KATIBU Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo, akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Meja Jenerali Charles Mbuge (kulia), baada ya kutembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa barabara ya Kishara-Mafumbo ikiwa sehemu ya ziara ya Kukagua, Kusimamia na Kuhamasisha utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya mwaka 2020-2025, wengine pichani ni Mkuu wa Wilaya ya Muleba, Toba Nguvila (kushoto) na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Muleba, Athumani Kahara (kulia).KATIBU Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo, akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Meja Jenerali Charles Mbuge, (kulia), baada ya kutembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa barabara ya Kishara-Mafumbo ikiwa sehemu ya ziara ya Kukagua, Kusimamia na Kuhamasisha utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya mwaka 2020-2025. (Picha na CCM Makao Makuu)