HALMASHAURI ya jiji la Dodoma imesema haijalitelekeza Soko la Sabasaba maarufu kama soko la mboga mboga na kwamba wanatarajia kulifufua...
Read moreWAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu, ametoa ufafanuzi kwa wananchi kuhusu kusitishwa kwa kutua kwa ndege za Shirika la Emirates na...
Read moreWAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu, amesema pamoja na serikali kuchukua hatua za haraka katika mapambano dhidi ya UVIKO- 19, ikiwemo...
Read moreWAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dk.Dorothy Gwajima, amewaasa Wadau wote kushirikiana kuhakikisha changamoto za watoto...
Read moreRAIS Samia Suluhu Hassan, ametangaza neema kwa Machinga nchini, zikiwemo za serikali kuwatambua rasmi kama kundi maalumu na kuahidi kujenga...
Read moreWANACHAMA 445 kutoka vyama vya CUF na ACT Wazalendo kisiwani Pemba, wamevihama vyama vyao na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi...
Read morePOLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, inawashikiliwa watu wawili kwa tuhuma za kula njama na kumuua Barke Rashid (30),...
Read moreKATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo, ametoa wito kwa Serikali ya Muungano na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar...
Read moreHATUA ya serikali kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji, yameendelea kustawisha uchumi wa wafanyabiashara na wawekezaji nchini, hii ni baada...
Read moreWAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, amewaagiza wakuu wa mikoa na wilaya nchini, wafuatilie katika maeneo yao kuona kama kuna shule zinaendelea...
Read more© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved
© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved