Sunday, July 5, 2026
[gtranslate]
UMG
  • Mwanzo
  • UMG
  • Siasa
    • All
    • Business
    SHIRIKA LA OMUKA HUB NA NDI WAANDAA MAJADILIANO YA JUKWAA LA WANAWAKE KATIKA SIASA

    SHIRIKA LA OMUKA HUB NA NDI WAANDAA MAJADILIANO YA JUKWAA LA WANAWAKE KATIKA SIASA

    WAZIRI JAFO ATETA NA WAKUU WA MIKOA

    WAZIRI JAFO ATETA NA WAKUU WA MIKOA

    MAKAMU MWENYEKITI UVCCM AWAJIA JUU WANAOWACHAFUA VIONGOZI

    MAKAMU MWENYEKITI UVCCM AWAJIA JUU WANAOWACHAFUA VIONGOZI

    MAKAMU WA RAIS DK. PHILIP MPANGO AKIONDOKA NCHINI ANGOLA

    MAKAMU WA RAIS DK. PHILIP MPANGO AKIONDOKA NCHINI ANGOLA

    RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI

    RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI

    FORBES YAMTAJA TENA RAIS SAMIA.. “NI MIONGONI MWA WANAWAKE 100 WENYE UWEZO MKUBWA DUNIANI”

    FORBES YAMTAJA TENA RAIS SAMIA.. “NI MIONGONI MWA WANAWAKE 100 WENYE UWEZO MKUBWA DUNIANI”

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • Biashara
    WAJASIRIAMALI WASHAURIWA KUTHIBITISHA UBORA WA BIDHAA NJOMBE

    WAJASIRIAMALI WASHAURIWA KUTHIBITISHA UBORA WA BIDHAA NJOMBE

    SHERIA YA LOCAL CONTENT INAVYONUFAISHA WAWEKEZAJI WAZAWA GGML

    SHERIA YA LOCAL CONTENT INAVYONUFAISHA WAWEKEZAJI WAZAWA GGML

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • Burudani
    • All
    • Sports
    YANGA YAMNYATIA ABIALA KUTOKA CONGO DR

    YANGA YAMNYATIA ABIALA KUTOKA CONGO DR

    SIMBA YAICHAPA KAGERA SUGAR 3-0

    SIMBA YAICHAPA KAGERA SUGAR 3-0

  • Michezo
    SERIKALI YAAHIDI KUWAPELEKA MASHABIKI WA YANGA AFRIKA KUSINI

    SERIKALI YAAHIDI KUWAPELEKA MASHABIKI WA YANGA AFRIKA KUSINI

    YANGA SC YAACHANA NA MOLOKO

    YANGA SC YAACHANA NA MOLOKO

    TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA

    TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA

    TFF YAUFUNGIA UWANJA WA UHURU

    TFF YAUFUNGIA UWANJA WA UHURU

    BENCHIKHA; MCHEZO WA KESHO UTACHORA RAMANI KUELEKEA LIGI YA MABINGWA AFRIKA DHIDI YA WYDAD CASABLANCA

    BENCHIKHA; MCHEZO WA KESHO UTACHORA RAMANI KUELEKEA LIGI YA MABINGWA AFRIKA DHIDI YA WYDAD CASABLANCA

    Trending Tags

    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • MAGAZETI
    • UELEKEO
  • UMG DIGITAL
  • UELEKEO DIGITAL
    • Instagram
    • Facebook
    • Twitter
    • Youtube

No Result
View All Result
UMG
No Result
View All Result

NSSF YAWEKA HISTORIA NYINGINE, JUKWAA LA WAHIRIRI

>>Mkurugenzi Mkuu aeleza umuhimu wa kukutana na Jukwaa la Wahariri  ili kukuza ushirikiano 

admin by admin
March 11, 2022
in Habari Kitaifa
0
NSSF YAWEKA HISTORIA NYINGINE, JUKWAA LA WAHIRIRI

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akihutubia mkutano wa mwaka wa Jukwaa la Wahariri Tanzania katika ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul-Wakil mjini Unguja.

Ni Historia nyingine muhimu iliyoandikwa na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) baada ya kukutana na wadau wake ambao ni Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) na kuwapa semina kuhusu mambo mbalimbali yanayofanywa na Mfuko katika kuijenga na kustawisha sekta ya hifadhi ya jamii nchini pamoja na kueleza dhamira yake ya kukuza maendeleo endelevu ya Taifa.

Semina hiyo ilifanyika katika ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul-Wakil mjini Zanzibar baada ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi kufungua mkutano mkuu wa mwaka wa jukwaa hilo uliokuwa na kauli mbiu isemayo “Uchumi wa Buluu na Mawasiliano ya Umma”.

Akizungumza katika semina hiyo, Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Masha Mshomba amesema kupitia mkutano huo Mfuko ulitoa semina kuhusu majukumu ya msingi ya Mfuko ambayo ni kuandikisha wanachama kutoka sekta rasmi na sekta isiyo rasmi, kukusanya michango, kuwekeza na kulipa mafao.

Mshomba amesema Mfuko unaunga mkono jitihada mbalimbi zinazochukuliwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar chini ya uongozi makini wa Rais Dkt. Mwinyi hasa katika kutimiza dhana na muelekeo ya Serikali kupitia uchumi wa buluu.

MKURUGENZI Mkuu wa NSSF, Masha Mshomba, akizungumza na wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari wakati wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, uliozinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, kupitia mkutano huo NSSF ni mdhamini mkuu.

Amesema Mfuko umedhamini mkutano huo kwa kutambua umuhimu wa jukwaa hilo hasa ukizingatia kuwa ulitumia mkutano huo kuwajengea uelewa wahariri hao wa vyombo mbalimbali vya habari kuhusu umuhimu wa hifadhi ya jamii kwa maisha ya sasa na baadaye.

Aidha, amesema Mfuko umevutiwa zaidi na ushirikiano mzuri uliopo na wadau wake wakiwemo wanahabari na kwamba ushirikiano huo utaendelea kuwa endelevu.

Akitoa mada kuhusu shughuli zinazofanywa na Mfuko, Meneja Usimamizi Mafao wa NSSF, James Oigo aliwaeleza wajumbe wa mkutano huo dhana ya hifadhi ya jamii,  majukumu,  muundo panoja na NSSF.

Oigo pia aliwapitisha kwa kina wahariri hao kufahamu majukumu manne ya Mfuko na kueleza namna ambavyo Mfuko umezidi kusogeza huduma zake karibu na wanachama kupitia mifumo ya Tehama.

Kwa upande wake, Mwenyekiti wa TEF, Deodatus Balile alipongeza kazi kubwa na nzuri inayofanywa na Mfuko hasa katika kufikisha elimu ya hifadhi ya jamii kwa Watanzania waliojiajiri kupitia sekta rasmi na sekta isiyo rasmi wakiwemo wakulima, wavuvi, wafugaji, mama lishe, bodaboda na wajasiriamali wengine.

Alisema NSSF inafanyakazi kubwa na nzuri inayoonekana  kwa kuunga mkono

MENEJA Usimamizi Mafao kutoka NSSF, James Oigo, akitoa mada kuhusu shughuli zinazofanywa na Mfuko wakati wa mkutano mkuu wa mwaka wa Jukwaa la Wahariri Tanzania uliozinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ambapo NSSF ndio mdhamini mkuu wa mkutano huo.

juhudi mbalimbali za Serikali ikiwemo Serikali ya Zanzibar katika kutimiza dhana yake ya uchumi wa buluu.

Naye Mhariri wa habari mwandamizi ambaye pia ni mjumbe wa TEF, Bakari Kimwanga ameipongeza NSSF kwa kudhamini mkutano huo ambao umetoa fursa ya kuweza kufahamu mambo mbalimbali yakiwemo ya hifadhi ya jamii pamoja na sera ya Serikali ya Zanzibar ya uchumi wa buluu.

MKUU wa Mkoa wa Mjini Magharibi, Iddrisa Kitwana Mustafa, akizungumza wakati wa Mkutano Mkuu wa mwaka wa jukwaa la wahariri Tanzania uliofanyika Zanzibar.

Awali, Mhariri mwanamizi, Jesse Kwayu aliwataka Watanzania hasa walioajiriwa katika sekta rasmi kuondoa fikra za kutaka kuchukua fedha zao mapema kwani wakifanya hivyo watapata tabu watakapofikia uzeeni.

WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, akizungumza na wahariri wakati wa Mkutano Mkuu wa mwaka wa Jukwaa la Wahariri Tanzania uliofanyika Zanzibar.
MWENYEKITI wa Jukwaa la Wahariri Tanzania mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile akiongea na wahariri na kushukuru Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwa kuwa mdhamini Mkuu wa mkutano wa mwaka wa jukwaa la wahariri Tanzania uliofanyika Zanzibar.
WAZIRI wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Tabia Maulid Mwita, akizungumza katika Mkutano wa Jukwaa la Wahariri Tanzania.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akimkabidhi Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) Balozi Ali Iddi Siwa cheti cha shukrani kwa Mfuko huo kudhamini Mkutano Mkuu wa TEF.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, (katikati) na viongozi waliokuwa meza kuu wakiwa katika picha ya pamoja na wadhamini wa Mkutano huo.

BAADHI ya Wajumbe wa mkutano mkuu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania wakiuliza maswali na kutoa Maoni baada ya NSSF kuwasilisha mada katika mkutano huo.
VIONGOZI wa NSSF wakijibu maswali ya wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari hawapo pichani, wakati wa mkutano mkuu wa mwaka wa jukwaa la wahariri Tanzania uliofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, katika ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul- Wakil mjini Unguja.

BAADHI ya Wajumbe wa mkutano mkuu wa mwaka wa Jukwaa la Wahariri Tanzania na wadau mbalimbali wakiwa katika mkutano huo.

Previous Post

MWAKA MMOJA WA RAIS SAMIA: MAGEUZI MAKUBWA SEKTA YA ELIMU

Next Post

MAJALIWA APOKEA MAJINA 453 WALIO TAYARI KUHAMA NGORONGORO

admin

admin

Next Post
MAJALIWA APOKEA MAJINA 453 WALIO TAYARI KUHAMA NGORONGORO

MAJALIWA APOKEA MAJINA 453 WALIO TAYARI KUHAMA NGORONGORO

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Instagram Youtube Twitter Facebook

Browse by Category

  • ! Без рубрики
  • 1
  • 2
  • 231
  • Afya Makala
  • autohenriquesevale.pt
  • best casino
  • Best online casino
  • BIASHARA
  • BURUDANI
  • Business
  • Casino
  • Casino No Deposit Bonus
  • Casino UK
  • casino1
  • casino2
  • casino3
  • casino4
  • curapractic-kerpen.de
  • Forex News
  • gambling platform
  • gambling platforms
  • Gry
  • gry hazardowe
  • HABARI KIMATAIFA
  • Habari Kitaifa
  • Habari Picha
  • Kasyno Polska
  • KIMATAIFA
  • MAGAZETI
  • MAHAKAMANI
  • MAKALA
  • MAKALA AFYA
  • MAKALA-BURUDANI
  • mew casino
  • MICHEZO
  • MICHEZO KIMATAIFA
  • MICHEZO KITAIFA
  • MICHEZO-MAKALA
  • MICHEZO-MASUMBWI
  • MITINDO
  • Nasi Partnerzy
  • new casino
  • niam.cl
  • non gamstop casinos
  • Nos partenaires
  • OM cc
  • Online Casino
  • Online Kasyno
  • Our Partners
  • Partners
  • Post
  • Pozyczki
  • Prestamos
  • Public
  • ready_text
  • RIWAYA
  • sanodelucas.cl
  • SIASA
  • Slots
  • Sports
  • test
  • The best new online casino
  • The best online casino and sportsbook
  • UK Casino
  • Uncategorized
  • Unsere Partner
  • veterinariarepublica.cl
  • wildbeauty.cl
  • www.kuss.cl
  • Микрокредит
  • Наши Партнеры

© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved

No Result
View All Result

© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved