
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa, wakati alipo mtembelea kumjulia hali nyumbani kwake Oysterbay jijini Dar es Salaam. Kushoto Mke wa Lowassa Mama Regina Lowassa.
PICHA NA IKULU.