Saturday, November 1, 2025
27 °c
Dar es Salaam
25 ° Thu
25 ° Fri
25 ° Sat
25 ° Sun
25 ° Mon
English English Kiswahili Kiswahili
UMG
  • Mwanzo
  • UMG
  • Siasa
    • All
    • Business
    SHIRIKA LA OMUKA HUB NA NDI WAANDAA MAJADILIANO YA JUKWAA LA WANAWAKE KATIKA SIASA

    SHIRIKA LA OMUKA HUB NA NDI WAANDAA MAJADILIANO YA JUKWAA LA WANAWAKE KATIKA SIASA

    WAZIRI JAFO ATETA NA WAKUU WA MIKOA

    WAZIRI JAFO ATETA NA WAKUU WA MIKOA

    MAKAMU MWENYEKITI UVCCM AWAJIA JUU WANAOWACHAFUA VIONGOZI

    MAKAMU MWENYEKITI UVCCM AWAJIA JUU WANAOWACHAFUA VIONGOZI

    MAKAMU WA RAIS DK. PHILIP MPANGO AKIONDOKA NCHINI ANGOLA

    MAKAMU WA RAIS DK. PHILIP MPANGO AKIONDOKA NCHINI ANGOLA

    RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI

    RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI

    FORBES YAMTAJA TENA RAIS SAMIA.. “NI MIONGONI MWA WANAWAKE 100 WENYE UWEZO MKUBWA DUNIANI”

    FORBES YAMTAJA TENA RAIS SAMIA.. “NI MIONGONI MWA WANAWAKE 100 WENYE UWEZO MKUBWA DUNIANI”

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • Biashara
    WAJASIRIAMALI WASHAURIWA KUTHIBITISHA UBORA WA BIDHAA NJOMBE

    WAJASIRIAMALI WASHAURIWA KUTHIBITISHA UBORA WA BIDHAA NJOMBE

    SHERIA YA LOCAL CONTENT INAVYONUFAISHA WAWEKEZAJI WAZAWA GGML

    SHERIA YA LOCAL CONTENT INAVYONUFAISHA WAWEKEZAJI WAZAWA GGML

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • Burudani
    • All
    • Sports
    YANGA YAMNYATIA ABIALA KUTOKA CONGO DR

    YANGA YAMNYATIA ABIALA KUTOKA CONGO DR

    SIMBA YAICHAPA KAGERA SUGAR 3-0

    SIMBA YAICHAPA KAGERA SUGAR 3-0

  • Michezo
    SERIKALI YAAHIDI KUWAPELEKA MASHABIKI WA YANGA AFRIKA KUSINI

    SERIKALI YAAHIDI KUWAPELEKA MASHABIKI WA YANGA AFRIKA KUSINI

    YANGA SC YAACHANA NA MOLOKO

    YANGA SC YAACHANA NA MOLOKO

    TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA

    TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA

    TFF YAUFUNGIA UWANJA WA UHURU

    TFF YAUFUNGIA UWANJA WA UHURU

    BENCHIKHA; MCHEZO WA KESHO UTACHORA RAMANI KUELEKEA LIGI YA MABINGWA AFRIKA DHIDI YA WYDAD CASABLANCA

    BENCHIKHA; MCHEZO WA KESHO UTACHORA RAMANI KUELEKEA LIGI YA MABINGWA AFRIKA DHIDI YA WYDAD CASABLANCA

    Trending Tags

    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • MAGAZETI
    • UELEKEO
  • UMG DIGITAL
  • UELEKEO DIGITAL
    • Instagram
    • Facebook
    • Twitter
    • Youtube
  • English English
  • Kiswahili Kiswahili

No Result
View All Result
UMG
No Result
View All Result
Mwanzo Habari Kitaifa

WASHIRIKI 300 KUSHIRIKI MKUTANO WA KIMATAIFA WA UWAZI NA UWAJIBIKAJI JIJINI ARUSHA

Flora Bathromew by Flora Bathromew
September 12, 2023
in Habari Kitaifa
0 0
0
WASHIRIKI 300 KUSHIRIKI MKUTANO WA KIMATAIFA WA UWAZI NA UWAJIBIKAJI JIJINI ARUSHA
0
SHARES
28
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Taasisi ya Wajibu imesema kuwa kuanzia Septemba 28 hadi 29 mwaka huu kutafanyika mkutano wa kimataifa wa uwazi na uwajibikaji ambao utafanyika jijini Arusha na wajumbe 300 kutoka ndani na nje ya Tanzania watashiriki.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Mkurugenzi Mtendaji wa WAJIBU FCPA. Ludovick Utouh amesema Mkutano huu wa Kimataifa wa Uwazi na Uwajibikaji (ITAC) ni wa tatu tangu WAJIBU ilivyoanza kuaanda mikutano ya aina hii mwaka 2021.

Amesema Mkutano wa ITAC utakuwa na maudhui isemayo; ‘‘Strengthening Accountability for Climate Action’’’ (Kuimarisha Uwajibikaji kwa Mabadiliko ya Tabianchi).

Ameongeza kuwa WAJIBU imeandaa mada mbalimbali zitakazowasilishwa na watoa mada wa ndani na nje ya nchi na mada hizo ni Sayansi ya Mabadiliko ya Tabianchi (The science of climate change), Ufadhili wa kifedha wa Mabadiliko ya Tabianchi.

Mada nyingine ni Mbinu bora na changamoto katika kufuatilia mtiririko wa fedha za Mabadiliko ya Tabianchi ( The Climate Change Financing; Best practices and challenges in tracking and monitoring climate finance flows) pamoja na Vihatarishi vya kifedha katika Mabadiliko ya tabianchi (Climate change and fiscal risks).

Pia kutakuwa na mada ya Ushiriki wa sekta binafsi katika ufadhili wa kifedha wa mabadiliko ya tabianchi na taratibu za uwajibikaji wa fedha za sekta binafsi (Private sector engagement in climate change financing and the accountability mechanisms for private finance).

Aidha Mbinu Bunifu kwa ajili ya kukabiliana na kuendana na mabadiliko ya tabianchi (Innovative Mechanism for climate change Mitigation and adaptation)

“Kwa kuzingatia umuhimu wa maudhui ya mkutano huu WAJIBU inatarajia mkutano wa ITAC utahusisha washiriki kutoka taasisi za Serikali, wadau wa maendeleo, wanadiplomasia, wanaazaki, wabobezi wa masuala ya uwazi na uwajibikaji, wabobezi wa masuala ya mabadiliko ya Tabianchi, wanataaluma mbalimbali pamoja na wanahabari kutoka ndani na nje ya nchi.

” Ushiriki utakuwa wa aidha moja kwa moja (physical) au kwa njia ya mtandao (online) kupitia mitandao ya mawasiliano itakayochaguliwa. WAJIBU inatarajia kuwa na washiriki zaidi ya 300 katika mkutano huo, “amesema FCPA Utouh.

Akieleza zaidi kuhusu mkutano huo amesema wanatarajia kuwa na mgeni rasmi ambaye ni mmoja wa viongozi wakubwa kitaifa nchini, ila kwa sababu zilizo nje ya uwezo wetu hatuwezi kumtaja hivi sasa.

Amesema wanategemea mkutano huo kuwa na watoa mada wa kimataifa ili kuleta ladha ya Kimataifa kwa kupata uzoefu wao kutoka katika nchi Sita ambazo ni mwenyeji mwenyewe Tanzania, Afrika ya Kusini, Kenya, Zimbabwe, Nigeria na Zambia.

” Na watoa mada kutoka katika nchi hizo wameshathibitisha ushiriki wao katika Mkutano huu mkubwa wa Kimataifa wa Uwajibikaji (ITAC 2023).Mkutano huo unatarajiwa kuleta uelewa mzuri juu ya changamoto na fursa zinazohusiana na uwajibikaji wa kifedha wa umma katika kugharamia hatua ya mabadiliko ya tabianchi, na kubainisha mikakati ya kuimarisha mifumo ya uwajibikaji wa kifedha.”

Amefafanua washiriki watapata fursa ya kubadilishana ujuzi na uzoefu, usimamizi mzuri zaidi wa fedha zinazohusika na mabadilko ya tabianchi, kutambua vihatarishi (risk) vilivyopo na namna ya kushughulikiwa na kupanga wakati wa ushiriki wa pamoja kwa kuwa mabadiliko ya tabia nchi hayana mipaka.

Hivyo WAJIBU inatoa rai kwa wadau wote wa uwazi na uwajibikaji kutoka ndani na nje ya nchi kushiriki mkutano huo wa Kimataifa wa ITAC 2023 ambao ni fursa ya kujadili na kubadilishana mawazo ya nini kifanyike ili kukuza na kuimarisha uwazi na uwajibikaji kwenye usimamizi wa fedha na rasilimali nyingi zinazohitajika kwenye kugharamia kudhibiti hali ya mabadiliko ya tabianchi kwa maendeleo ya nchi za bara la Afrika.

Aidha, watu wenye fani za Masuala ya Mazingira, uhasibu, uchumi, sheria, utafiti, waandishi wa Habari, wana geologia na maendeleo ya jamii, mkutano huo ni muhimu kwao kwani mada zitakazojadiliwa zinahusu moja kwa moja utendaji wa kazi zao.

Pia amesema wanashauri wadau wote kuanza kujiandikisha kushiriki kwenye Mkutano huu kupitia tovuti yetu ya www.wajibu.or.tz ambapo mwisho wa uandikishaji utakuwa tarehe 18/09/2023.

“Masharti ya ushiriki kwenye Mkutano huo kwa Washiriki wanaotokea nchini – (Residents) watakaohudhuria ukumbini – (physical) na watakaoshiriki kwa njia ya mtandao (online) kuchangia kidogo gharama za mkutano kwa malipo ya TZS 25,000/-.

“Washiriki wanaotokea nje ya nchi – (non-Residents) watakaohudhuria ukumbini – (physical) na watakaoshiriki kwa njia ya mtandao (online) kuchangia kidogo gharama za mkutano kwa malipo ya USD 15/-

“Akaunti ya washiriki waliopo nchini (Local Account): Jina la Benki: NMB Plc, Jina la Akaunti :WAJIBU – Institute of Public Accountability Akaunti Na:TZS 20110018487.Tunawaomba washiriki kuthibitisha ushiriki wao na kufanya malipo kabla ya tarehe 25/09/2023.” amesema FCPA. Utouh.

CC: issamichuzi

Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi ya  WAJIBU FCPA. Ludovick Utouh akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Septemba 12,2023 kuhusu kufanyika mkutano wa tatu wa kimataifa wa uwazi na uwajibikaji (ITAC) ambao utafanyika jijini Arusha kuanzia Septemba 28 hadi 29 mwaka huu,ambapo   wajumbe 300 kutoka ndani na nje ya Tanzania wanatarajiwa kushiriki. Mkutano huo wa Kimataifa wa Uwazi na Uwajibikaji (ITAC) ni wa tatu tangu WAJIBU ilivyoanza kuaanda mikutano ya aina hii mwaka 2021.Pichani kushoto ni Meneja Miradi Moses Kimaro.

Flora Bathromew

Flora Bathromew

Stay Connected test

  • 139 Follower
  • 205k Subscriber
  • 23.9k Follower
  • 99 Subscriber
  • Trending
  • Comments
  • Latest
MADAKTARI WAELEZEA JINSI YA KUZUIA MIMBA ISIHARIBIKE

MADAKTARI WAELEZEA JINSI YA KUZUIA MIMBA ISIHARIBIKE

July 9, 2021
BREAKING NEWS: RATIBA LIGI KUU NBC MSIMU WA 2023/2024 HII HAPA

BREAKING NEWS: RATIBA LIGI KUU NBC MSIMU WA 2023/2024 HII HAPA

August 7, 2023
TABWA YAMSIFU SAMIA KUWAPA FURSA WANAWAKE

TABWA YAMSIFU SAMIA KUWAPA FURSA WANAWAKE

July 9, 2021
BEI MPYA YA MBAAZI, KUNDE YAWAPANDISHA MZUKA WAKULIMA

BEI MPYA YA MBAAZI, KUNDE YAWAPANDISHA MZUKA WAKULIMA

August 9, 2021
NDUGU MATATANI KUMSHAMBULIA, KUMJERUHI MWENZAO KISA NG’OMBE

NDUGU MATATANI KUMSHAMBULIA, KUMJERUHI MWENZAO KISA NG’OMBE

0
WAHANDISI WA HALMASHAURI WAMEKUA WAKIIKOSEA SERIKALI KWAKUTOA TAARIFA ZA UONGO

WAHANDISI WA HALMASHAURI WAMEKUA WAKIIKOSEA SERIKALI KWAKUTOA TAARIFA ZA UONGO

0

OFISA ELIMU, MHANDISI, MKUU WA SHULE WAKALIA ‘KUTI KAVU’

0
STENDI YA ZAMANI UBUNGO  KUJENGWA DEPO MABASI MWENDOKASI

STENDI YA ZAMANI UBUNGO KUJENGWA DEPO MABASI MWENDOKASI

0

Exploring Herbal Viagra Alternatives: Natural Solutions for Men’s Health

May 23, 2025
TALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 20, 2024

TALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 20, 2024

November 20, 2024

YALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 12, 2024

November 12, 2024
YALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 11, 2024

YALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 11, 2024

November 11, 2024

Recent News

Instagram Youtube Twitter Facebook

We are a diverse team of experts, innovative thinkers, creative designers, writers, innovators, strategists, pyschologists, comunictaors and web developers. UMG is extremely passionate about growing clients’ businesses, helping them achieve their goals and making a difference by raising the creative and communications industry standards in Tanzania.

Follow Us

Browse by Category

  • 231
  • Afya Makala
  • BIASHARA
  • BURUDANI
  • Business
  • HABARI KIMATAIFA
  • Habari Kitaifa
  • Habari Picha
  • KIMATAIFA
  • MAGAZETI
  • MAHAKAMANI
  • MAKALA
  • MAKALA AFYA
  • MAKALA-BURUDANI
  • MICHEZO
  • MICHEZO KIMATAIFA
  • MICHEZO KITAIFA
  • MICHEZO-MAKALA
  • MICHEZO-MASUMBWI
  • MITINDO
  • RIWAYA
  • SIASA
  • Sports
  • Uncategorized

Recent News

Exploring Herbal Viagra Alternatives: Natural Solutions for Men’s Health

May 23, 2025
TALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 20, 2024

TALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 20, 2024

November 20, 2024

© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved

No Result
View All Result

© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved

Login to your account below

Forgotten Password?

Fill the forms bellow to register

All fields are required. Log In

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In