Waziri wa nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Mohamed O. Mchengerwa (Mb)
Ndugu. Veronica Vicent Sayore Mkurugenzi wa Halmashauri ya Busega Mkoani Simiyu (Aliyesimamishwa kazi)
Ikiwa zimepita saa kadhaa tangu kusimamishwa kazi, watumishi wawili Wilaya ya Uvinza, mkoani Kigoma naye Mkurugenzi wa Halmashauri ya Busega mkoani Simiyu, Veronica Sayore amesimamishwa kazi kwa kile kinachodaiwa kushindwa kutekeleza majukumu yake.