Thursday, May 22, 2025
27 °c
Dar es Salaam
25 ° Thu
25 ° Fri
25 ° Sat
25 ° Sun
25 ° Mon
English English Kiswahili Kiswahili
UMG
  • Mwanzo
  • UMG
  • Siasa
    • All
    • Business
    SHIRIKA LA OMUKA HUB NA NDI WAANDAA MAJADILIANO YA JUKWAA LA WANAWAKE KATIKA SIASA

    SHIRIKA LA OMUKA HUB NA NDI WAANDAA MAJADILIANO YA JUKWAA LA WANAWAKE KATIKA SIASA

    WAZIRI JAFO ATETA NA WAKUU WA MIKOA

    WAZIRI JAFO ATETA NA WAKUU WA MIKOA

    MAKAMU MWENYEKITI UVCCM AWAJIA JUU WANAOWACHAFUA VIONGOZI

    MAKAMU MWENYEKITI UVCCM AWAJIA JUU WANAOWACHAFUA VIONGOZI

    MAKAMU WA RAIS DK. PHILIP MPANGO AKIONDOKA NCHINI ANGOLA

    MAKAMU WA RAIS DK. PHILIP MPANGO AKIONDOKA NCHINI ANGOLA

    RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI

    RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI

    FORBES YAMTAJA TENA RAIS SAMIA.. “NI MIONGONI MWA WANAWAKE 100 WENYE UWEZO MKUBWA DUNIANI”

    FORBES YAMTAJA TENA RAIS SAMIA.. “NI MIONGONI MWA WANAWAKE 100 WENYE UWEZO MKUBWA DUNIANI”

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • Biashara
    WAJASIRIAMALI WASHAURIWA KUTHIBITISHA UBORA WA BIDHAA NJOMBE

    WAJASIRIAMALI WASHAURIWA KUTHIBITISHA UBORA WA BIDHAA NJOMBE

    SHERIA YA LOCAL CONTENT INAVYONUFAISHA WAWEKEZAJI WAZAWA GGML

    SHERIA YA LOCAL CONTENT INAVYONUFAISHA WAWEKEZAJI WAZAWA GGML

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • Burudani
    • All
    • Sports
    YANGA YAMNYATIA ABIALA KUTOKA CONGO DR

    YANGA YAMNYATIA ABIALA KUTOKA CONGO DR

    SIMBA YAICHAPA KAGERA SUGAR 3-0

    SIMBA YAICHAPA KAGERA SUGAR 3-0

  • Michezo
    SERIKALI YAAHIDI KUWAPELEKA MASHABIKI WA YANGA AFRIKA KUSINI

    SERIKALI YAAHIDI KUWAPELEKA MASHABIKI WA YANGA AFRIKA KUSINI

    YANGA SC YAACHANA NA MOLOKO

    YANGA SC YAACHANA NA MOLOKO

    TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA

    TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA

    TFF YAUFUNGIA UWANJA WA UHURU

    TFF YAUFUNGIA UWANJA WA UHURU

    BENCHIKHA; MCHEZO WA KESHO UTACHORA RAMANI KUELEKEA LIGI YA MABINGWA AFRIKA DHIDI YA WYDAD CASABLANCA

    BENCHIKHA; MCHEZO WA KESHO UTACHORA RAMANI KUELEKEA LIGI YA MABINGWA AFRIKA DHIDI YA WYDAD CASABLANCA

    Trending Tags

    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • MAGAZETI
    • UELEKEO
  • UMG DIGITAL
  • UELEKEO DIGITAL
    • Instagram
    • Facebook
    • Twitter
    • Youtube
  • English English
  • Kiswahili Kiswahili

No Result
View All Result
UMG
No Result
View All Result
Mwanzo Habari Kitaifa

WATUHUMIWA WA UHALIFU 533 WAHUKUMIWA JELA, MATUKIO YA UHALIFU YATAJWA KUPUNGUA.

Prosper Pellegrine by Prosper Pellegrine
January 15, 2024
in Habari Kitaifa
0 0
0
WATUHUMIWA WA UHALIFU 533 WAHUKUMIWA JELA, MATUKIO YA UHALIFU YATAJWA KUPUNGUA.
0
SHARES
16
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema kwa mwaka 2023 jumla ya watuhumiwa 533 walihukumiwa Kwenda jela kwa makosa mbalimbali ikiwemo ubakaji na ulawiti huku matukio ya uhalifu yakitajwa kupungua kwa asilimia 12.

Akitoa taarifa hiyo leo Januari 15,2024 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha ACP Justine Masejo amesema kuwa kwa mwaka 2022 makosa ya uhalifu yalikuwa 2,995 ambayo ni tofauti na mwaka 2023 ambapo yalikuwa 2,634 sawa na upungufu wa makosa 361.

Kamanda Masejo amebainisha kuwa jumla ya watuhumiwa 138 wa makosa ya ubakaji walihukumiwa vifungo mbalimbali gerezani ambapo watuhumiwa 86 walihukumiwa vifungo vya Maisha Jela, watuhumiwa 37 walihukumiwa miaka 30 jela na wengine 15 walihukumiwa miaka 20 jela.

Aidha kwa upande wa makosa ya ulawiti jumla ya watuhumiwa 103 walihukumiwa vifungo mbalimbali jela ambapo watuhumiwa 89 walihukumiwa kifungo cha maisha, watuhumiwa 14 walihukumiwa miaka 30.

ACP Masejo ameendelea kufafanua kuwa kwa kipindi kama hicho Jeshi hilo lilifanikiwa kupunguza ajali za barabarani kwa asilimia 19 ambapo mwaka 2022 ajali zilizoripotiwa zilikuwa 90 ukilinganisha na ajali 73 zilizoripotiwa mwaka 2023 ambapo ni sawa na upungufu wa ajali 17.

Sambamba na hilo pia kupitia misako mbalimbali walioifanya mwaka 2023 dhidi ya madawa ya kulevya, walifanikiwa kukamata Watuhumiwa 198 wakiwa na Mirungi Tani mbili na Kilogramu 250.7.

Lakini Pia Watuhumiwa 250 walikamatwa wakiwa na Bhangi Tani Sita na kilogramu 462.8 huku Jeshi hilo likiteketeza jumla ya hekari 70 za bhangi na kukamata watuhumiwa 15 wakiwa na Heroine gramu 860.75 huku watuhumiwa 140 walihukumiwa vifungo mbalimbali.

Halikadhalika kwa kipindi hicho Jeshi hilo lilifanikiwa kukamata Watuhumiwa 417 wakiwa na pombe ya Moshi maarufu kwa jina la gongo lita 1,338.9 pamoja na mitambo 51 ya kutengeneza pombe hiyo huku Watuhumiwa 152 wakihukumiwa vifungo mbalimbali.

Kamanda Masejo amesema mafanikio hayo yametokana na juhudi za wananchi, Askari wa Jeshi la Polisi, vyombo vingine vya usalama pamoja na Vyombo vya Habari katika kuhabarisha na kufichua vitendo vya kihalifu.

Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limewahakikishia wananchi kuwa limejipanga vyema kuhakikisha mwaka 2024 Mkoa huo unakua shwari wakati wote, ambapo limesema kuwa halitoruhusu mtu yoyote ama kikundi cha watu kitakachojaribu kufanya vitendo vya uvunjifu wa amani kwani litawachukulia hatua za kisheria kwa watakaobainika hasa kwa kuzingatia Mkoa huo ni kitovu cha utalii hapa Nchini.

Cc: Mwandishi wa Jeshi la Polisi

Prosper Pellegrine

Prosper Pellegrine

Stay Connected test

  • 139 Follower
  • 204k Subscriber
  • 23.9k Follower
  • 99 Subscriber
  • Trending
  • Comments
  • Latest
MADAKTARI WAELEZEA JINSI YA KUZUIA MIMBA ISIHARIBIKE

MADAKTARI WAELEZEA JINSI YA KUZUIA MIMBA ISIHARIBIKE

July 9, 2021
BREAKING NEWS: RATIBA LIGI KUU NBC MSIMU WA 2023/2024 HII HAPA

BREAKING NEWS: RATIBA LIGI KUU NBC MSIMU WA 2023/2024 HII HAPA

August 7, 2023
TABWA YAMSIFU SAMIA KUWAPA FURSA WANAWAKE

TABWA YAMSIFU SAMIA KUWAPA FURSA WANAWAKE

July 9, 2021
BEI MPYA YA MBAAZI, KUNDE YAWAPANDISHA MZUKA WAKULIMA

BEI MPYA YA MBAAZI, KUNDE YAWAPANDISHA MZUKA WAKULIMA

August 9, 2021
NDUGU MATATANI KUMSHAMBULIA, KUMJERUHI MWENZAO KISA NG’OMBE

NDUGU MATATANI KUMSHAMBULIA, KUMJERUHI MWENZAO KISA NG’OMBE

0
WAHANDISI WA HALMASHAURI WAMEKUA WAKIIKOSEA SERIKALI KWAKUTOA TAARIFA ZA UONGO

WAHANDISI WA HALMASHAURI WAMEKUA WAKIIKOSEA SERIKALI KWAKUTOA TAARIFA ZA UONGO

0

OFISA ELIMU, MHANDISI, MKUU WA SHULE WAKALIA ‘KUTI KAVU’

0
STENDI YA ZAMANI UBUNGO  KUJENGWA DEPO MABASI MWENDOKASI

STENDI YA ZAMANI UBUNGO KUJENGWA DEPO MABASI MWENDOKASI

0
TALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 20, 2024

TALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 20, 2024

November 20, 2024

YALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 12, 2024

November 12, 2024
YALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 11, 2024

YALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 11, 2024

November 11, 2024
YALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 1, 2024

YALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 1, 2024

October 31, 2024

Recent News

Instagram Youtube Twitter Facebook

We are a diverse team of experts, innovative thinkers, creative designers, writers, innovators, strategists, pyschologists, comunictaors and web developers. UMG is extremely passionate about growing clients’ businesses, helping them achieve their goals and making a difference by raising the creative and communications industry standards in Tanzania.

Follow Us

Browse by Category

  • Afya Makala
  • BIASHARA
  • BURUDANI
  • Business
  • HABARI KIMATAIFA
  • Habari Kitaifa
  • Habari Picha
  • KIMATAIFA
  • MAGAZETI
  • MAHAKAMANI
  • MAKALA
  • MAKALA AFYA
  • MAKALA-BURUDANI
  • MICHEZO
  • MICHEZO KIMATAIFA
  • MICHEZO KITAIFA
  • MICHEZO-MAKALA
  • MICHEZO-MASUMBWI
  • MITINDO
  • RIWAYA
  • SIASA
  • Sports
  • Uncategorized

Recent News

TALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 20, 2024

TALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 20, 2024

November 20, 2024

YALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 12, 2024

November 12, 2024

© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved

No Result
View All Result

© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved

Login to your account below

Forgotten Password?

Fill the forms bellow to register

All fields are required. Log In

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In