Monday, September 8, 2025
27 °c
Dar es Salaam
25 ° Thu
25 ° Fri
25 ° Sat
25 ° Sun
25 ° Mon
English English Kiswahili Kiswahili
UMG
  • Mwanzo
  • UMG
  • Siasa
    • All
    • Business
    SHIRIKA LA OMUKA HUB NA NDI WAANDAA MAJADILIANO YA JUKWAA LA WANAWAKE KATIKA SIASA

    SHIRIKA LA OMUKA HUB NA NDI WAANDAA MAJADILIANO YA JUKWAA LA WANAWAKE KATIKA SIASA

    WAZIRI JAFO ATETA NA WAKUU WA MIKOA

    WAZIRI JAFO ATETA NA WAKUU WA MIKOA

    MAKAMU MWENYEKITI UVCCM AWAJIA JUU WANAOWACHAFUA VIONGOZI

    MAKAMU MWENYEKITI UVCCM AWAJIA JUU WANAOWACHAFUA VIONGOZI

    MAKAMU WA RAIS DK. PHILIP MPANGO AKIONDOKA NCHINI ANGOLA

    MAKAMU WA RAIS DK. PHILIP MPANGO AKIONDOKA NCHINI ANGOLA

    RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI

    RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI

    FORBES YAMTAJA TENA RAIS SAMIA.. “NI MIONGONI MWA WANAWAKE 100 WENYE UWEZO MKUBWA DUNIANI”

    FORBES YAMTAJA TENA RAIS SAMIA.. “NI MIONGONI MWA WANAWAKE 100 WENYE UWEZO MKUBWA DUNIANI”

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • Biashara
    WAJASIRIAMALI WASHAURIWA KUTHIBITISHA UBORA WA BIDHAA NJOMBE

    WAJASIRIAMALI WASHAURIWA KUTHIBITISHA UBORA WA BIDHAA NJOMBE

    SHERIA YA LOCAL CONTENT INAVYONUFAISHA WAWEKEZAJI WAZAWA GGML

    SHERIA YA LOCAL CONTENT INAVYONUFAISHA WAWEKEZAJI WAZAWA GGML

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • Burudani
    • All
    • Sports
    YANGA YAMNYATIA ABIALA KUTOKA CONGO DR

    YANGA YAMNYATIA ABIALA KUTOKA CONGO DR

    SIMBA YAICHAPA KAGERA SUGAR 3-0

    SIMBA YAICHAPA KAGERA SUGAR 3-0

  • Michezo
    SERIKALI YAAHIDI KUWAPELEKA MASHABIKI WA YANGA AFRIKA KUSINI

    SERIKALI YAAHIDI KUWAPELEKA MASHABIKI WA YANGA AFRIKA KUSINI

    YANGA SC YAACHANA NA MOLOKO

    YANGA SC YAACHANA NA MOLOKO

    TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA

    TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA

    TFF YAUFUNGIA UWANJA WA UHURU

    TFF YAUFUNGIA UWANJA WA UHURU

    BENCHIKHA; MCHEZO WA KESHO UTACHORA RAMANI KUELEKEA LIGI YA MABINGWA AFRIKA DHIDI YA WYDAD CASABLANCA

    BENCHIKHA; MCHEZO WA KESHO UTACHORA RAMANI KUELEKEA LIGI YA MABINGWA AFRIKA DHIDI YA WYDAD CASABLANCA

    Trending Tags

    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • MAGAZETI
    • UELEKEO
  • UMG DIGITAL
  • UELEKEO DIGITAL
    • Instagram
    • Facebook
    • Twitter
    • Youtube
  • English English
  • Kiswahili Kiswahili

No Result
View All Result
UMG
No Result
View All Result
Mwanzo Habari Kitaifa

WIZARA YA ARDHI YATAKIWA KULINDA MAENEO YOTE YALIYOTENGWA KWA AJILI YA BUSTANI

Flora Bathromew by Flora Bathromew
April 15, 2024
in Habari Kitaifa
0 0
0
WIZARA YA ARDHI YATAKIWA KULINDA MAENEO YOTE YALIYOTENGWA KWA AJILI YA BUSTANI
0
SHARES
41
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango ameagiza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi pamoja na Mamlaka za Miji, Halmashauri na Majiji kuchukua hatua za makusudi kulinda maeneo yote yaliyotengwa kwa ajili ya Bustani za Kijani na kuhakikisha hayavamiwi au kubadilishwa matumizi. Makamu wa Rais ametoa maagizo hayo wakati akifungua Kongamano la Kuhamasisha Uwekezaji katika Bustani za Kijani Nchini kwa Maendeleo Endelevu (Green Parks) lililoandaliwa na Jukwaa la Maendeleo endelevu linalofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa St. Gaspar mkoani Dodoma. Dk. Mpango ametaka maeneo hayo kupimwa na kuwekewa alama za kudumu kuonesha mipaka yake pamoja na kuagiza Mamlaka za Serikali za Mitaa kutunga sheria ndogo (by-laws) na kusimamia utekelezaji wake ili kuhakikisha maeneo ya Bustani za Kijani yanalindwa na kutumika kama ilivyokusudiwa. Aidha Makamu wa Rais ametoa wito kwa sekta binafsi pamoja na mashirika na taasisi za umma pamoja na taasisi za dini kuwekeza katika uanzishaji na uendelezaji wa Bustani za Kijani nchini kwa maendeleo endelevu. Amesema hilo linapaswa kwenda sambamba na kuimarisha ushirikiano kati ya sekta za umma na binafsi katika utekelezaji wa agenda hiyo muhimu.

Pia amesema makampuni binafsi na mashirika ya umma yanapaswa kujumuisha uanzishaji, utunzaji na uendelezaji wa Bustani za Kijani kuwa sehemu ya wajibu wao wa kurejesha kwa jamii (CSR). Pia ametoa wito kwa Mamlaka zote za Miji, Halmashauri za Wilaya na Majiji, kushindanisha vijana wa kitanzania kubuni bustani bora ya kijani katika Makao Makuu ya Wilaya, Mkoa, Mji au Jiji iweje na kuagiza Waziri wa Nchi – OR TAMISEMI na Waziri wa Nchi – OMR kushirikiana kuanzisha mashindano na Tuzo ya Kimkoa na Kitaifa ya bustani bora za kijani katika Miji na Majiji. Halikadhalika Makamu wa Rais ameuagiza uongozi wa Mkoa wa Dodoma kuhakikisha wanaanzisha Bustani za Kijani tatu kabla ya mwisho wa mwaka 2025 ikiwemo moja ya Bustani ya Mimea kwaajili ya Tafiti za Kisayansi na Uhifadhi (Botanical Garden). Amelitaka Jiji la Dodoma kuchukua hatua ya kutangaza fursa ya kuwekeza katika Bustani tangulizi (pioneer green parks).

Ametoa wito kwa sekta binafsi kujitokeza kuwekeza katika kuanzisha bustani hizo mkoani Dodoma ili pamoja na kutunza mazingira kufanya mkoa huo kupendeza zaidi. Amesema uanzishwaji na uendelezaji wa Bustani za Kijani ni suala linalohitaji ushirikishwaji wa taasisi na wadau mbalimbali wenye utaalam ili kuhakikisha uendelevu wa bustani hizo na thamani ya fedha itakayowekezwa. Makamu wa Rais ametaja baadhi ya mambo yanayopaswa kuangaliwa kabla ya kuwekeza ni utambuzi na uchambuzi wa mazingira ya bustani, usanifu wa ardhi na bustani yenyewe, aina ya miti na maua yanayofaa katika eneo hilo, kubainisha vifaa vitakavyotumika, sehemu za huduma mbalimbali kama vile kupumzika, michezo na mazoezi, ukusanyaji wa rasilimali pamoja na mpango kazi wa utekelezaji. Kwa Upande wake Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dk. Selemani Jafo amesema Mipango ya Serikali ni kujielekeza katika uchumi wa kijani ambao unabebwa katika nguzo kuu tatu, ukuaji wa uchumi ustawi wa jamii na utunzaji wa mazingira.

Amesema uwepo wa Kongamano hilo unaenda sambamba na lengo namba 11 na lengo 15 la Malengo ya Maendeleo Endelevu ya Dunia ambayo ni kuweka miji na makazi ya binadamu kuwa jumuishi , salama, imara na endelevu pamoja na kulinda uhai katika ardhi.

Flora Bathromew

Flora Bathromew

Stay Connected test

  • 139 Follower
  • 205k Subscriber
  • 23.9k Follower
  • 99 Subscriber
  • Trending
  • Comments
  • Latest
MADAKTARI WAELEZEA JINSI YA KUZUIA MIMBA ISIHARIBIKE

MADAKTARI WAELEZEA JINSI YA KUZUIA MIMBA ISIHARIBIKE

July 9, 2021
BREAKING NEWS: RATIBA LIGI KUU NBC MSIMU WA 2023/2024 HII HAPA

BREAKING NEWS: RATIBA LIGI KUU NBC MSIMU WA 2023/2024 HII HAPA

August 7, 2023
TABWA YAMSIFU SAMIA KUWAPA FURSA WANAWAKE

TABWA YAMSIFU SAMIA KUWAPA FURSA WANAWAKE

July 9, 2021
BEI MPYA YA MBAAZI, KUNDE YAWAPANDISHA MZUKA WAKULIMA

BEI MPYA YA MBAAZI, KUNDE YAWAPANDISHA MZUKA WAKULIMA

August 9, 2021
NDUGU MATATANI KUMSHAMBULIA, KUMJERUHI MWENZAO KISA NG’OMBE

NDUGU MATATANI KUMSHAMBULIA, KUMJERUHI MWENZAO KISA NG’OMBE

0
WAHANDISI WA HALMASHAURI WAMEKUA WAKIIKOSEA SERIKALI KWAKUTOA TAARIFA ZA UONGO

WAHANDISI WA HALMASHAURI WAMEKUA WAKIIKOSEA SERIKALI KWAKUTOA TAARIFA ZA UONGO

0

OFISA ELIMU, MHANDISI, MKUU WA SHULE WAKALIA ‘KUTI KAVU’

0
STENDI YA ZAMANI UBUNGO  KUJENGWA DEPO MABASI MWENDOKASI

STENDI YA ZAMANI UBUNGO KUJENGWA DEPO MABASI MWENDOKASI

0

Exploring Herbal Viagra Alternatives: Natural Solutions for Men’s Health

May 23, 2025
TALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 20, 2024

TALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 20, 2024

November 20, 2024

YALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 12, 2024

November 12, 2024
YALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 11, 2024

YALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 11, 2024

November 11, 2024

Recent News

Instagram Youtube Twitter Facebook

We are a diverse team of experts, innovative thinkers, creative designers, writers, innovators, strategists, pyschologists, comunictaors and web developers. UMG is extremely passionate about growing clients’ businesses, helping them achieve their goals and making a difference by raising the creative and communications industry standards in Tanzania.

Follow Us

Browse by Category

  • 231
  • Afya Makala
  • BIASHARA
  • BURUDANI
  • Business
  • HABARI KIMATAIFA
  • Habari Kitaifa
  • Habari Picha
  • KIMATAIFA
  • MAGAZETI
  • MAHAKAMANI
  • MAKALA
  • MAKALA AFYA
  • MAKALA-BURUDANI
  • MICHEZO
  • MICHEZO KIMATAIFA
  • MICHEZO KITAIFA
  • MICHEZO-MAKALA
  • MICHEZO-MASUMBWI
  • MITINDO
  • RIWAYA
  • SIASA
  • Sports
  • Uncategorized

Recent News

Exploring Herbal Viagra Alternatives: Natural Solutions for Men’s Health

May 23, 2025
TALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 20, 2024

TALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 20, 2024

November 20, 2024

© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved

No Result
View All Result

© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved

Login to your account below

Forgotten Password?

Fill the forms bellow to register

All fields are required. Log In

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In