Ndege ya shirika la ndege la Japan Airbus A350 imewaka moto Wakati ikitua uwanja wa ndege wa Tokyo wa Haneda leo, Ripoti za vyombo vya habari nchini humo zinasema kuwa mamlaka za uwanja wa ndege zimejaribu kuuzima moto huo, huku wafanyakazi wakiondolewa kutoka kwa ndege hiyo.
Kwa muujiza, vyombo vya habari vinaripoti abiria wote 367 na wafanyakazi 12 wa ndege hiyo walinusurika kwenye ajali hiyo. Kwa kuzingatia ukubwa wa moto, wafanyakazi walifanikiwa uokoaji mzuri sana, umefanywa vizuri kwao





























