WAZIRI wa Maji, Jumaa Aweso, amefanya mabadiliko kwa kuwaondoa watumishi sita katika nyadhifa zao, kwasababu mbalimbali za utendaji, uliosababisha kuzorota...
Read moreMKUU wa Jeshi la Polisi Nchini, Inspekta Jenerali Simon Sirro, ameahidi kuendelea kupambana na wahalifu, huku akiwataka wazazi kutoa taarifa...
Read moreRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amewateua makamishna wanne wa Tume ya Kurekebisha...
Read moreMPANGO Kabambe wa Kupeleka Nishati Vijijini, umelenga kuwanufaisha wananchi kupitia usambazaji umeme na nishati bora ya kupikia. Hayo yalibainishwa mwishoni...
Read moreWAKULIMA wa korosho, Mkoa wa Pwani, wanatarajia kupata sh. bilioni 19.43 kutokana na mauzo ya msimu unaoendelea. Mkuu wa Mkoa...
Read moreRAIS Samia Suluhu Hassan, amemteua Jaji Jacob Mwambegele kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC). Taarifa iliyotolewa kwa...
Read moreWAKULIMA wa ngano nchini, wamehimizwa kuzingatia kanuni bora za kilimo ili kupata matokeo mazuri ikiwemo idadi kubwa ya mavuno. Akizungumza...
Read morePOLISI Mkoa wa Katavi, imekamata dawa za kulevya aina ya bangi, gongo na gobore katika maeneo mbalimbali ya mkoa huo....
Read moreJESHI la Polisi mkoani Tanga, limewakamata watu wawili waliokuwa wakimiliki kiwanda cha kutengeneza silaha aina ya gobore kinyume cha sheria. ...
Read moreWAZIRI wa Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Zanzibar, Nassor Ahmed Mazrui, amesema amethibitika kuwa na maambukizi ya...
Read more© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved
© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved