MiakaMitatuYaMama Serikali imekusanya maduhuli yenye thamani ya TZS trilioni 1.9 katika sekta ya madini.
Ongezeko la maduhuli mwaka hadi mwaka ni ishara ya kuimarika kwa shughuli za madini kutokana na sera na usimamizi bora wa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu.
