KATIBU Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo, akiongozana na Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, wameanza ziara mkoani Mtwara yenye lengo la kukagua na kusimamia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2020 – 2025.

© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved