisa rasilimali na maafisa usalama na afya mahali pa kazi wa mkoa wa Dar es Salaam.

Alisema, kwa majukumu waliyonayo maafisa hao kutoka kwenye kampuni wanazoziwakilisha, wao ni kiungo muhimu kati ya mwajiri na WCF, na kwamba Mfuko, umehakikisha unarahisisha utoaji wa huduma ili kuendana na mabadiliko ya teknolojia na kwa sasa huduma zote zinapatikana mtandaoni kupitia (portal.wcf.go.tz).

“Uzoefu wetu unaonyesha uptake ipo ya kutosha ya huduma zetu na hasa huduma zinapatikana mtandaoni, ni rai yangu kuendelea kuwahimiza kutumia mitandao inayotoa huduma za WCF,  na sit u kurahisisha utoaji huduma, lakini pia kupunguza gharama na muda na hivyo kuharakisha utoaji wa malipo ya Mafao ya fidia.” Alisisitiza.

Alisema Mfuko upo kwa nia ya kuwaondolea watu watakaopata madhila yatokanayo na kazi, madhara ya kijamii, kiuchumi na hasa kuchangia katika kuhakikisha kwamba kipato cha wanaopatwa na madhara haya hakiyumbi kama ambavyo sera inavyoelekeza.

Aidha,  Dkt. Mduma alisema, serikali ilianzisha Mfuko huo ili ubeba jukumu la kumuhudumia mfanyakazi aliyeumia au kuugua kutokana na kazi, huku  mwajiri yeye abaki na jukumu la uzalishaji na kusimamia uendelevu wa biashara zake na hivyo kuchangia ukuaji wa uchumi wanchi.

“Tunaamini kwa kuyatenganisha haya tuko kwenye model nzuri ya hifadhi ya jamii kwenye eneo la Fidia kwa Wafanyakazi kuliko ilivyokuwa hapo awali kabla ya kuanzishwa kwa Mfuko.” Alibainisha.

Akizungumzia kuhusu yale yaliyofundishwa kwenye semina hiyo, Mkurugenzi wa Huduma za Tathmini WCF, Dkt. Abdulsalaam Omar, alisema washiriki wamejifunza namna ya kutoa taarifa za ajali au magonjwa yatokanayo na kazi kwa njia ya mtandao ikiwemo kutuma madai, lakini pi walijifunza kuhusu masuala ya usalama na afya mahali pa kazi ikiwemo jinsi ya kubaini vihatarishi maeneo ya kazi.

Kwa upande wao, washiriki wameipongeza WCF kwa utaratibu huo wa kuendelea kutoa elimu kwa makundi mbalimbali kuhusu elimu ya fidia kwa wafanyakazi.

Bi. Zainab Jereko, ambaye ni mshiriki, aliwaasa  waajiri kuzingatia usalama na afya mahali pa kazi, ambapo alisema inagawa WCF ipo kwa ajili ya kutoa fidia, lakini hiyo haiondoi wajibu wa waajiri kuzingatia usalama na afya  mahali pa kazi unakuwepo.

Bi. Jereko pia alisifu mfumo wa kufungua madai kupitia mtandao, “umekuwa na msaada mkubwa kwa waajiri kwani umerahisisha utoaji taarifa lakini pia umeondoa usumbufu na upotevu wa muda  wa kwenda ofisi za WCF ili kutoa taarifa.” Alisema Bi. Jereko.

“Pamoja na yote niliyojifuzna nimefurahia sana namna Mfuko ulivyoweka mifumo ya kisasa ya utoaji taarifa kwa njia ya mtandao endapo itatokea ajali eneo la kazi.” Alisema mshiriki mwingine Bw.Goodlove Bugenyi.

Kwa mujibu wa Sheria ya Fidia kwa Wafanyakazi, mwajiri yoyote Tanzania Bara anawajibika kujisajili katika Mfuko.

Mwajiri anaweza kujisajili katika Mfuko kwa njia ya mtandao (portal.wcf.go.tz) au kwakujaza Fomu za usajili (WCR-1 na WCR-2) na kuziwasilisha kwenye ofisi ya Mfuko iliyopo karibu nae au ofisi za idara ya kazi.

Flora Bathromew

Flora Bathromew

Stay Connected test

  • 139 Follower
  • 205k Subscriber
  • 23.9k Follower
  • 99 Subscriber
  • Trending
  • Comments
  • Latest
MADAKTARI WAELEZEA JINSI YA KUZUIA MIMBA ISIHARIBIKE

MADAKTARI WAELEZEA JINSI YA KUZUIA MIMBA ISIHARIBIKE

July 9, 2021
BREAKING NEWS: RATIBA LIGI KUU NBC MSIMU WA 2023/2024 HII HAPA

BREAKING NEWS: RATIBA LIGI KUU NBC MSIMU WA 2023/2024 HII HAPA

August 7, 2023
TABWA YAMSIFU SAMIA KUWAPA FURSA WANAWAKE

TABWA YAMSIFU SAMIA KUWAPA FURSA WANAWAKE

July 9, 2021
BEI MPYA YA MBAAZI, KUNDE YAWAPANDISHA MZUKA WAKULIMA

BEI MPYA YA MBAAZI, KUNDE YAWAPANDISHA MZUKA WAKULIMA

August 9, 2021
NDUGU MATATANI KUMSHAMBULIA, KUMJERUHI MWENZAO KISA NG’OMBE

NDUGU MATATANI KUMSHAMBULIA, KUMJERUHI MWENZAO KISA NG’OMBE

0
WAHANDISI WA HALMASHAURI WAMEKUA WAKIIKOSEA SERIKALI KWAKUTOA TAARIFA ZA UONGO

WAHANDISI WA HALMASHAURI WAMEKUA WAKIIKOSEA SERIKALI KWAKUTOA TAARIFA ZA UONGO

0

OFISA ELIMU, MHANDISI, MKUU WA SHULE WAKALIA ‘KUTI KAVU’

0
STENDI YA ZAMANI UBUNGO  KUJENGWA DEPO MABASI MWENDOKASI

STENDI YA ZAMANI UBUNGO KUJENGWA DEPO MABASI MWENDOKASI

0

Exploring Herbal Viagra Alternatives: Natural Solutions for Men’s Health

May 23, 2025
TALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 20, 2024

TALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 20, 2024

November 20, 2024

YALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 12, 2024

November 12, 2024
YALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 11, 2024

YALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 11, 2024

November 11, 2024

Recent News

Instagram Youtube Twitter Facebook

We are a diverse team of experts, innovative thinkers, creative designers, writers, innovators, strategists, pyschologists, comunictaors and web developers. UMG is extremely passionate about growing clients’ businesses, helping them achieve their goals and making a difference by raising the creative and communications industry standards in Tanzania.

Follow Us

Browse by Category

  • 231
  • Afya Makala
  • BIASHARA
  • BURUDANI
  • Business
  • HABARI KIMATAIFA
  • Habari Kitaifa
  • Habari Picha
  • KIMATAIFA
  • MAGAZETI
  • MAHAKAMANI
  • MAKALA
  • MAKALA AFYA
  • MAKALA-BURUDANI
  • MICHEZO
  • MICHEZO KIMATAIFA
  • MICHEZO KITAIFA
  • MICHEZO-MAKALA
  • MICHEZO-MASUMBWI
  • MITINDO
  • RIWAYA
  • SIASA
  • Sports
  • Uncategorized

Recent News

Exploring Herbal Viagra Alternatives: Natural Solutions for Men’s Health

May 23, 2025
TALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 20, 2024

TALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 20, 2024

November 20, 2024

© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved

No Result
View All Result

© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved

Login to your account below

Forgotten Password?

Fill the forms bellow to register

All fields are required. Log In

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In