ZIKIWA zimebaki siku mbili kuadhimisha miaka 45 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Katibu Mkuu wa Chama, Daniel Chongolo,...
Read moreMAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji nchini (EWURA), imetangaza kushuka bei ya petroli na mafuta ya taa,...
Read moreRAIS Samia Suluhu Hassan, amemteua Zuhura Yunus Abdallah, kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa...
Read moreWANAWAKE wawili wamekamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Abeid Amani Karume kwa nyakati tofauti wakituhumiwa kusafirisha dawa za kulevya...
Read moreKATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, ameiagiza Wizara ya Maliasili na...
Read moreKATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo, ameitaka Serikali kuanza ujenzi wa viwanda vya nguo katika Mkoa wa...
Read moreMAKAMU wa Rais, Dk. Philip Mpango, amemwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika hafla ya kutoa uamuzi wa mwisho wa uwekezaji...
Read moreHATIMAYE majaribio rasmi ya daraja la Selander (Tanzanite), Dar es Salaam, yameanza ambapo vimeshuhudiwa vyombo mbalimbali vya usafiri vikilitumia kutoka...
Read moreWATAALAMU nchini wamethibitisha kuwa watu wanaogua ugonjwa wa UTI mara kwa mara, wanaweza kuwa na tatizo la kuwapo kwa mawe ...
Read moreWAKALA wa Usajili wa Biashara na Leseni (Brela), umewataka wananchi kuepuka kutapeliwa wakati wa usajili bali wawatumie watu sahihi ili...
Read more© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved
© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved